Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HARUSI YA DICKSON BUSAGAGA NA SALOME MHOZYA [SENDOFF PIA]

dickson busagaga & salome mhozya wedding (9)Dickson Busagaga (Blogger) na Salome Mhozya katika picha baada ya kufunga ndoa iliyowafanya kuungana na kuwa mwili mmoja tukio lililofanyika katika kanisa la Mt. Teresia wa Mtoto Yesu jimbo kuu la Tabora mnamo tarehe 23 Sep, 2015.dickson busagaga & salome mhozya wedding (8)Waharusi (Dickson na Salome) wakionesha pete zao mara baada ya kuungana na kuwa kitu kimoja.dickson busagaga & salome mhozya wedding (2)Hakika ilikuwa ni siku ya furaha sana kwao, hata walipoingia ukumbini katika sherehe ya usiku walidhihirisha kuto kubahatisha kuungana kwao.dickson busagaga & salome mhozya wedding (3)Furaha ilitawala sana miongoni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Harusi ya Dickson Busagaga na Salome Mhozya

Dickson Busagaga (Blogger) na Salome Mhozya katika picha baada ya kufunga ndoa iliyowafanya kuungana na kuwa mwili mmoja tukio lililofanyika katika kanisa la Mt. Teresia wa Mtoto Yesu jimbo kuu la Tabora mnamo tarehe 23 Sep, 2015.Waharusi (Dickson na Salome) wakionesha pete zao mara baada ya kuungana na kuwa kitu kimoja.Hakika ilikuwa ni siku ya furaha sana kwao, hata walipoingia ukumbini katika sherehe ya usiku walidhihirisha kuto kubahatisha kuungana kwao.Furaha ilitawala sana miongoni...

 

10 years ago

Dewji Blog

Harusi ya MwanaTBN Dickson Busagaga na Salome Mhozya ilivyofana

dickson busagaga & salome mhozya wedding (9)

Dickson Busagaga (Blogger) na Salome Mhozya katika picha baada ya kufunga ndoa iliyowafanya kuungana na kuwa mwili mmoja tukio lililofanyika katika kanisa la Mt. Teresia wa Mtoto Yesu jimbo kuu la Tabora mnamo tarehe 23 Sep, 2015.

dickson busagaga & salome mhozya wedding (8)

Waharusi (Dickson na Salome) wakionesha pete zao mara baada ya kuungana na kuwa kitu kimoja.

dickson busagaga & salome mhozya wedding (2)

Hakika ilikuwa ni siku ya furaha sana kwao, hata walipoingia ukumbini katika sherehe ya usiku walidhihirisha kuto kubahatisha kuungana kwao.

dickson busagaga & salome mhozya wedding (3)

Furaha ilitawala sana...

 

10 years ago

Michuzi

LEO NI hEPI BESDEI YA KUZALIWA DIXON BUSAGAGA WA BUSAGAGA'S ORIJINO BLOG NA GLOBU YA JAMII KANDA YA KASKAZINI.

Natanguliza shukrani zangu mbele ya Mwenyezi Mungu ambaye ameendelea kunipigania kila kukicha, lakini pia niwashukuru wazazi wangu Abdalah Mbaruku na Eustela Massatu kwa malezi mema ambayo mmekuwa mkinipatia hadi leo kijana wenu nimefikia katika umri huu.Furaha niliyo nayo leo ni sawa na ile ambayo wanayo wadogo zangu wapendwa Jane, Judi, Juma Busagaga , Ashura Mbaruku  na mtoto wangu mpendwa Jesca Dixon pamoja na ndugu zangu kaka, Dada, wajomba ,mashangazi, marafiki na wengine wote...

 

9 years ago

MillardAyo

Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video)

Ndugu jamaa na marafiki walijikuta wakiendelea na ratiba ya mazishi kwa mtindo wa sherehe baada ya bwana harusi kufariki… bibi harusi nae ilibidi akubaliane na ukweli kwamba ndoa yao imekatishwa na kifo cha mume mtarajiwa. Kifo cha bwana harusi John Mwangi kilitokana na ajali baada ya gari kutumbukia mtoni maeneo ya Kabarnet, Kaunti ya Baringo Kenya… […]

The post Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video) appeared first on...

 

5 years ago

BBCSwahili

Bwana harusi afukuzwa kutoka kwa harusi yake.

Bwana harusi alifukuzwa katika harusi yake mwenyewe na umati wa watu waliokasirika baada ya mkewe wa kwanza kufika na kumjulisha mke mpya kuwa mumewe alikua tayari ameoa

 

10 years ago

BBCSwahili

Bwana harusi aanguka kifafa kabla ya harusi

Mume aanguka kifafa sekunde chache kabla ya ndoa yake,bi harusi achukizwa na kitendo cha kufichwa hali hiyo, aamua kuolewa na ndugu wa mumewe.

 

10 years ago

TheCitizen

Emotional sendoff for family killed in fire tragedy

>Not even the scorching sun could deter thousands of mourners who thronged the TPDF cemetery yesterday to pay their last respects to the six-member family that died in a blaze on Saturday night.

 

11 years ago

TheCitizen

MPs poised to pocket Sh160m sendoff pay

Members of Parliament will pocket a whopping Sh160 million each in a record send-off package approved by the treasury last year. The MPs gave themselves a 272 per cent raise in gratuity, raising the lump sum paid to each member at the end of every term from Sh43 million.

 

10 years ago

Vijimambo

FLAVIANA MATATA SENDOFF NDANI YA PANDE ZA SHINYANGA


CUSTOMIZED DRESS from scrach….ikiwa imesimamiwa na ze stylist ROSE KOKUHILWA ‘FASHION JUNKII’Ni kwa neema tuuuuuu na rehemaaa, ni kwa neema tuu……ndo nyimbo ilikuwa inaunguruma kwa spikaaa na mabiharusi na mwenzie akawa wanaingia kwa kunesa nesa
MISA YA SHUKURANI ILIFANYIKA NYUMBANI MCHANA
naturalista hadi siku ya harusi
MADAMEEE DIANA AKITUMIKAHATIMAYE USIKU UKAWASILI BI HARUSI AKAZAMA UKUMBINI
TUKIO Lililofuata ni ufunguzi wa champagne….mambo ya cheers na nini….B12 alisimamia showPi harusi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani