Noorah aeleza kinachomchelewesha kutoa kazi mpya
Noorah aka Baba Stylez amezitaja sababu zinazomuweka kimya kwenye muziki kwa muda mrefu, licha ya kuwa anaendelea kuingia studio na ana nyimbo nyingi ambazo amesharekodi.
“Unajua binafsi mi mwenyewe kazi zangu nimekuwa ninahamu ya kuzitoa muda mrefu kwasababu nimeshazirekodi ziko tu studio, mazingira yanakuwa yananibana unajua mashabiki hawasikilizi ngoma redioni, wanaangalia sana kwenye TV na kucomment kwamba video ya flani nzuri mbaya video ya mbaya, inabidi iendane na soko, soko...
Bongo5
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania