Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maalim Seif akutana na wanachama walioomba kugombea nafasi za Ubunge kupitia CUF

Na Hassan Hamad, OMKR
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amewataka wagombea wa nafasi mbali mbali ndani ya chama hicho kujenga imani na kamati za uteuzi za kuwapata wagombea kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Amesema kamati zote zilizoteuliwa kufanya kazi hiyo zitafanya kazi zake kwa umakini bila ya kujali wadhifa au umaarufu wa mgombea.
Maalim Seif ameeleza hayo katika kikao maalum cha kupeana nasaha na wanachama walioomba kugombea nafasi za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA WA NAFASI YA UBUNGE JIMBO LA DODOMA MJINI KUPITIA CCM ANTHON MAVUNDE AMECHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA NAFASI HIYO

  Mgombea ubunge kupitia chama cha mapinduzi [CCM] Jimbo la Dodoma Mjini  Anthon Mavunde akipokea Fomu za kugombea nafasi hiyo Toka kwa Afsa Uchaguzi Manispaa ya Dodoma Elizabert Gumbo jana mjini Humo.Picha na John Banda
  Mavunde akionyesha Fomu hizo baada ya kuzichukua katika ofisi za manispaa jana. Mgombea Ubunge jimbo la Dodoma mjini kupitia CCM Anthon Mavunde akiwapungia watu Mikono juu ya Gari wakati alipokuwa akienda kuchukua Fomu za kugombea nafasi hiyo. Baadhi ya wafuasi wa Chadema...

 

11 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AREJESHA FOMU KUGOMBEA UKATIBU MKUU CUF

Na Hassan Hamad  wa OMKR Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amerejesha fomu ya kugombea tena nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama hicho, na kusisitiza msimamo wake wa kuendelea kuwaunganisha Wazanzibari.  Akikabidhi fomu hiyo kwa Katibu wa CUF Wilaya ya Magharibi Unguja Bw. Juma Rajab, Maalim Seif amesema suala la ubaguzi kamwe halitopewa nafasi ndani ya chama hicho.  Amefahamisha kuwa wazanzibar wote ni wamoja bila ya kujali asili ya mtu anapotokea ndani ya visiwa vya Zanzibar, na...

 

10 years ago

Vijimambo

MAALIMU SEIF AREJESHA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CUF

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiwasili katika Ofisi za CUF jimbo la Bububu kwa ajili y akurudisha fomu ya kugombea Urais kupitia CUFKatibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akirejesha fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama hicho. Fomu hiyo aliyoichukua tarehe 28/05/2015, ameirejesha na kumkabidhi Katibu wa CUF Wilaya ya Magharibi "A" Saleh Mohd Saleh, katika ofisi za Chama hicho zilizoko jimbo la Bububu Zanzibar.Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamasd...

 

11 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF ACHUKUA FOMU YA KUWANIA NAFASI YA KATIBU MKUU CHAMA CHA CUF

Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akichukua fomu ya kugombea tena nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama hicho katika ofisi kuu za CUF Wilaya ya Magharibi Kilimahewa Zanzibar. Anayemkabidhi ni Kaimu Katibu wa CUF Wilaya ya Magharibi Ussi Juma Hassan. Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akionyesha fomu ya kugombea tena nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama hicho katika ofisi kuu za CUF Wilaya ya Magharibi Kilimahewa Zanzibar. Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad...

 

9 years ago

Michuzi

Maalim SEIF SHARIF HAMAD akutana na Wagombea wa CUF - Pemba

Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na viongozi pamoja na wagombea wa chama hicho katika ukumbi wa skuli ya Fidel Castro Kisiwani Pemba.Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na mgombea uwakilishi wa CUF Jimbo la Ole baada ya kutambulishwa kwa wagombea rasmi wa Ubunge na Uwakilishi.Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Ismail Jussa Ladhu, akizungumza na viongozi pamoja na wagombea wa chama hicho katika ukumbi wa skuli ya Fidel Castro...

 

10 years ago

Michuzi

Maalim Seif Sharif Hamad, akimtambulisha Mansour Yussuf Himid kwa wanachama na wapenzi wa CUF Kiembesamaki, Unguja, leo

 Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akimtambulisha Mansour Yussuf Himid kwa wanachama wa Kiembesamaki na kuwaomba wamuunge Mkono leo Unguja Aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki (CCM) Mansour Yussuf Himid, akizungumza katika mkutano wa hadhara wa CUF uliofanyika jimboni humo. Wafuasi na wapenzi wa CUF wakifuatilia mkutano huo wa kumtambulisha Mansour.Wafuasi na wapenzi wa CUF wakifuatilia mkutano huo wa kumtambulisha Mansour.

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU WA CUF MAALIM SEIF AWAPA SOMO WALIOONYESHA NIA YA KUWANIA UBUNGE, UWAKILISHI NA UDIWANI UNGUJA

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na wagombea wa Uwakilishi, Ubunge na Udiwani wa CUF katika ukumbi wa Majid, Kiembesamaki. Mkurugenzi wa Mipango na Chaguzi wa CUF Omar Ali Shehe akizungumza katika mkutano na wagombea wa Uwakilishi, Ubunge na Udiwani wa CUF katika ukumbi wa Majid, Kiembesamaki.
Baadhi ya wagombea Uwakilishi, Ubunge na Udiwani wa CUF Unguja wakijitokeza kwenye mkutano huo (Picha na Salmin Said, OMKR)

      Na: Hassan Hamad, OMKR 

Katibu Mkuu wa Chama Cha...

 

10 years ago

Michuzi

Maalim Seif akutana na rais wa taasisi ya Kimataifa ya Global Peace Foundation, atembelea ofisi za CUF zilizochomwa moto Dimani

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amesema Zanzibar inaunga mkono juhudi zinazochukuliwa na taasisi ya Kimataifa ya Global Peace Foundation katika kuhimiza amani na utulivu Duniani. Maalim Seif amesema hayo leo wakati alipokuwa na mazungumzo na ujumbe kutoka jumuiya hiyo, ulioongozwa na Rais wake, James Flynn huko ofisini kwake Migomnani mjini Zanzibar. Amesema Dunia inakabiliwa na matukio mengi yanayo hatarisha amani na utulivu, hivyo mchango wa jumuiya hiyo...

 

11 years ago

Mwananchi

Wanachama 34 CUF wawakataa Seif, Lipumba

>Wanachama 34 wa Chama cha Wananchi (CUF), wamepiga kura za kuwakataa Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba na Katibu Mkuu wake, Maalim Seif Sharif Hamad.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani