Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hati ya ujenzi wa Bagamoyo yatiwa saini China

Jakaya-Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na taasisi mbili kubwa za kimataifa jana, Jumapili, Oktoba 26, 2014, zilitiliana saini Hati ya Makubaliano (MOU) ya kuendeleza kwa pamoja Eneo la Kiuchumi la Bagamoyo ambako pia itajengwa bandari kubwa ya Bagamoyo ambayo inatarajiwa kutoa mchango mkubwa kwa uchumi wa Tanzania.

Pande hizo tatu ambazo ni pamoja na Kampuni ya Uendeshaji Bandari ya China Merchant Holding...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

CHINA YATILIANA SAINI UJENZI WA HOSPITALI YA ABDULLA MZEE PEMBA

Balozi Mdogo wa China Zanzibar Xie Yunliang (kushoto), akishuhudia utiaji saini makubaliano ya ujenzi wa Hospitali ya Abdulla Mzee Pemba kati ya Naibu Meneja wa kampuni ya JiangSu Provincial Construction Group Co. Ltd Dai Houxiang na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk. Mohammed Saleh Jidawi. Hafla hiyo imefanyika Wizara ya Afya Zanzibar. Naibu Meneja wa kampuni ya JiangSu Provincial Construction Group Co. Ltd Dai Houxiang akielezea mikakati ya ujenzi huo utakaoanza mwishoni mwa mwezi ujao...

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI ZA UGANDA NA TANZANIA ZATIA SAINI HATI YA MAKUBALIANO JUU YA UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUSAFIRISHA MAFUTA GHAFI

Kutoka Kushoto - Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Dkt. James Mataragio,  Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Ngosi Mwihava, Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Nishati na Madini (Uganda), Dkt. Fred Kabagambe Kaliisa na Meneja Mkuu wa Total E&P Uganda, Ndg. Adewale Fayemi wakipongezana baada ya kutia saini Hati ya Makubaliano (MoU) baina ya Serikali ya Uganda na Tanzania juu ya utekelezaji wa mradi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Uganda (Kabaale) mpaka bandari ya...

 

10 years ago

Habarileo

Tanzania, China zatia saini mikataba minne

MIRADI minne ya maendeleo Tanzania itanufaika na mabilioni ya fedha, yatakayotolewa na China baada ya nchi hizo mbili kutiliana saini Hati za Makubaliano kwa ajili ya utekelezaji wa miradi hiyo itakayosaidia kuinua uchumi wa taifa.

 

10 years ago

Dewji Blog

Zoezi la utiaji saini hati kwa wateja wa viwanja Lindi kwa Dar es Salaam lafikia tamati leo Mei 29

DSCN0345Afisa Ardhi wa Lindi, Mpoki Daimon (kushoto mwenhye t shit) akitoa maelezo kwa mteja aliyefika kutia saini hati ya katika zoezki hilo linalomalizika Ijumaa ya leo katika ofisi za UTT-PID, jijini Dar es Salaam.

Na Mwandishi Wetu 

Zoezi la utiaji saini hati kwa wateja wa viwanja Lindi kwa Dar es Salaam kwa  uratibu wa Manispaa ya Lindi  kwa ushirikiano na Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu iliyo chini ya Wizara ya Fedha (UTT-PID), ambao ndio wawezeshaji wakuu wa mradi huo Ijumaa ya...

 

10 years ago

GPL

SALASALA VISION GROUP WAKABIDHIWA HATI ZA HEKARI 250 HUKO FUKAYOSI BAGAMOYO

Afisa Mtendaji Mkuu EAG Group Iman Kajula Wa Pili (kushoto) akipokea hati ya Kimila ya eneo walillonunua bagamoyo kwajili ya Jumuiya hiyo.  Jumuiya iliyoasisiwa na wakazi wa Kilima hewa Salasala jijini Dar es salaam likiwa na malengo ya kijamii na kiuchumi. Tangu kuasisisiwa SVG imetekeleza miradi Mingi kwenye eneo la Salasala ikiwemo kupanda miti zaidi ya 5,000, kutengeneza barabara, kutengeneza viwanja vya michezo na...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YATILIANA SAINI MAKUBALIANO YA UJENZI WA WODI YA WATOTO NA WAZAZI

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Saleh M. Jidawi (wa kulia waliokaa) na Meneja wa Kampuni ya Simed International Services ya Uholanzi Nd. Michor Pleijzer wakitia saini mkataba wa uboreshwaji wa wodi ya wazazi na watoto Unguja na Pemba huku wakishuhudiwa na Waziri wa Afya Rashid Seif Suleiman na Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Mr. Jaap Frederiks katika hafla iliyofanyika Wizara ya Afya Mjini Zanzibar. Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Saleh M. Jidawi (kulia)na Meneja wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Wizara ya Afya Zanzibar Yatiliana Saini ya Makubaliano ya Ujenzi Wodi ya Watoto na Wazazi.

Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Mr. Jaap Frederiks akizungumza na baadhi ya watendaji wakuu wa Wizara ya Afya kabla ya utiaji saini makubaliano ya uboreshwaji wa wodi ya wazazi na watoto Unguja na Pemba, hafla hiyo imefanyika Wizara ya Afya Zanzibar.Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Saleh M. Jidawi (wa kulia waliokaa) na Meneja wa Kampuni ya Simed International Services ya Uholanzi Nd. Michor Pleijzer wakitia saini mkataba wa uboreshwaji wa wodi ya wazazi na watoto Unguja na Pemba...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania, Japan watiliana saini ujenzi wa kituo cha ufundi stadi Ileje

1

Signing the grant contract, witnessed by Hon. Janet Mbene, Deputy Minister of Industry and Trade, and Hon. Rosemary Senyamule, Ileje District Commissioner. Front line from the left: Mr. Mussa Otieno, District Executive Director, Mr. Simon Mwango’nda, Executire Director of the recipient organisation, Integrated Rural Development Organisation, Mr. Kazuyoshi Matsunaga, Chargé d’affaires of the Embassy of Japan.

Na Mwandishi wetu

MKATABA wa Ujenzi wa kituo cha mafunzo ya ufundi stadi katika...

 

11 years ago

GPL

UTIAJI SAINI WA MIKATABA KATI YA SERIKALI YA JAMHURI YA WATU WA CHINA NA TANZANIA

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenela Mukangara na Waziri wa Biashara wa Serikali ya Jamhuri ya watu wa China Bw. Li Jinzao wakitia saini Mikataba ya Muendelezo wa awamu ya Tatu ya Ujenzi wa Uwanja wa Taifa pamoja na Makabidhiano ya gari la kurushia matangazo (OB VAN)  leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani