Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Haya ndiyo yaliyobamba 2015

Unaweza kuuelezea 2015 kama mwaka wa pilika nyingi kutokana na kuwapo kwa matukio mbalimbali katika nyanja za kijamii, kiuchumi na hata kisiasa. Imeshuhudiwa shughuli kadhaa katika siasa kama vile Uchaguzi Mkuu, lakini kwa upande wa kijamii hususan burudani, yapo mambo mengi yaliyotokea pengine kuweka historia katika tasnia hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

HAYA NDIYO MALENGO YANGU 2015!

Kwanza nawatakieni tena wote heri ya mwaka mpya 2015, hata wale walioanza mwaka kwa ‘kuwekwa kiporo’, waliofukuzwa kazi na bosi, waliogawana ule mkwanja, waliokosa ule mkwanja, wanaolalamika kwa kuwa walikosa ule mkwanja, wanaolalamika kwa kuwa wanaona wananchi waliukosa ule mkwanja, wanaolalamika kuhusu ule mkwanja kusudi wapate mkwanja, wanaolalamika kwa nini watu wanalalamika kuhusu ule mkwanja, wanaolalamika kuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

CCM: Haya ndiyo tuliyoshindwa, kufanikiwa Ilani ya 2010/2015

>Vyama vya siasa, vinajiandaa na Uchaguzi Mkuu mwaka huu kwa kila kimoja kuanza kutengeneza Ilani yake.

 

9 years ago

Dewji Blog

Haya ndiyo majina matatu (3) ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora duniani 2015

ballon-shortlist

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Shirikisho la soka duniani (FIFA) limetaja majina matatu (3) ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa dunia kwa mwaka 2015.

Majina hayo matatu (3) yamepatikana kutoka kwa majina 23 aliyokuwa yamependekezwa awali. Majina hayo ni;

Cristiano Ronaldo (Ureno – Real Madrid)

Lionel Messi (Argentina – Barcelona)

Neymar da Silva Santos (Brazil – Barcelona)

Kwa upande wa wanawake FIFA imewataja;

Carli Lloyd (Houston Dash -USA)

Aya Miyama (Okayama Yunogo Belle –...

 

9 years ago

Dewji Blog

SPORT NEWS: Haya ndiyo majina matano ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora Afrika ya BBC 2015

Wachezaji wanaoeania tuzo hiyo

Na Rabi Hume

Shirika la Utangazaji la Wingereza limetangaza majina matano (5) ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa mwaka 2015.

Katika orodha hiyo pia yupo mchezaji aliyetwa tuzo hiyo msimu uliopita, Yacine Brahimi anayekipiga katika katika klabu ya Porto inayoshiriki ligi kuu ya Ureno na timu ya Taifa ya Algeria.

Majina kamili ya wachezaji hao;

1. Pierre – Emerick Aubameyang   (Gabon, Borussia Dortmund)

2. Andre Ayew   (Ghana, Swansea)

3. Sadio Mane    (Senegal,...

 

9 years ago

Mwananchi

Haya ndiyo yanayowakwaza wajasiriamali nchini

Pembezoni mwa Barabara ya Mandela, katika Kituo cha Daladala cha Ubungo Darajani, Halima Ismail ameketi nyuma ya sinia la kashata na karanga anazoziuza.

 

10 years ago

Vijimambo

MAHABA NITOE ROHO NDIYO HAYA

Kuna kasumba ya kizamani kuwa wanaume ndiyo waliokuwa wanawapiga wake zao lakini inavyoonekana sasa kibao kimegeuka baada ya mwanamke aliyejitambulisha kwa jina la Irene Edwin kudaiwa kumzaba mumewe, Amani Joseph, wote wakazi wa maeneo ya Misungwi mkoani Mwanza kisa kikielezwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.Tukio hilo lililoshuhudiwa mchana kweupe lilijiri hivi karibuni maeneo hayo ambapo Irene alimfuma mumewe akiwa baa na mchepuko wakiponda raha.Kwa mujibu wa shuhuda wetu ambaye ni mtu wa karibu...

 

9 years ago

Raia Mwema

Haya ndiyo yatakayotokea mwaka huu

KWA miaka kadhaa, makala zangu za wiki ya mwanzo wa mwaka huzungumzia matukio mbalimbali yanayota

Evarist Chahali

 

11 years ago

Mwananchi

Haya ndiyo yanayowakwaza wafanyabiashara Singida

Ni vigumu mno kufanya biashara maeneo ya vijijini. Huo ni mtazamo wa wafanyabiashara wengi wa maeneo hayo. Wanasema vijijini kuna vikwazo vingi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani