Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Noorah: Tusiseme tunaenda internatioanal wakati hatujajipanga

Rapper wa kundi la Chamber Squad, Noorah aka Babastylez, amedai kuwa haiwezekani kwa wasanii wengi wa Tanzania kufanikisha ndoto yao ya kufanikiwa kimataifa kama wataendelea kufanya muziki kwa kuiga. Akiongea na kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV, Noorah amesema wasanii wengi hawajui dhana nzima ya kwenda international. “Kwasababu wengi wanapenda kukopi kitu fulani ambacho […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Hatujajipanga vilivyo kukabili majanga ya moto

Tukio la wiki iliyopita ambalo watu tisa wa familia moja walipoteza maisha jijini Dar es Salaam baada ya nyumba walimokuwa wakiishi kuungua moto, limezidisha hofu na taharuki miongoni mwa wananchi kuhusu usalama wao wanapokuwa katika makazi yao, hasa nyakati za usiku.

 

9 years ago

Bongo5

Music: Dark Master Ft Ibrah – Wapi Tunaenda

artist_5da12066b4ef7232610b416f576669f8

Msanii wa bongo fleva ambaye ni member wa Chamber Squad Dark Master ameachia wimbo mpya unaitwa “Wapi Tunaenda”, Amemshirikisha Ibrah, Studio Bantu Music, Produced by No future.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

CloudsFM

Noorah afiwa na mkewe

Msanii wa Bongo Fleva,Noorah amefiwa na mkewe,akizungumza na clouds fm alisema kuwa mkewe alikuwa akisumbuliwa na kifua na mazishi yanafanyika mkoani Morogoro.

 

10 years ago

GPL

MKE WA NOORAH AFARIKI DUNIA

Msanii wa Bongo Fleva Noorah akiwa na mke wake Anna Kingwalu siku ya ndoa yao. Mke wa msanii wa Bongo Fleva Noorah, Anna Kingwalu, amefariki leo nyumbani kwao Morogoro amethibitisha Dark Master. Noorah na Anna walifunga ndoa Juni 8, 2013 nyumbani kwao Shinyanga.…

 

9 years ago

Bongo5

Noorah aeleza kinachomchelewesha kutoa kazi mpya

noorah

Noorah aka Baba Stylez amezitaja sababu zinazomuweka kimya kwenye muziki kwa muda mrefu, licha ya kuwa anaendelea kuingia studio na ana nyimbo nyingi ambazo amesharekodi.

noorah

“Unajua binafsi mi mwenyewe kazi zangu nimekuwa ninahamu ya kuzitoa muda mrefu kwasababu nimeshazirekodi ziko tu studio, mazingira yanakuwa yananibana unajua mashabiki hawasikilizi ngoma redioni, wanaangalia sana kwenye TV na kucomment kwamba video ya flani nzuri mbaya video ya mbaya, inabidi iendane na soko, soko...

 

10 years ago

Bongo5

Mke wa rapper Noorah, Camila afariki dunia

Mke wa rapper Noorah, Camila Kingwalu amefariki dunia jana nyumbani kwao Morogoro baada ya kuugua kwa muda mrefu. Akizungumza na Bongo5, ndugu wa karibu wa marehemu ambaye hakutaka kutajwa jina lake, amesema Camila baada ya kuanza kuugua alirudi nyumbani kwao mpaka mauti yalipomkuta hapo jana. “Kweli amefariki alikuwa kwao Morogoro na bado haikujulikana alikuwa anaumwa […]

 

10 years ago

GPL

KIFO CHA MKE WA NOORAH CHAWALIZA WASANII

KIFO cha mke wa msanii wa Chamber Squard, Noorah aitwaye Anna Kingwalu aliyefariki dunia Jumanne ya wiki hii mkoani Morogoro, kimewaliza wasanii wengi katika tasnia ya muziki Bongo. Msanii wa Chamber Squard, akiwa na marehemu mkewe Anna Kingwalu siku ya harusi yao. Akizungumza na Centre Spread, kiongozi wa Kundi la Chamber Squard, Dark Master alisema kuwa kwa kipindi kifupi ndani ya mwaka huu kundi lao limepata pigo kubwa...

 

11 years ago

Bongo5

Methadone yairejesha afya ya video queen ‘Ice Cream’ ya Noorah

Video queen wa video ya ‘Ice Cream’ ya Noorah ‘Doreen’ aliyeathirika na matumizi mabaya ya madawa ya kulevya, anadaiwa kuanza kurejea kwenye afya yake ya kawaida baada ya kupata tiba ya Methadone akiwa chini ya uangalizi wa Ray C Foundation. Doreen akionekana mwenye afya Kupitia Instagram, Ray C ameandika: “Video queen aliyecheza kwenye video ya […]

 

11 years ago

CloudsFM

RAY C AMSAIDIA VIDEO QUEEN WA NGOMA YA NOORAH ALIYEATHIRIKA NA MADAWA YA KULEVYA

STAA wa Bongo Fleva Rehema Chalamila’Ray C’amemsaidia aliyekuwa video Queen wa ngoma ya Ice Cream ya msanii wa siku nyingi wa muziki huo Noorah baada ya kuathirika na utumiaji wa madawa ya kulevya.Kupita ukurasa wa Instagram Ray C ambaye nae aliwahi kukumbwa na tatizo hilo akiweka picha yake pamoja na Doreen huku akidai kuwa amempata na amekubali kuanza matibabu kuachana na dawa za kulevya. Ray C ameandika kupitia ukurasa wake wa Instagram dakika chache zilizopita kuwa ”rayc1982 Mungu ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani