Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge wamkumbuka Marehemu Hashim Mbita

Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI na Madawa ya Kulevya iliyopo ziarani nchini Zimbabwe hivi karibuni ilipata fursa ya kutembelea Ubalozi wa Tanzania jijini Harare na kusaini kitabu cha maombolezo ya aliekuwa Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Marehemu Brig. Jenerali Hashim Mbita aliefariki Dunia mwananzoni mwa wiki hii.  Pichani ni Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI na Masuala ya Madawa ya Kulevya Mhe. Dkt Faustine Ndugulile (juu) na Mhe. Neema Mgaya Himid (picha ya chini)...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Viongozi mbalimbali nchini Msumbiji wamkumbuka Brig. Jen. Hashim Mbita

Kitabu cha maombolezo ya Marehemu, Brig. Jen. Hashim Mbita kwenye Ubalozi wa Tanzania, Maputo Msumbiji.Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Msumbiji, Mhe. Joaquim Chissano akiweka saini kitabu cha maombolezo ya Marehemu Brig, Jen. Hashim Mbita aliefariki dunia April 26, 2015.Rais msataafu wa awamu ya tatu wa Msumbiji, Mhe. Armando Guebuza akiweka saini kitabu cha maombolezo ya Marehemu Brig, Jen. Hashim Mbita aliefariki dunia April 26, 2015.Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji Mh. Shamim Nyanduga...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Membe amuenzi Marehemu Brigedia Generali Hashim Mbita

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akisaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha Bregedia Generali Hashim Mbita, kilichotokea hivi karibuni katika Hospitali ya Lugalo Jijini Dar es Salaam. Marehemu Brigedia Generali Mbita aliwahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zambabwe pia atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa kwenye harakati za ukombozi Barani Afrika. Waziri Membe akimpa pole Mjane wa Marehemu Bregedia Generali Mbita, Bi. Ngeme Mbita Mhe. Membe...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU BRIGEDIA JENERALI MSTAAFU HASHIM MBITA LEO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kuifariji familia ya Marehemu Brigedia Jeneral Mstaafu Hashim Mbita Temeke Chang'ombe jijini Dar es salaam jioni ya leo April 27, 2015.  Marehemu anatarajiwa kuzikwa siku ya Jumatano katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam baada ya Swala ya Alasiri katika msikito wa Mtoro,  baada ya kupata heshima zote za kijeshi asubuhi yake katika makao makuu ya Jeshi Upanga, Dar es salaam.  Rais Jakaya Mrisho Kikwete...

 

10 years ago

Michuzi

Salam za Rambirambi kutoka kwa Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi kwa Familia ya Marehemu Brigedia Hashim Mbita

 Nimeshtushwa sana na kifo cha Kiongozi huyu mashuhuri aliyechangia kwa dhati harakati za ukombozi wa Bara la Afrika. Nimehuzunishwa mno, mimi Binafsi, Familia yangu na nina imani msiba huu mzito sio wa Watanzania peke yao, bali ni wa Bara zima la Afrika kwa ujumla. Katika harakati za kumzika kiongozi huyo, sitokuwepo kwa kuwa niko safarini lakini nitawakilishwa na wanangu wakiongozwa na Dkt Hussein. Kwa Mola tumetoka na kwake Mola sote tutarejea. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya...

 

10 years ago

Habarileo

Hashim Mbita afariki dunia

Aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Kamati ya Ukombozi ya uliokuwa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU), Brigedia Jenerali Mstaafu Hashim Mbita MTUMISHI wa miaka mingi na mwanasiasa mkongwe, Brigedia Hashim Mbita amefariki dunia.

 

10 years ago

New Kerala

Tanzania's liberation icon Hashim Mbita dies at 74


Economy Lead
Tanzania's liberation icon Hashim Mbita dies at 74
New Kerala
Hashim Mbita, a Tanzanian army general and the icon of the southern Africa liberation struggle, died at the age of 74 on Sunday after a long illness. The East African nation's State House in the commercial capital Dar es Salaam said in a statement that Mbita, ...
Hashim Mbita is no moreDaily News

all 7

 

10 years ago

The Zimbabwe Daily

Latest: Brig General Hashim Mbita dies


The Zimbabwe Daily
Latest: Brig General Hashim Mbita dies
The Zimbabwe Daily
mbita DAR ES SALAAM - Brigadier Gen Hashim Mbita, who once served as Executive Secretary of the Liberation Committee of the African National Unity (OAU) died yesterday at the Lugalo Military Hospital in Kinondoni Municipality in Dar es Salaam.
Hashim Mbita is no moreDaily News
Tanzania's liberation icon Hashim Mbita dies at 74Zee News

all 16

 

10 years ago

TheCitizen

STRAIGHT TALK: Fare thee well Brigadier General Hashim Mbita

>One of the last remaining African heroes has died aged 82. Brigadier General Hashim Mbita was buried midweek, two decades since he accomplished his Africa mission. So, both national and military honours were given to the fallen African nationalist.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani