Hali mbaya ajali barabarani, asema Kamanda Mpinga
Dar es Salaam. Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga amesema hali ya usalama barabarani bado si nzuri baada ya watu 3,195 kufariki dunia na wengine 8,566 kujeruhiwa katika ajali zilizotokea kati ya Januari na Novemba mwaka huu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLAJALI ZA BARABARANI ZAPUNGUA-KAMANDA MPINGA
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ML4L56TWsm8/VKqBsJ4H_jI/AAAAAAAG7aI/QX9AaOdA6rQ/s72-c/unnamed%2B(3).jpg)
Ajali za barabarani zapungua nchini - Kamanda Mpinga
![](http://3.bp.blogspot.com/-ML4L56TWsm8/VKqBsJ4H_jI/AAAAAAAG7aI/QX9AaOdA6rQ/s1600/unnamed%2B(3).jpg)
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Kamanda Mohammed Mpinga amesema katika mahojiano maalum kuwa madereva wameanza kuelewa kuwa tabia ya kuongea na simu au kutuma na kupokea ujumbe wa maneno (SMS) wanapokuwa...
10 years ago
Dewji Blog12 Dec
Kamanda Mpinga apokea stika za Usalama Barabarani
![Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya Posta Tanzania, Deo Kwiyukwa (kulia) akimkabidhi Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa na Benki ya Posta Tanzania (TPB).](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_01251.jpg)
Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya Posta Tanzania, Deo Kwiyukwa (kulia) akimkabidhi Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa na Benki ya Posta Tanzania (TPB).
Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya Posta Tanzania, Deo Kwiyukwa akibandika kwenye basi moja ya stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa kwa msaada na TPB. Pembeni yake ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga.
![Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga akibandika kwenye basi moja ya stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa kwa msaada na TPB.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0112.jpg)
Kamanda wa Kikosi cha...
11 years ago
MichuziKamanda Mpinga awafunda madereva wa UDA kuzingatia sheria za Usalama barabarani
10 years ago
GPLTUMIENI ALAMA ZA AJALI BARABARANI BADALA YA MAJANI, MAWE - MPINGA
10 years ago
MichuziKAMANDA MPINGA-MADEREVA WALIOSABABISHA AJALI KWA UZEMBE KUFUTIWA LESENI ZAO.
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.
KIKOSI cha Usalama Barabarani kimesema wanazifuta leseni zote kwa madereva waliosababisha ajali kwa uzembe zikiwemo ajali za hivi karibuni.
Hayo ameyasema leo...
10 years ago
Vijimambo05 Jan
AJALI ZA BARABARANI ZAPUNGUA-KAMANDA MPINGAâ€
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Kamanda Mohammed Mpinga amesema katika mahojiano maalum kuwa madereva wameanza kuelewa kuwa tabia ya kuongea na simu au kutuma na kupokea ujumbe wa maneno (SMS) wanapokuwa...
10 years ago
MichuziKAMANDA MPINGA AFUNGUA NUSU FAINALI MASHINDANO YA SOKA YA BODABODA (MPINGA CUP)