Mabomu yatumika kuwadhibiti wanafunzi KIU
POLISI na askari wa Kikosi Maalumu cha Kuzuia Fujo (FFU) wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya wanafunzi wa Chuo cha Kimataifa cha Kampala (KIU) baada ya wanafunzi wa Fani ya Afya kugoma kuondoka chuoni hapo wakifanya mkusanyiko kulalamikia kuwa fani wanayosoma haijasajiliwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo21 Jul
Mabomu yatumika kuzima vurugu Moravian
JESHI la Polisi jana lililazimika kutumia mabomu ya machozi, kutawanya waumini wa Kanisa la Moravian Ushirika wa Kinondoni, baada ya makundi mawili yanayovutana, kuibua vurugu kanisani hapo.
10 years ago
Mwananchi26 Oct
Mabomu yatumika kutawanya wananchi Dar ,Tanga
11 years ago
GPL
HALI TETE MELELA: MABOMU YA MACHOZI YATUMIKA KUWATAWANYA WAKULIMA
10 years ago
Habarileo19 Jun
Serikali yawarudisha chuoni wanafunzi KIU
SERIKALI imewaruhusu wanafunzi wote zaidi ya 1,000 wa Kitivo cha Sayansi ya Afya katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Kimataifa cha Kampala (KIU), Kampasi ya Dar es Salaam kuendelea na masomo.
10 years ago
Mtanzania07 May
Wanafunzi Chuo cha KIU watua kwa DC
NA GRACE SHITUNDU, DAR ES SALAAM
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala (KIU) kilichopo Gongolamboto jana waliwasilisha malalalamiko yao kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi baada ya kufanya mgomo kwa vipindi tofauti bila kupata majibu.
Mamia ya wanafunzi hao walifika katika ofisi ya mkuu wa mkoa saa 6 mchana kwa lengo la kupeleka kilio chao kwa Mkuu wa wa Mkoa wa Dar es Salaam, Meck Sadik hata hivyo waligonga mwamba kwa kushindwa kuonana naye.
Baada ya kukosekana kwa Sadik,...
10 years ago
Habarileo15 Apr
Wanafunzi Chuo Kikuu KIU wavunja viti, vioo
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Kampala International University kilichopo Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam, wamefanya fujo na kuvunja viti, vioo na samani zingine za chuo hicho, ikiwa kama njia ya kushinikiza kutatuliwa kwa matatizo yanayowakabili.
10 years ago
Vijimambo20 May
Wanafunzi UDSM wapigwa mabomu wakidai mikopo.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM), wanaoishi katika hosteli za Mabibo ambao walikuwa wakiandamana kudai fedha zao za kujikimu.
Walichukua hatua hiyo kutokana na kucheleweshewa mikopo na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu (HELSB).
Tukio hilo lilitokea usiku walipoandamana kudai wawekewe fedha kwenye akaunti zao...
10 years ago
Vijimambo20 Jan
POLISI WATUMIA MABOMU YA MACHOZI KUTAWANYA MAANDAMANO YA WANAFUNZI






JESHI la polisi nchini Kenya limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanafunzi wa Shule ya Msingi Lang'ata iliyopo jijini Nairobi walioandamana kupinga kitendo cha kunyanganywa uwanja wao wa michezo uliouzwa kwa mwekezaji...