Mechi za ligi ya mabingwa Ulaya leo November 4
Ligi ya Mabingwa inaendelea leo,November 4 katika viwanja mbalimbali timu ya Bayern Munich itawakaribisha Arsenal Uwanja wa Allianz Arena katika mchezo wa Kundi F, Roma na Bayer 04 Leverkusen Uwanja wa Olimpico Kundi E, Chelsea na Dynamo Kyiv Uwanja wa Stamford Bridge Kundi G.
Mechi nyingine ni kati ya Maccabi Tel Aviv na FC Porto Uwanja wa Bloomfield Kundi G, Lyon na Zenit St Petersburg Uwanja wa Stade de Gerland Kundi H, KAA Gent na Valencia CF Uwanja wa Ghelamco Arena Kundi H, Olympiakos...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo503 Nov
Ratiba ya Ligi ya Mabingwa Ulaya leo November 3
![article-3300866-2E0A384000000578-957_636x412](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/article-3300866-2E0A384000000578-957_636x4121-94x94.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wyK9bAs*AkW7vmhYZPuqN1hjT8D1i4Re77j*3e6qQuF1AlvioDjuhbIO0VvHRThkwykDqvh3-eDPiFy0SaWII4JyOvsosEjz/LEO.jpg)
9 years ago
Bongo504 Nov
Matokeo ya ligi ya mabingwa Ulaya, November 3
![1446586392283_lc_galleryImage_Football_Manchester_Unite](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/1446586392283_lc_galleryImage_Football_Manchester_Unite-300x194.jpg)
Mechi za ligi ya mabingwa wa Ulaya ziliendelea tena usiku wa November 3. Kulikuwa na mechi katika viwanja vinane tofauti kwa michezo ya Kundi A, B, C na D kupigwa.
MATOKEO YA MECHI HIZO;
Shakhtar Donetsk 4-0 Malmo FF
B. Monchengladbach 1-1 Juventus
Benfica 2-1 Galatasaray
Real Madrid 1-0 Paris Saint-Germain
Sevilla 1-3 Manchester City
PSV 2-0 VfL Wolfsburg
Manchester United 1-0 CSKA Moscow
FC Astana 0-0 Atletico de Madrid
9 years ago
Bongo517 Sep
Haya ni matokeo ya mechi za ligi ya mabingwa Ulaya
9 years ago
Bongo529 Sep
Ratiba za mechi ya ligi ya mabingwa Ulaya zitakazochezwa September 29
9 years ago
Bongo521 Oct
Haya ni matokeo ya mechi za ligi ya mabingwa Ulaya, October 20
9 years ago
Bongo530 Sep
Ifahamu ratiba ya mechi za ligi ya mabingwa Ulaya, September 30
9 years ago
Bongo522 Oct
Matokeo ya Mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya iliyo chezwa October 21
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/L5FNdOkpk1Zxwgm9wNFV2MbDhSINRXBiEJIL*cUkKSXndMZ3TPy-wBwYnQwluiG867OecWTw4hGucLnOnZFaRfQBXjIz-Y8b/DSTV.jpg?width=650)