Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HARUSI YA MCHORAJI KATUNI MKUU WA GLOBAL PUBLISHERS ILIVYOFANA

Harusi ya Mchoraji Katuni Mkuu wa Kampuni ya Global Publishers iliyofungwa katika Kanisa la Makuburi jijini Dar, Aprili 24, 2014 na baadaye sherehe ya nguvu kufanyika katika ukumbi wa Legho Hotel, Ubungo,…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Harusi ya MwanaTBN Dickson Busagaga na Salome Mhozya ilivyofana

dickson busagaga & salome mhozya wedding (9)

Dickson Busagaga (Blogger) na Salome Mhozya katika picha baada ya kufunga ndoa iliyowafanya kuungana na kuwa mwili mmoja tukio lililofanyika katika kanisa la Mt. Teresia wa Mtoto Yesu jimbo kuu la Tabora mnamo tarehe 23 Sep, 2015.

dickson busagaga & salome mhozya wedding (8)

Waharusi (Dickson na Salome) wakionesha pete zao mara baada ya kuungana na kuwa kitu kimoja.

dickson busagaga & salome mhozya wedding (2)

Hakika ilikuwa ni siku ya furaha sana kwao, hata walipoingia ukumbini katika sherehe ya usiku walidhihirisha kuto kubahatisha kuungana kwao.

dickson busagaga & salome mhozya wedding (3)

Furaha ilitawala sana...

 

11 years ago

GPL

MAD ICE ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS, ALONGA NA GLOBAL TV ONLINE

Mad Ice akiwa ndani ya studio za Global TV Online leo. Mad Ice akibadilishana mawazo na Mwandishi wa Global, Andrew  Carlos kabla ya mawasiliano.…

 

11 years ago

GPL

GLOBAL PUBLISHERS...

Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya Global Publishers & General Enterprises Ltd, imeanza mbio za kuutokomeza ugonjwa wa homa ya ini ambao kitaalamu unafahamika kama Hepatitis B. Mbio hizo, zitaambatana na uzinduzi wake kitaifa utakaofanyika Machi 7, mwaka huu, Hospitali ya Mkoa wa Kitabu Ilala, Amana, Dar es Salaam, mgeni rasmi akiwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid. Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric...

 

11 years ago

GPL

MWAKIFWAMBA AIANGUKIA GLOBAL PUBLISHERS

Stori: Joseph Shaluwa
RAIS wa Shirikisho la Filamu Tanzania ‘TAFF’, Simon Mwakifwamba ameiomba radhi Kampuni ya Global Publishers Ltd inayochapisha magazeti ya Uwazi, Amani, Ijumaa, Risasi, Ijumaa Wikienda na Championi kwa maneno aliyowahi kuyatoa siku za nyuma kuhusu wasanii kuandamwa na magazeti hayo. Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania ‘TAFF’, Simon Mwakifwamba akiongea na wanahabari wa Global...

 

10 years ago

GPL

TEMBELEA TOVUTI MPYA YA GLOBAL PUBLISHERS

BONYEZA HAPA ====>www.globalpublishers.co.tz

 

10 years ago

GPL

MUONEKANO WA TOVUTI MPYA YA GLOBAL PUBLISHERS

Tembelea hapa ====>www.globalpublishers.co.tz

 

9 years ago

Global Publishers

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani