Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hatujajipanga vilivyo kukabili majanga ya moto

Tukio la wiki iliyopita ambalo watu tisa wa familia moja walipoteza maisha jijini Dar es Salaam baada ya nyumba walimokuwa wakiishi kuungua moto, limezidisha hofu na taharuki miongoni mwa wananchi kuhusu usalama wao wanapokuwa katika makazi yao, hasa nyakati za usiku.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA WALEZEA ULIVYOJIPANGA KUKABILI MAJANGA YA MOTO KWENYE MISITU,MASHAMBA

 Moto ukiendelea kuwaka kabla ya kuanza kuzima na ntambo wa zima moto Mtambo wa zima moto ukirusha maji umbali wa mita 100 kuzima moto uliokuwa unawaka katika eno hilo wakati wa tukio la uzinduzi wa mtambo huo uliofanyika Mlandizi mkoani Pwani Mtambo wa kuzima moto ukiendelea kutoa maji kwa ajili ya kuzima moto uliokuwa umewashwa na watumishi wa TFS kwa ajili ya kuonesha uwezo wa mtambo huo kwenye kuzima moto Watumishi wa TFS ambao wamepata mafunzo ya kuzima moto kwa kutumia mtambo huo...

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Tutafute mbinu mpya za kukabili majanga

>Tukio la juzi ambapo familia moja ya watu sita iliteketea kwa moto jijini Dar es Salaam limetuthibitishia pasipo shaka kwamba nchi yetu imeshindwa kubuni mbinu na mikakati ya kisasa kukabiliana na majanga.

 

9 years ago

Mwananchi

Njia za kudhibiti majanga ya moto

Agosti 27, vyombo vya habari mbalimbali vilirpoti taarifa ya kuhuzunisha ya wanafamilia tisa waliofariki dunia ,baada ya nyumba yao kuungua moto eneo la Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Habarileo

Waliopata majanga ya moto Pemba wasaidiwa

JUMUIYA ya Muzdalifa yenye makao makuu yake Pemba imetoa misaada wa bidhaa mbalimbali ikiwemo nguo kwa familia na watu ambao nyumba zao zimeteketea kwa moto huko Shumba, mjini Pemba.

 

9 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI AZANIA WAJIFUNZA KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO

 Mwanafunzi wa shule ya Sekondari Azania ya jijini Dar-es-Salaam akizima moto kwa kutumia kizimia moto cha aina ya dry powder baada ya kupewa mafunzo ya kukabiliana na majanga ya moto kutoka Jeshi la Zimamoto na Ukoaji mkoa wa Ilala. Wanafunzi wa shule ya Secondari Azania ya jijini Dar-es-Salaam wakizimamoto kwa kutumia blanketi ya kuzimia moto baada ya kupewa mafunzo ya kukabiliana na majanga ya moto kutoka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Ilala.
‘’Tayari tumeuzima’’ walisikika wanafunzi...

 

5 years ago

CCM Blog

STOP KUTUMIA NAMBA YA TAHADHARI YA MAJANGA YA MOTO KWA KUTOA TAARIFA ZA UONGO

Na Lydia Lugakila
KAGERA

 Wananchi Mkoani Kagera wametakiwa kuacha mara moja tabia ya  kutoa taarifa zisizo za kweli kwa kutumia namba ya tahadhali inayotumika kutoa taarifa kwa jeshi la zimamoto na uokoaji.
kauli hiyo imetolewa  na mkaguzi wa jeshi la zimamoto na uokoaji mkoani Kagera Thomas Majuto wakati akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) ambapo amesema kuwa baadhi ya wananchi wamekuwa wakitumia vibaya namba ya tahadhali inatumika kutoa taarifa za majanga yakiwemo ya ...

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI ARUSHA LAWAASA WANANCHI KUTOA TAARIFA HARAKA WANAPOTOKEA MAJANGA YA MOTO

Na Jusline Marco-Arusha

Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limewataka wananchi kutoa taarifa haraka kwa Jeshi la Polisi na Jeshi la zima moto na uokoaji pindi wanapoona majanga ya moto yanapotokea ili kuweza kuyadhibiti kwa haraka kabla hayajaleta madhara makubwa.

Akitoa taarifa za kutokea kwa tukio hilo  kwa waandishi wa habari Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani humo KOKA MOITA ACP amesema tukio hilo limetokea jana majira ya saa tano na nusu usiku katika Soko la Samunge lililopo Mtaa wa NMC,Kata ya...

 

10 years ago

Bongo5

Noorah: Tusiseme tunaenda internatioanal wakati hatujajipanga

Rapper wa kundi la Chamber Squad, Noorah aka Babastylez, amedai kuwa haiwezekani kwa wasanii wengi wa Tanzania kufanikisha ndoto yao ya kufanikiwa kimataifa kama wataendelea kufanya muziki kwa kuiga. Akiongea na kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV, Noorah amesema wasanii wengi hawajui dhana nzima ya kwenda international. “Kwasababu wengi wanapenda kukopi kitu fulani ambacho […]

 

11 years ago

Michuzi

VIWANJA VILIVYO PIMWA VINAUZWA KIGAMBONI GEZAULOLE

VIWANJA VILIVYOPIMWA VINAUZWA NA VIPO KIGAMBONI GEZAULOLE,SQ 1010 SH.MILIONI 18,SQ 1100 SH.MILIONI 19,SQ 800 SH.MILIONI 15 NA VYOTE VINA OFA.SQ 1500 SH.MILIONI 30.SQ 1062 SH.MILIONI 22 NA SQ 822 SH.MILIONI 19,HIZO ZOTE NI PAMOJA  NA MALIPO YOTE YA MANISPAA. KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NO 0652020343

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani