Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hashim Mbita afariki dunia

Aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Kamati ya Ukombozi ya uliokuwa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU), Brigedia Jenerali Mstaafu Hashim Mbita MTUMISHI wa miaka mingi na mwanasiasa mkongwe, Brigedia Hashim Mbita amefariki dunia.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

JUST IN: gwiji la ukombozi wa afrika kusini brigedia jenerali hashim mbita afariki dunia leo dar es salam


Habari zilizotujia hivi punde zinasema Brigedia Jeneral Mstaafu Hashim Mbita aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Kamati ya Ukombozi ya uliokuwa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU), amefariki dunia asubuhi hii katika hospitali kuu ya jeshi ya Lugalo jijini Dar es salaam. 
Mzee Mbita atakumbukwa Tanzania,  bara zima la Afrika na dunia kwa jumla kama kamanda mahiri aliyeshiriki kikamilifu katika uondoshaji wa utawala wa ukoloni  barani Afrika, hususan utawala kidhalimu wa makaburu  Zimbabwe na  Afrika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania yampoteza mtu muhimu, ni Brigedia Jenerali Mstaafu Hashim Mbita aliyefariki dunia mapema leo

Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Hashim Mbita

Taifa likiwa katika maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanzania Bar na Zanzibar, mapema leo limepata pigo baada ya kuondokewa na mtu muhimu na aliyewahi kuwa Katibu Mtendaji wa Kamati ya Ukombozi ya uliokuwa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU), Brigedia Jenerali Mstaafu Hashim Mbita aliyefariki katika dunia majira ya asubuhi katika hospitali kuu ya Jeshi, Lugalo,  jijini Dar es salaam.

Kwa mujibu wa duru za habari kutoka familia ya...

 

10 years ago

Mtanzania

Brigedia Jenerali Mbita afariki dunia

mbitaJonas Mushi na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam

MMOJA wa Watanzania waliofanikisha ukombozi wa nchi za Kusini mwa Afrika,Brigedia Jenerali Hashim Mbita (82), alifariki dunia jana katika Hospitali Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo ambako alikuwa amelazwa kwa muda mrefu.

Akizungumza na MTANZANIA nyumbani kwa marehemu Chang’ombe Madukani Dar es Salaam jana, mtoto wa marehemu Iddi Mbita alisema baba yake alifariki dunia saa 3:30 asubuhi baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu...

 

10 years ago

Mwananchi

Mpigania ukombozi wa Afrika Brig Jen Mbita afariki dunia

Katibu mtendaji wa iliyokuwa Kamati ya Ukombozi Kusini mwa Afrika, Brigedia Jenerali Hashim Mbita (82), amefariki dunia jana saa tatu asubuhi katika Hospitali ya Jeshi, Lugalo, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

Wabunge wamkumbuka Marehemu Hashim Mbita

Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI na Madawa ya Kulevya iliyopo ziarani nchini Zimbabwe hivi karibuni ilipata fursa ya kutembelea Ubalozi wa Tanzania jijini Harare na kusaini kitabu cha maombolezo ya aliekuwa Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Marehemu Brig. Jenerali Hashim Mbita aliefariki Dunia mwananzoni mwa wiki hii.  Pichani ni Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI na Masuala ya Madawa ya Kulevya Mhe. Dkt Faustine Ndugulile (juu) na Mhe. Neema Mgaya Himid (picha ya chini)...

 

10 years ago

The Zimbabwe Daily

Latest: Brig General Hashim Mbita dies


The Zimbabwe Daily
Latest: Brig General Hashim Mbita dies
The Zimbabwe Daily
mbita DAR ES SALAAM - Brigadier Gen Hashim Mbita, who once served as Executive Secretary of the Liberation Committee of the African National Unity (OAU) died yesterday at the Lugalo Military Hospital in Kinondoni Municipality in Dar es Salaam.
Hashim Mbita is no moreDaily News
Tanzania's liberation icon Hashim Mbita dies at 74Zee News

all 16

 

10 years ago

New Kerala

Tanzania's liberation icon Hashim Mbita dies at 74


Economy Lead
Tanzania's liberation icon Hashim Mbita dies at 74
New Kerala
Hashim Mbita, a Tanzanian army general and the icon of the southern Africa liberation struggle, died at the age of 74 on Sunday after a long illness. The East African nation's State House in the commercial capital Dar es Salaam said in a statement that Mbita, ...
Hashim Mbita is no moreDaily News

all 7

 

10 years ago

TheCitizen

STRAIGHT TALK: Fare thee well Brigadier General Hashim Mbita

>One of the last remaining African heroes has died aged 82. Brigadier General Hashim Mbita was buried midweek, two decades since he accomplished his Africa mission. So, both national and military honours were given to the fallen African nationalist.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani