Haya ni matokeo ya mechi za ligi ya mabingwa Ulaya, October 20
Michuano ya ligi ya mabingwa wa Ulaya imeendelea October 20 kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali barani Ulaya. Mchezo uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu na mashabiki wengi wa soka ni kati ya Arsenal dhidi ya FC Bayern Munich ya Ujerumani. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo522 Oct
Matokeo ya Mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya iliyo chezwa October 21
10 years ago
Bongo517 Sep
Haya ni matokeo ya mechi za ligi ya mabingwa Ulaya
10 years ago
GPL
10 years ago
Bongo504 Nov
Mechi za ligi ya mabingwa Ulaya leo November 4

Ligi ya Mabingwa inaendelea leo,November 4 katika viwanja mbalimbali timu ya Bayern Munich itawakaribisha Arsenal Uwanja wa Allianz Arena katika mchezo wa Kundi F, Roma na Bayer 04 Leverkusen Uwanja wa Olimpico Kundi E, Chelsea na Dynamo Kyiv Uwanja wa Stamford Bridge Kundi G.
Mechi nyingine ni kati ya Maccabi Tel Aviv na FC Porto Uwanja wa Bloomfield Kundi G, Lyon na Zenit St Petersburg Uwanja wa Stade de Gerland Kundi H, KAA Gent na Valencia CF Uwanja wa Ghelamco Arena Kundi H, Olympiakos...
10 years ago
Bongo504 Nov
Matokeo ya ligi ya mabingwa Ulaya, November 3

Mechi za ligi ya mabingwa wa Ulaya ziliendelea tena usiku wa November 3. Kulikuwa na mechi katika viwanja vinane tofauti kwa michezo ya Kundi A, B, C na D kupigwa.
MATOKEO YA MECHI HIZO;
Shakhtar Donetsk 4-0 Malmo FF
B. Monchengladbach 1-1 Juventus
Benfica 2-1 Galatasaray
Real Madrid 1-0 Paris Saint-Germain
Sevilla 1-3 Manchester City
PSV 2-0 VfL Wolfsburg
Manchester United 1-0 CSKA Moscow
FC Astana 0-0 Atletico de Madrid
10 years ago
Bongo530 Sep
Ifahamu ratiba ya mechi za ligi ya mabingwa Ulaya, September 30
10 years ago
Bongo529 Sep
Ratiba za mechi ya ligi ya mabingwa Ulaya zitakazochezwa September 29
10 years ago
GPL
9 years ago
Dewji Blog26 Nov
Matokeo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA! michezo ya jana
Wachaji wa shakhtar donetsk na Real-Madrid wakichuana katika mchezo huo uliomalizika kwa Madrid kushinda bao 4-3.
Baada ya michezo 8 iliyochezwa siku ya jumanne, jana jumatano ligi ya Mabingwa Ulaya kwa vilabu maarufu kama UEFA Champion League iliendea kwa michezo 8 mingine.
Haya ndiyo matokeo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA kwa michezo ya jumatano
GROUP: A
Shakhtar Donetsk 3 – 4 Real Madrid
Malmo 0 – 5 Paris Saint German
GROUP: B
Manchester United 0 – 0 PSV
CSKA Moscow 0 – 2 Wolfsburg