Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hapa na Pale:Kajala Atakiwa Aachie Mume wa Mtu!!

Mwigizaji wa filamu mwenye umbo na mvuto wa kiafrika zaidi, Kajala Masanja  amedaiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mume wa mtu. Kwa mujibu wa gazeti la udaku la Amani, mwanamke aliyejitambulisha kwa jina moja la Pamela ameibuka na kumtaka muigizaji huyo kuacha kumfuata mume wake.

Mwanamama huyo, anayefanya kazi ‘nzuri’ katika shirika moja kubwa nchini, aliliambia gazeti hili kuwa Kajala, amekuwa akitembea na mumewe aliyemtaja kwa jina moja la Tanaluza ambaye kwa sasa yuko ndani katika...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MUME WA MTU AMLIZA KAJALA

Stori:  Imelda Mtema
BAADA ya kuzagaa kwa skandali kuwa mwigizaji Kajala Masanja anatembea na mume wa mtu, staa huyo ameibuka na kueleza kulizwa na ishu hiyo akianika siri nzito ambayo ilikuwa nyuma ya pazia. Kajala Masanja. Taarifa za awali ambazo Ijumaa Wikienda lilizipata zilieleza kuwa tangu habari hiyo ya mjini ilipuke kama moto wa kifuu kwenye mitandao na baadhi ya magazeti (siyo ya Global), Kajala amekuwa akiishi...

 

11 years ago

GPL

KAJALA LAIVU NA MUME WA MTU CHINA

Stori:   Shakoor Jongo na Musa Mateja
HUKU akiendelea kukanusha kutibua ndoa ya shoga’ke kwa macho makavu, mwigizaji wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja hivi karibuni amenaswa laivu akila bata na mume huyo wa shoga’ake huko nchini China. Kajala (kulia) akila bata na mume wa shoga yake nchini China. Kwa mujibu wa chanzo chetu, Kajala amenaswa akijiachia kwenye kumbi mbalimbali za burudani nchini humo...

 

10 years ago

GPL

MY GOD! MKE WA MTU AMWAFGIWA MAHARAGE YA MOTO, KISA NI MUME WA MTU

Stori:  Dustan Shekidele, Morogoro My God! Mke wa mtu, Mwajuma Prima amelazwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro baada ya kumwagiwa mwilini sufuria la maharage yalitokuwa yakichemka jikoni, kisa kupeleka maneno ya umbeya kwa mume wa mtu. Mke wa mtu, Mwajuma Prima akiwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro. Tukio hilo la kusikitisha lilijiri juzikati majira ya saa 12:00 jioni ambapo mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Fatuma ndiye...

 

11 years ago

GPL

MUME WA MTU AFA AKIWA NA MKE WA MTU

NI gumzo la aina yake ndani ya mji wa Kibaha mkoani Pwani ambapo mume wa mtu aliyejulikana kwa jina la Vedasto Ager (43) amefariki dunia baada ya kupata ajali ya kugongwa na gari aina ya Fuso akiwa amempakiza mke wa mtu kwenye pikipiki. Mwili wa marehemu Vedasto Ager ukiwa kwenye jeneza tayari kwa kuagwa. Kifo cha Vedasto kilichotokea Aprili 6, mwaka huu kimeacha maswali kibao kutokana na muda
wa tukio hilo kuwa usiku wa saa...

 

10 years ago

GPL

MUME: KAJALA NITOE GEREZANI

Stori: Sifael Paul
ANA hoja? Siku chache baada ya gazeti pacha la hili, Ijumaa Wikienda, toleo la Jumatatu iliyopita kuripoti juu ya utajiri mkubwa wa staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’, mumewe Faraji Agustino amempigia saluti na kumuomba amtoe gerezani. Kajala na mumewe wakiwa mahakamani. KWANI ILIKUWAJE?
Machi mwaka jana, Faraji alihukumiwa kifungo cha miaka saba jela au faini ya zaidi ya Sh....

 

10 years ago

GPL

Hapa Emerson, pale Tegete …

Mshambulriaji wa Yanga, Jerry Tegete. Na Wilbert Molandi
KUTUA kwa kiungo mkabaji mpya wa Yanga Mbrazili, Emerson Oliveira na kuondoka kwa mshambuliaji, Geilson Santos Santana ‘Jaja’ kumefumua kikosi cha kwanza cha kocha, Marcio Maximo. Emerson ametua nchini siku tatu zilizopita akitokea Brazil kwa ajili ya kufanya majaribio Yanga akichukua nafasi ya Jaja aliyeshindwa kurejea kujiunga na wenzake kutokana na...

 

10 years ago

GPL

MKE: KAJALA NIACHIE MUME WANGU!

Na Hamida Hassan/Amani
WAKATI diva wa filamu Bongo, Kajala Masanja ‘Kay’ akielezwa kuwa mambo yake hivi sasa yako kwenye mstari kwa kusajili kampuni yake ya mambo ya sinema, mwanamke aliyejitambulisha kwa jina moja la Pamela ameibuka na kumtaka muigizaji huyo kuacha kumfuata mume wake, Amani lina data kamili. Diva wa filamu Bongo, Kajala Masanja ‘Kay’. Mwanamama huyo, anayefanya kazi...

 

10 years ago

Bongo Movies

Hapa Na Pale: Lulu Awa Mtamu Chuoni!!!

Mrembo na mwigizaji wa filamu,  ambae kwa sasa ameamua kupiga kitabu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ,  ambae kwa sasa ameamua kupiga kitabu , anadaiwa kuwafunika kimasomo wanafunzi wenzake katika Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) kilichopo Magogoni-Posta jijini Dar.

Akizungumza hivi karibuni chuoni hapo, mmoja wa wanafunzi wanaosoma na mwigizaji huyo aliyeomba hifadhi ya jina lake alisema Lulu amekuwa akihudhuria vizuri darasani na kufanya vyema kwenye masomo yake mbalimbali zaidi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani