Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HALI TETE MELELA: MABOMU YA MACHOZI YATUMIKA KUWATAWANYA WAKULIMA

MABOMU ya machozi yametumika kuwatawanya wakulima wa eneo la Melela, Mvomero mkoani Morogoro waliokuwa wamefunga barabara ya Iringa - Morogoro wakimtaka Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera aende kusuluhisha mgogoro uliopo baina yao na wafugaji. Wakulima hao wanadai kuwa wenzao watano jana wamevamiwa na wafugaji wa kabila la Wamasai na kuwajeruhi vibaya kwa vitu vyenye ncha kali sehemu za siri na kupelekea kulazwa katika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

VURUGU KARUME: JESHI LA POLISI LATUMIA MABOMU YA MACHOZI KUWATAWANYA MACHINGA DAR

Jeshi la Polisi Kanda ya Dar es Salaam jioni hii limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya machinga wanaolazimisha kufanyia biashara eneo la Karume baada ya kukataa kuondoka eneo hilo kwa ustaarabu na kuzua vurugu.  (Picha na Gabriel Ng'osha / Global Whatsapp 0753 715 779)

 

10 years ago

BBCSwahili

Hali ni tete Kabul mabomu yameua watu 41

Rais wa Afghanistan Ashraf Ghani anaongoza kikao maalum cha usalama baada ya mashambulizi kadha ya kujitolea muhanga kuua watu 41.

 

10 years ago

Dewji Blog

Exclusive Mgomo wa madereva: Mabomu ya Machozi muda huu yapigwa hali mbaya

IMG_20150504_131123Kiongozi wa madereva nchini, Rashid Said, akiongea na umati wa madereva kaatika sakata hilo ambapo alikuwa akitoa ufafanuzi na namna ya kumsubiria Waziri Mkuu Mizengo Pinda afike eneo hilo kuongea na madereva hao.

News Alert; MUDA HUU SAA KUMI NA DAKIKA 19 !!!!!!MABOMU MABOMU MABOMU !!! ASKARI POLISI SASA HIVI WANAPIGA MABOMU HOVYO YA MACHOZI  TAYARI WAMEPIGA MAWILI WATU WANAKIMBIA HOVYO!

 **Mgomo kuwa wa muda mrefu zaidi: madereva wasema hata wakikaa siku tatu watakula biskuti

 Na Andrew...

 

10 years ago

Dewji Blog

Breaking News!!!  Mabomu ya Machozi yanarindima muda huu Kituo cha Mabasi Ubungo hali mbaya mgomo wa madereva

11088108_826634080706798_1441278712_n

Katibu wa  Madereva Mboka akiongea na wandishi wa Habari muda huu, kabla ya mabomu hayajarindima

…Mgomo wa Mabasi kuwa endelevu hadi watakapo achiwa viongozi wao wanaoshikiliwa na jeshi la Polisi

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Modewji blog ambayo imepiga kambi katika kituo cha Mabasi Ubungo kuanzia majira ya saa 11, alfajiri, ni kuwa tayari baadhi ya viongozi wa madereva wametoa tamko  rasmi kuwa mgomo wao huo utaendelea hadi hapo viongozi wao wakuu zaidi ya Sita (6) wanaoshikiliwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema waandamana, polisi watumia mabomu kuwatawanya

>Polisi wilayani Bunda jana walitumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wachache wa Chadema waliokuwa wanajiandaa kuandamana.

 

10 years ago

GPL

POLISI WATUMIA MABOMU KUWATAWANYA MACHINGA WALIOANDAMANA JIJINI DAR LEO

Moto uliowashwa na machinga ukiwaka barabarani eneo la Kamata, Kariakoo jijini Dar leo. Gari la zimamoto likiwasili eneo la kamata kuzima moto uliowashwa na machinga.…

 

11 years ago

Habarileo

Mabomu yatumika kuzima vurugu Moravian

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius WamburaJESHI la Polisi jana lililazimika kutumia mabomu ya machozi, kutawanya waumini wa Kanisa la Moravian Ushirika wa Kinondoni, baada ya makundi mawili yanayovutana, kuibua vurugu kanisani hapo.

 

10 years ago

Habarileo

Mabomu yatumika kuwadhibiti wanafunzi KIU

Sehemu ya wanafunzi hao wakitawanyikaPOLISI na askari wa Kikosi Maalumu cha Kuzuia Fujo (FFU) wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya wanafunzi wa Chuo cha Kimataifa cha Kampala (KIU) baada ya wanafunzi wa Fani ya Afya kugoma kuondoka chuoni hapo wakifanya mkusanyiko kulalamikia kuwa fani wanayosoma haijasajiliwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani