HALI YA MBUNGE WA UKAWA HIGHNESS KIWIA NI MBAYA
![](http://4.bp.blogspot.com/-ntzcwVyHerU/UMGzhZIx9yI/AAAAAAAAgOI/oRHSc_DMCYc/s72-c/Chadema+3.jpg)
HALI ya Mbunge wa Ilemela, Highness Kiwia (CHADEMA), imeelezwa kuwa mbaya kutokana na kushindwa kupumua kwa kutumia pua na badala yake anatumia mdomo kitendo ambacho ni hatari.Taarifa hiyo imetolewa jana na Kiongozi wa Operesheni Kanda ya Ziwa Magharibi, Tungaraza Njugu, wakati Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA), wakitoa tamko juu ya Polisi kwa kushirikiana na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuhatarisha amani ya nchi.Kiwia, alisafirishwa kwenda India usiku wa Septemba 28 mwaka huu,kwa ajili ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima06 Oct
Hali ya Mbunge Kiwia yazidi kuwa mbaya
HALI ya Mbunge wa Ilemela, Highness Kiwia (CHADEMA), imeelezwa kuwa mbaya kutokana na kushindwa kupumua kwa kutumia pua na badala yake anatumia mdomo kitendo ambacho ni hatari. Taarifa hiyo imetolewa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-0ONyBCD4_A0/XlvfirDBYTI/AAAAAAALgPQ/zazNni1QN6ozj5NmQZosa9GYQtKwBnN0ACLcBGAsYHQ/s72-c/MVUAAAAAAAAAAAAAAA%2B%25281%2529.jpg)
11 years ago
Mwananchi18 May
Hali mbaya Magereza
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6A05RJELsOAhBobfkALaWCUr9DO0T7XRXJzf70BPUPfEvpzoK7ol4dO4rKTVf28pHqWDAXcQ1Qj0NoFVVf41FCbeMeLQHx*b/jack.jpg?width=650)
MASKINI JACK HALI MBAYA
11 years ago
Mwananchi14 Jun
Ronaldo bado hali mbaya
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fF4HFdlaoO5vPf1*kOpnEUHavfg*ZcrPRGsY-PewEPGGyqu6Thr2fsEdGDE662wO9jGg98hJHzl916VLC3xhmgwlA1zzLd03/kitale.jpg)
MAPEMBE HALI MBAYA, AMLALAMIKIA KITALE
10 years ago
Tanzania Daima09 Sep
Nyalandu: Ujangili nchini hali mbaya
WAKATI juhudi zikifanyika kupambana na ujangili nchini, Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu amesema hali ni mbaya. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, wakati wa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sTg6vyO*vvEtnnqOa1lmR*WcbFgzACVw*iasPWc55*Gt3Nr4NYBvIlpFFHIDYmgY0EEEUC0dCdOL01Xg6gXB3tBo4VaCoxNA/bongomuvi.jpg?width=650)
MSANII BONGO MUVI HALI MBAYA
9 years ago
StarTV31 Aug
Watanzania watahadharishwa hali mbaya ya hewa
Mamlaka ya hali ya hewa nchini imewatahadharisha wananchi kuwa mabadiliko ya tabia nchi yanayotokana na uharibifu wa mazingira huenda yakasababisha hali mbaya ya hewa nchini na kukosekana kwa mvua kwa wakati.
Hali hii itasababisha kuwepo kwa hali mbaya ya chakula na ukosefu wa maji kwa muda mrefu katika maeneo kame.
Mkurugenzi wa utafiti wa mamlaka ya hali ya hewa nchini Ladislaus Chang’a amesisitiza kuwa iwapo wananchi hawatoweza kubadilika kitabia huenda nchi ikakumbwa na maafa makubwa...