Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MUME: KAJALA NITOE GEREZANI

Stori: Sifael Paul
ANA hoja? Siku chache baada ya gazeti pacha la hili, Ijumaa Wikienda, toleo la Jumatatu iliyopita kuripoti juu ya utajiri mkubwa wa staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’, mumewe Faraji Agustino amempigia saluti na kumuomba amtoe gerezani. Kajala na mumewe wakiwa mahakamani. KWANI ILIKUWAJE?
Machi mwaka jana, Faraji alihukumiwa kifungo cha miaka saba jela au faini ya zaidi ya Sh....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

HUKU MKEWE AKISOTA GEREZANI MISS TZ AOLEWA NA MUME WA JACK PATRICK

Stori: Imelda Mtema
DUNIA ina mambo! Wakati mkewe mwanamitindo Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ akiwa nyuma ya nondo kwa msala wa madawa ya kulevya ‘unga’ nchini China, mumewe, Abdulatif Fundikira ‘Tif’ amefunga ndoa ya siri na Miss Tanzania 2011, Salha Israel, Amani linakupa mchapo kamili. Mume wa ‘Jack Patrick’, Abdulatif Fundikira ‘Tif’ akifunga...

 

11 years ago

GPL

MUME WA MTU AMLIZA KAJALA

Stori:  Imelda Mtema
BAADA ya kuzagaa kwa skandali kuwa mwigizaji Kajala Masanja anatembea na mume wa mtu, staa huyo ameibuka na kueleza kulizwa na ishu hiyo akianika siri nzito ambayo ilikuwa nyuma ya pazia. Kajala Masanja. Taarifa za awali ambazo Ijumaa Wikienda lilizipata zilieleza kuwa tangu habari hiyo ya mjini ilipuke kama moto wa kifuu kwenye mitandao na baadhi ya magazeti (siyo ya Global), Kajala amekuwa akiishi...

 

11 years ago

GPL

KAJALA LAIVU NA MUME WA MTU CHINA

Stori:   Shakoor Jongo na Musa Mateja
HUKU akiendelea kukanusha kutibua ndoa ya shoga’ke kwa macho makavu, mwigizaji wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja hivi karibuni amenaswa laivu akila bata na mume huyo wa shoga’ake huko nchini China. Kajala (kulia) akila bata na mume wa shoga yake nchini China. Kwa mujibu wa chanzo chetu, Kajala amenaswa akijiachia kwenye kumbi mbalimbali za burudani nchini humo...

 

10 years ago

GPL

MKE: KAJALA NIACHIE MUME WANGU!

Na Hamida Hassan/Amani
WAKATI diva wa filamu Bongo, Kajala Masanja ‘Kay’ akielezwa kuwa mambo yake hivi sasa yako kwenye mstari kwa kusajili kampuni yake ya mambo ya sinema, mwanamke aliyejitambulisha kwa jina moja la Pamela ameibuka na kumtaka muigizaji huyo kuacha kumfuata mume wake, Amani lina data kamili. Diva wa filamu Bongo, Kajala Masanja ‘Kay’. Mwanamama huyo, anayefanya kazi...

 

10 years ago

Bongo Movies

Hapa na Pale:Kajala Atakiwa Aachie Mume wa Mtu!!

Mwigizaji wa filamu mwenye umbo na mvuto wa kiafrika zaidi, Kajala Masanja  amedaiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mume wa mtu. Kwa mujibu wa gazeti la udaku la Amani, mwanamke aliyejitambulisha kwa jina moja la Pamela ameibuka na kumtaka muigizaji huyo kuacha kumfuata mume wake.

Mwanamama huyo, anayefanya kazi ‘nzuri’ katika shirika moja kubwa nchini, aliliambia gazeti hili kuwa Kajala, amekuwa akitembea na mumewe aliyemtaja kwa jina moja la Tanaluza ambaye kwa sasa yuko ndani katika...

 

11 years ago

GPL

MENINA: ETI NITOE RUSHWA YA NGONO, MH!

Stori: Imelda Mtema
MWANAMUZIKI aliyeibukia kwenye Shindano la Epiq Bongo Star Search 2012, Menina Atick amesema licha ya kusikia kuwepo kwa baadhi ya wanaume wenye nafasi kwenye ‘game’ la muziki ambao huomba rushwa ya ngono kwa wasanii wa kike ili wawatoe, yeye atakomaa na anaamini atasimama. Menina Atick. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni Menina ambaye sasa anasumbua na wimbo wake wa Shaghala Baghala alisema...

 

10 years ago

Vijimambo

MAHABA NITOE ROHO NDIYO HAYA

Kuna kasumba ya kizamani kuwa wanaume ndiyo waliokuwa wanawapiga wake zao lakini inavyoonekana sasa kibao kimegeuka baada ya mwanamke aliyejitambulisha kwa jina la Irene Edwin kudaiwa kumzaba mumewe, Amani Joseph, wote wakazi wa maeneo ya Misungwi mkoani Mwanza kisa kikielezwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.Tukio hilo lililoshuhudiwa mchana kweupe lilijiri hivi karibuni maeneo hayo ambapo Irene alimfuma mumewe akiwa baa na mchepuko wakiponda raha.Kwa mujibu wa shuhuda wetu ambaye ni mtu wa karibu...

 

10 years ago

Vijimambo

MAHABA NITOE ROHO YA MAAFANDE HAWA YA SABABISHA KIBARUA KUOTA NYASI

Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani walioachishwa kazi.ASKARI wa Kikosi cha Usalama Barabarani waliopiga picha ya mahaba wakibusiana huku wakiwa wamevaa sare za Jeshi la Polisi na picha yao ikasambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii wamefukuzwa kazi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Henry Mwaibambe amethibitisha leo kwa waandishi wa habari mkoani humo kuwa, askari hao na mwenzao aliyewapiga picha wametambuliwa na tayari wamefukuzwa kazi kwa kitendo hicho cha kulidhalilisha Jeshi la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani