MAHABA NITOE ROHO NDIYO HAYA
![](http://2.bp.blogspot.com/-iZtTI8odA1g/VQz0t6WXHHI/AAAAAAAAYJQ/UME1GQAzTFY/s72-c/2.jpg)
Kuna kasumba ya kizamani kuwa wanaume ndiyo waliokuwa wanawapiga wake zao lakini inavyoonekana sasa kibao kimegeuka baada ya mwanamke aliyejitambulisha kwa jina la Irene Edwin kudaiwa kumzaba mumewe, Amani Joseph, wote wakazi wa maeneo ya Misungwi mkoani Mwanza kisa kikielezwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.Tukio hilo lililoshuhudiwa mchana kweupe lilijiri hivi karibuni maeneo hayo ambapo Irene alimfuma mumewe akiwa baa na mchepuko wakiponda raha.
Kwa mujibu wa shuhuda wetu ambaye ni mtu wa karibu...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMAHABA NITOE ROHO YA MAAFANDE HAWA YA SABABISHA KIBARUA KUOTA NYASI
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Henry Mwaibambe amethibitisha leo kwa waandishi wa habari mkoani humo kuwa, askari hao na mwenzao aliyewapiga picha wametambuliwa na tayari wamefukuzwa kazi kwa kitendo hicho cha kulidhalilisha Jeshi la...
9 years ago
Mwananchi19 Dec
Haya ndiyo yaliyobamba 2015
9 years ago
Mwananchi10 Dec
Haya ndiyo yanayowakwaza wajasiriamali nchini
11 years ago
Mwananchi24 Jul
Haya ndiyo mahitaji muhimu ya biashara
11 years ago
Mwananchi27 Mar
Haya ndiyo yanayowakwaza wafanyabiashara Singida
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QsYVKE-pbjZpBe4MtrSFZrSsen0GxznU5v5SXufMuLLMKmysc7k3Vc3pnqNsRYKutDo23A10Mok4K5OU9RxA25Vy41RWOCZn/CHEKANAKITIME.jpg)
HAYA NDIYO MALENGO YANGU 2015!
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
Haya ndiyo manufaa ya dhamana za serikali
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) kwa niaba ya Serikali huuza dhamana za serikali za muda mrefu ikiwa ni njia ya kulipa fedha kutoka kwa taasisi au mwananchi mmoja mmoja. Dhamana...
9 years ago
Raia Mwema06 Jan
Haya ndiyo yatakayotokea mwaka huu
KWA miaka kadhaa, makala zangu za wiki ya mwanzo wa mwaka huzungumzia matukio mbalimbali yanayota
Evarist Chahali
10 years ago
Dewji Blog09 Oct
Haya ndiyo usiyoyajua kuhusu rapa Mmarekani T.I
Wakati siku za kuelekea tamasha la mwisho la Serengeti Fiesta 2014 zikihesabika, hakuna kinachowapa raha mashabiki wa tamasha hilo nchini zaidi ya kujiandaa na ujio wa mwanamuziki nyota Duniani katika miondoko ya hip hop.
Ama kwa hakika, si mwingine bali ni T.I aliyejipanga kuwashika vilivyo katika jukwaa wakati wa shoo ya tamasha la Serengeti Fiesta 2014 litakalofanyika katika viwanja vya leaders jijini Dar es Salaam hapo Oktoba 18, mwaka huu.
T.I ambye jina lake kamili ni Clifford Joseph...