Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MECHI ZA LEO KATIKA LIGI YA MABINGWA ULAYA

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Mechi za ligi ya mabingwa Ulaya leo November 4

article-3302491-2E151D7A00000578-688_636x382

Ligi ya Mabingwa inaendelea leo,November 4 katika viwanja mbalimbali timu ya Bayern Munich itawakaribisha Arsenal Uwanja wa Allianz Arena katika mchezo wa Kundi F, Roma na Bayer 04 Leverkusen Uwanja wa Olimpico Kundi E, Chelsea na Dynamo Kyiv Uwanja wa Stamford Bridge Kundi G.
Mechi nyingine ni kati ya Maccabi Tel Aviv na FC Porto Uwanja wa Bloomfield Kundi G, Lyon na Zenit St Petersburg Uwanja wa Stade de Gerland Kundi H, KAA Gent na Valencia CF Uwanja wa Ghelamco Arena Kundi H, Olympiakos...

 

9 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya michezo ya leo jumanne Novemba 24 katika ligi ya mabingwa Ulaya UEFA

uefa_champions_league-wallpaper-1440x1080

GROUP: E

BATE Borisov – Bayer Leverkusen   20:00 EAT

Barcelona – Roma  22:45 EAT

GROUP: F

Arsenal – Dinamo Zagreb  22:45 EAT

Bayern Munich – Olympiakos  22:45 EAT

GROUP: G

Porto – Dynamo Kyiv  22:45 EAT

Maccabi Tel Aviv – Chelsea  22:45 EAT

GROUP: H

Zenit St. Petersburg – Valencia  20:00 EAT

Lyon – Gent  22:45 EAT

 

9 years ago

Bongo5

Haya ni matokeo ya mechi za ligi ya mabingwa Ulaya

Mechi zingine za ligi ya mabingwa Ulaya kwa michezo ya Kundi E, F, G na H zimechezwa na haya ni matokeo ya mechi zote za September 16. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

GPL

BAYERN MUNICH KUKWAANA NA BARCELONA KATIKA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO

MECHI:     Bayern Munich vs Barcelona LIGI:         Ligi ya Mabingwa Ulaya HATUA:    Nusu Fainali MUDA:     Saa 3:45 usiku UWANJA: Allianz Arena

 

9 years ago

Bongo5

Haya ni matokeo ya mechi za ligi ya mabingwa Ulaya, October 20

Michuano ya ligi ya mabingwa wa Ulaya imeendelea October 20 kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali barani Ulaya. Mchezo uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu na mashabiki wengi wa soka ni kati ya Arsenal dhidi ya FC Bayern Munich ya Ujerumani. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari […]

 

9 years ago

Bongo5

Ifahamu ratiba ya mechi za ligi ya mabingwa Ulaya, September 30

Hii ni ratiba nyingine ya mechi za ligi ya mabingwa barani Ulaya zitakazochezwa Jumatano hii, September 30 baada ya jana kupigwa michezo kadhaa. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Ratiba za mechi ya ligi ya mabingwa Ulaya zitakazochezwa September 29

Hii ni ratiba za mechi za ligi ya mabingwa barani Ulaya zitakazochezwa Jumanne ya September 29. Hii ni ratiba ya mechi za pili za kila klabu inayocheza Jumanne. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka […]

 

9 years ago

Bongo5

Matokeo ya Mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya iliyo chezwa October 21

October 21 michezo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya iliendelea kwa michezo nane kupigwa katika viwanja mbalimbali barani Ulaya. Mechi ambayo ilikuwa akitazamwa na wengi ni timu za Real Madrid na Paris Saint Germain. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani