Hakuna anayewaza ubingwa – Ranieri
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Kocha wa Leicester City, Claudio Ranieri (pichani) amesema bado hawawezi kubashiri kama wanaweza kuibuka mabingwa wa Ligi Kuu ya Wingereza na hakuna anayewaza hilo ndani ya kikosi chake.
Ranieli ameyasema hayo baada ya kumalizika kwa mchezo wa Ligi ya Uingereza kati ya Leicester City iliyowakaribisha Manchester City ambapo mchezo huo ulimalizika kwa sare ya bila kufunguna kwa timu hizo.
Alisema kuwa ligi ya Wingereza imekuwa haitabiriki unaweza kuwa katika kiwango...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboHAKUNA WA KUIZUIA CHELSEA KUTWAA UBINGWA, LEICESTER YACHEZEA KICHAPO CHA BAO 3-1
9 years ago
Mwananchi15 Aug
Kassim Mganga: Gwiji anayewaza kukuza utamaduni wa pwani
9 years ago
BBCVardy and Mahrez priceless - Ranieri
9 years ago
Bongo512 Dec
Jamie Vardy na kocha wake Claudio Ranieri watwaa tuzo ya EPL
Mshambuliaji wa Leicester Jamie Vardy pamoaja na Manager wa Leicester City Claudio Ranieri wameshinda tuzo ya kocha bora na mchezaji bora wa mwezi November kwenye ligi ya England (EPL) baada ya kukiongoza kikosi chao kukaa kileleni mwa ligi hiyo.
Vardy baada ya kufunga magoli matatu katika mechi za mwezi Novemba ikiwemo kuvunja rekodi ya magoli wakati kikosi chake kilipotoka sare ya 1-1 na Manchester United.
Goli lake katika dakika ya 24 dhidi ya Mashetani Wekundu lilimfanya avunje rekodi...
10 years ago
Mwananchi17 Apr
Chadema: Hakuna kulala, hakuna kula