Uchaguzi wamfanya Cpwaa kuahirisha kutoa kazi mpya
Rapper Cpwaa amesema upepo wa uchaguzi umemfanya aendelee kuwa kimya kwenye muziki mpaka utakapopita ili kuachia ngoma mpya. Cpwaa ameiambia Bongo5 kuwa alikuwa amepanga kuachia ngoma mpya mwezi huu lakini ameamua kuahirisha kutokana na hali uchaguzi. “Kwa sababu sasa hivi masikio na akili ya kila mtu ipo kwenye uchaguzi, sasa ukitoa ngoma haitaenda popote,” amesema. […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili31 May
Burundi yafaa kuahirisha uchaguzi
9 years ago
Bongo517 Dec
Noorah aeleza kinachomchelewesha kutoa kazi mpya

Noorah aka Baba Stylez amezitaja sababu zinazomuweka kimya kwenye muziki kwa muda mrefu, licha ya kuwa anaendelea kuingia studio na ana nyimbo nyingi ambazo amesharekodi.
“Unajua binafsi mi mwenyewe kazi zangu nimekuwa ninahamu ya kuzitoa muda mrefu kwasababu nimeshazirekodi ziko tu studio, mazingira yanakuwa yananibana unajua mashabiki hawasikilizi ngoma redioni, wanaangalia sana kwenye TV na kucomment kwamba video ya flani nzuri mbaya video ya mbaya, inabidi iendane na soko, soko...
10 years ago
Bongo529 Sep
Hofu ya wasanii wengine kutoa kazi zao kipindi cha uchaguzi imenipa mimi uwanja wa kujidai — Belle 9
10 years ago
Bongo502 Nov
Video: Davido aeleza sababu iliyomfanya kuahirisha kuachia album mpya siku 2 kabla ya tarehe iliyokuwa imepangwa

11 years ago
Michuzi
Utambulisho wa video mpya ya Chereko Chereko - CPwaa

10 years ago
Mzalendo Zanzibar05 Oct
Wangalizi wa uchaguzi wa kimataifa tayari wameanza kuendelea na kazi zao kuelekea uchaguzi mwezi huu oktoba 25
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula, na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania, Mhe. Filiberto Sebregondi, wakitia sign ya Makubaliano ya kuruhusu waangalizi wa uchaguzi kutoka […]
The post Wangalizi wa uchaguzi wa kimataifa tayari wameanza kuendelea na kazi zao kuelekea uchaguzi mwezi huu oktoba 25 appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Bongo Movies09 Dec
KAZI MPYA:Wema Atua Nchini Ghana Kufanya Kazi na Van Vicker
Aliekuwa Miss Tanzania (2006), Mwigizaji na mkurugenzi wa kampuni ya Endless Fame, inayojishughurisha na mambo ya filamu hapa nchini, Wema Sepetu aka Madame hivi sasa yupo nchini Ghana kwaajili ya kufanya kazi na msanii maarufu nchini humo na Afrika kwa ujumla aitwaye van vicker.
Leo hii kwenye mtandao wa kijamii Wema aliweka picha hiyo akiwa na msanii huyo na kuandika “In the Making” na kumtag Van.
Jina la project (MOVIE) hiyo mpya hadi sasa bado halijajulikana. Endelea kutufuatilia hapa...
10 years ago
BBCSwahili13 Mar
Unene wamfanya kukosa burudani Uingereza
11 years ago
Mwananchi22 Dec
Mashabiki wamfanya Suarez ajifunge Liverpool