Haya ni matokeo ya mechi za UEFA zilizochezwa Jumanne hii
Michuano ya klabu bingwa barani Ulaya iliendelea Jumanne hii kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja tofauti na haya ndio matokeo ya mechi hizo. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo501 Oct
Haya ni matokeo ya mechi za UEFA Champions League
9 years ago
Bongo525 Nov
Matokeo ya mechi za Uefa Champions League
![mtt](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/mtt-300x194.jpg)
Michuano ya vilabu bingwa barani Ulaya iliendelea jana November 24 usiku kwa michezo nane ya hatua ya makundi kupigwa kwenye viwanja mbalimbali barani Ulaya ambapo michezo hiyo ilikuwa kutoka kundi E, F, G pamoja na H.
9 years ago
Bongo526 Nov
Matokeo ya mechi za UEFA champions league November 25
![2ED0190300000578-3334161-image-a-15_1448489796212](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/2ED0190300000578-3334161-image-a-15_1448489796212-300x194.jpg)
Michuano ya klabu bingwa Ulaya hatua ya makundi iliendelea tena usiku wa Jumatano November 25, 2015 kwenye viwanja mbali mbali ikizikutanisha timu za kundi A, B, C na D. Michezo hiyo ilimalizika kwa matokeo tofauti tofauti,
9 years ago
Bongo510 Dec
Arsenal yaingia 16 bora, matokeo ya mechi za UEFA Dec 9
![2F379FD000000578-0-image-a-69_1449695516399](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/2F379FD000000578-0-image-a-69_1449695516399-300x194.jpg)
Michezo ya hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya iliendelea tena usiku wa December 9 kwa mechi nane baada ya makundi ya E, F, G na H, michezo hiyo ilichezwa wakati timu 10 kati ya 32 zikiwa zimeshajihakikishia nafasi ya kwenda hatua ya 16 bora hivyo nafasi 6 pekee ndio zilikuwa zinawaniwa.
Klabu ya Arsenal ambayo ilikuwa nafasi ya tatu katika msimamo wa Kundi F, nafasi yake ya kuendelea hatua ya 16 bora ilikuwa mikononi mwake yenyewe, ilifanikiwa kuifunga Olympiakos ya Ugiriki...
9 years ago
Bongo517 Sep
Haya ni matokeo ya mechi za ligi ya mabingwa Ulaya
9 years ago
Bongo521 Oct
Haya ni matokeo ya mechi za ligi ya mabingwa Ulaya, October 20
9 years ago
Dewji Blog24 Nov
Ratiba ya michezo ya leo jumanne Novemba 24 katika ligi ya mabingwa Ulaya UEFA
GROUP: E
BATE Borisov – Bayer Leverkusen 20:00 EAT
Barcelona – Roma 22:45 EAT
GROUP: F
Arsenal – Dinamo Zagreb 22:45 EAT
Bayern Munich – Olympiakos 22:45 EAT
GROUP: G
Porto – Dynamo Kyiv 22:45 EAT
Maccabi Tel Aviv – Chelsea 22:45 EAT
GROUP: H
Zenit St. Petersburg – Valencia 20:00 EAT
Lyon – Gent 22:45 EAT