Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hati ya Muungano kutumika katika Bunge Maalum

John MnyikaHATI ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni miongoni mwa nyaraka ambazo Bunge Maalum la Katiba, limekubali kuwa kiwe ni moja ya vielelezo, ambavyo Wajumbe watavitumia watakapokuwa wanachangia hoja zinazohusu jambo hilo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Serikali yaahidi kuwasilisha hati ya #Muungano Bunge la #Katiba [VIDEO]

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Stephen Wassira ametoa ahadi hiyo katika kikao cha Bunge hilo Maalum mjini hapa mapema Jumatatu.

 

11 years ago

Mwananchi

Wajumbe Bunge la #Katiba wadai nyaraka huku Hati ya Muungano ikileta utata [VIDEO]

>Hoja hiyo iliibuliwa na Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (Chadema), aliyeshauri kanuni ya 4 ya kuliendesha Bunge hilo Maalum irekebishwe ili wajumbe wapate nyaraka au taarifa yeyote wanayoihitaji.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA BUNGE LA SADC NA SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA MHE. ANNE MAKINDA ASHIRIKI MISA MAALUM YA KUMWOMBEA ALIYEKUWA RAIS WA ZAMBIA MAREHEMU MICHAEL SATA KATIKA VIWANJA VYA BUNGE LA ZAMBIA MJINI LUSAKA LEO

Mwili wa aliyekuwa Rais wa Zambia marehemu Michael Sata ukiwasili katika viwanja vya Bunge la Zambia leo tayari kwa misa Maalum iliyoandaliwa kabla ya mazishi kufanyika hapo kesho.Rais wa Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akiwasili katika viwanja vya Bunge la Zambia tayari kushiriki Misa Maalum ya Kumwombea aliyekuwa Rais wa Zambia Mhe. Michael Chilufya Sata kabla ya maziko yake kufanyika hapo kesho.Aliyekuwa Rais wa Serikali ya Awamu wa Zambia Mhe. Lupia Banda...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

 Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa.  Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na...

 

11 years ago

GPL

JK ALIPOHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIKA MJINI DODOMA JANA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma jana.
Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali, Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman na Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassa Mwinyi na wajumbe wakifuatilia hotuba ya Rais Kikwete jana.…

 

10 years ago

Michuzi

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGE MAALUM LA KATIBA LEO

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba. Mhe. Samuel Sitta akiongoza bunge hilo leo 22 Septemba, 2014 mjini Dodoma. Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Amon Mpanju akisoma Azimio la kupitisha marekebisho ya Kanuni za Bunge Maalum leo 22 Septemba, 2014 mjini Dodoma. Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Ezekiel Olouch akichangia mada wakati wa usomaji wa Azimio la kupitisha marekebisho ya Kanuni za Bunge Maalum leo 22 Septemba, 2014 mjini Dodoma. Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani