Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kamanda Mpinga apokea stika za Usalama Barabarani

Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya Posta Tanzania, Deo Kwiyukwa (kulia) akimkabidhi Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa na Benki ya Posta Tanzania (TPB).

Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya Posta Tanzania, Deo Kwiyukwa (kulia) akimkabidhi Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa na Benki ya Posta Tanzania (TPB).

IMG_0114

 

Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya Posta Tanzania, Deo Kwiyukwa akibandika kwenye basi moja ya stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa kwa msaada na TPB. Pembeni yake ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga.

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga akibandika kwenye basi moja ya stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa kwa msaada na TPB.

Kamanda wa Kikosi cha...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Kamanda Mpinga awafunda madereva wa UDA kuzingatia sheria za Usalama barabarani

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga ( aliyesimama) akifafanua kwa ufasaha vifungu vya sheria za usalama barabarani na miiko ya maadili ya udereva, wakati akifungua warsha ya mafunzo kwa maderva wa kampuni ya UDA jijini Dar es Salaam leo. Aliwafunda madereva hao kuwa wasafi, lugha nzuri na kutabasamu kwa abiria ambao ni wateja wao.Wengine pichani ni Mwenyekiti wa makampuni ya Simon Group,Robert Kisena (kulia) na David Mziray kutoka SUMATRA. Mwenyekiti wa makampuni...

 

10 years ago

GPL

AJALI ZA BARABARANI ZAPUNGUA-KAMANDA MPINGA‏

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Kamanda Mohammed Mpinga(kulia)akiongea na waandishi wa habari hivi karibuni kuhusiana na maswala ya usalama barabarani,anaeshuhudia kushoto Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia. Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Kamanda Mohammed Mpinga amesema katika mahojiano maalum kuwa madereva wameanza kuelewa kuwa tabia ya kuongea...

 

10 years ago

Michuzi

Ajali za barabarani zapungua nchini - Kamanda Mpinga

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Kamanda Mohammed Mpinga(kulia)akiongea na waandishi wa habari hivi karibuni kuhusiana na maswala ya usalama barabarani,anaeshuhudia kushoto Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia.
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Kamanda Mohammed Mpinga amesema katika mahojiano maalum kuwa madereva wameanza kuelewa kuwa tabia ya kuongea na simu au kutuma na kupokea ujumbe wa maneno (SMS) wanapokuwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Hali mbaya ajali barabarani, asema Kamanda Mpinga

Dar es Salaam. Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga amesema hali ya usalama barabarani bado si nzuri baada ya watu 3,195 kufariki dunia na wengine 8,566 kujeruhiwa katika ajali zilizotokea kati ya Januari na Novemba mwaka huu.

 

10 years ago

Michuzi

KAMANDA MPINGA AFUNGUA NUSU FAINALI MASHINDANO YA SOKA YA BODABODA (MPINGA CUP)

 Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani nchini, Mohamed Mpinga akiwasalimia kwa kuonesha vidole baada ya kuzikagua timu za Foma na Mtongani katika mchezo wa nusu fainali ya michuano ya mpira wa miguu ya timu za Bodaboda ya Mpinga Cup, Mkoa wa Kipolisi wa Temeke, kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam leo.Lengo la mashindano hayo yaliyoshirikisha timu 108 ni kutoa elimu ya usalama barabarani kwa Bodaboda. Kushoto kwake ni Msimamizi wa mashindano hayo, Mrakibu Msaidizi wa...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL, BARAZA LA USALAMA BARABARANI KUHAMASISHA USALAMA BARABARANI MSIMU WA SIKUKUU‏

Meneja wa huduma za kijamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (kulia) akisisitiza juu ya umuhimu wa wananchi kujikinga na ajali za barabarani kwenye msimu huu wa sikukuu leo wakati wa kikao na waandishi wa habari kilichofanyika makao makuu ya Airtel jijini Dar es salaam.  Katikati ni Katibu Mtendaji wa Baraza na Kamanda mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani cha Tanzania, DCP Mohammed Mpinga akifuatiwa na Balozi wa kampeni za...

 

11 years ago

GPL

KAMANDA WA POLISI KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI NCHINI ATEMBELEA GLOBAL, AHOJIWA NA GLOBAL TV ONLINE

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mohamed R. Mpinga akiwa katika studio za Global TV Online. ...Kamanda Mpinga akifafanua jambo, mahojiano haya yatasikika kwenye Global Tv on Line na kuchapishwa na Gazeti la Uwazi Jumanne.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kamanda Mpinga awaasa madereva

KAMANDA wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mohammed Mpinga, amewaasa madereva wa mabasi ya abiria kufuata taratibu, kanuni na sheria, ili kazi yao iweze kuheshimiwa na jamii. Alitoa wito huo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani