H.Baba atoa ushauri kwa wasanii wanaotaka kugombea ubunge na nafasi zingine
H.Baba amewatahadharisha wasanii wa muziki nchini waliotangaza au waliopanga kugombea nyadhifa mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu ujao kuwa wakikosa nyadhifa hizo watapotea kabisa kwenye muziki. H.Baba amewataka wasanii kuacha kukurupuka kwani katika siasa mgombea anatakiwa awe amejianda kisaikojia ili kukabiliana na matokeo yake. “Wasanii wenzangu mimi nawashauri ingawa kila mtu na mtazamo wake, lakini […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog
5 years ago
Michuzi
RAIS MAGUFULI ATUMA UJUMBE MZITO KWA VIONGOZI WA SERIKALI WANAOTAKA KUGOMBEA UBUNGE WAKIDHANI WATAKUWA MAWAZIRI
Na Said Mwishehe, Michuzi TV
RAIS Dk.John Magufuli amepeleka salamu kwa baadhi ya viongozi wa kada mbalimbali wanaodhani wakiachana nafasi zao na kwenda kugombea ubunge wakishinda atawateuwa katika Baraza la Mawaziri wajue wanajidanganya.
Ameyasema hayo leo Juni 22,2020 Ikulu jijini Dar es Salaam baada ya kumuapisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Idd Kimanta , Mkuu wa Wilaya ya Arusha Kenan Kihongosi, Mkuu wa Wilaya ya Monduli Edward Balele ,Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Bakari Msulwa,Mkurugenzi wa Jiji...
10 years ago
VijimamboMGOMBEA WA NAFASI YA UBUNGE JIMBO LA DODOMA MJINI KUPITIA CCM ANTHON MAVUNDE AMECHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA NAFASI HIYO
10 years ago
Dewji Blog31 May
DC Mhita awahamasisha wanawake Mufindi kugombea nafasi za Udiwani, Ubunge na Uraisi


10 years ago
Bongo Movies06 May
Steve Nyerere Kugombea Ubunge Awatetee Wasanii
Staa wa Bongo Movies, Steven Mangere ‘Steve Nyerere’ anasema kuwa anatarajia kuingia katika kinyang’anyiro cha Ubunge huku lengo kuu kuwa sauti ya wasanii ambao anaamini wanakosa mtu wa kuwakilisha matatizo yao katika Serikali na anaona ni wakati muafaka yeye kuingia Bungeni.
Naamini kabisa kuwa karibu na Serikali ndio mwanzo mwa kutatuliwa kwa matatizo yetu katika tasnia ya filamu na muziki pia, nitatangaza nia kuchukua moja kati majimbo makubwa kabisa hapa Dar, na kuingia Bungeni kwa kazi...
10 years ago
MichuziMaalim Seif akutana na wanachama walioomba kugombea nafasi za Ubunge kupitia CUF
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amewataka wagombea wa nafasi mbali mbali ndani ya chama hicho kujenga imani na kamati za uteuzi za kuwapata wagombea kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Amesema kamati zote zilizoteuliwa kufanya kazi hiyo zitafanya kazi zake kwa umakini bila ya kujali wadhifa au umaarufu wa mgombea.
Maalim Seif ameeleza hayo katika kikao maalum cha kupeana nasaha na wanachama walioomba kugombea nafasi za...
10 years ago
Dewji Blog08 Jul
Mtangaza nia ubunge Ludewa aangukia pua nafasi ya NEC , asema hataki tena kugombea
Mkuu wa wilaya ya Ludewa, Antonia Choya akimkabidhi hati ya shukrani mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe (kushoto).
Mjumbe wa mkutano huo Bw. Choya akipiga kura.
Wajumbe wakishiriki kupiga kura.
Wajumbe ...
10 years ago
Vijimambo
BI. CHIKULUPI NJELU KASAKA ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE WA VITI MAALUM,VIJANA -MBEYA ,ATOA VIPAUMBELE VYAKE.



MFAHAMU BI. CHIKULUPI NJELU KASAKA
*Anaitwa...
10 years ago
Bongo506 Feb
AY atoa funzo kwa wasanii wenye malengo ya kufanya collabo na wasanii wa nje