MAALIMU SEIF AREJESHA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CUF
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiwasili katika Ofisi za CUF jimbo la Bububu kwa ajili y akurudisha fomu ya kugombea Urais kupitia CUFKatibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akirejesha fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama hicho. Fomu hiyo aliyoichukua tarehe 28/05/2015, ameirejesha na kumkabidhi Katibu wa CUF Wilaya ya Magharibi "A" Saleh Mohd Saleh, katika ofisi za Chama hicho zilizoko jimbo la Bububu Zanzibar.Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamasd...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMAALIM SEIF AREJESHA FOMU KUGOMBEA UKATIBU MKUU CUF
9 years ago
MichuziDK.SHEIN AREJESHA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR
11 years ago
Dewji Blog09 Jul
Dismas Lyassa arejesha fomu ya kugombea Urais TUCTA
Mhariri wa masuala ya Biashara wa gazeti la Mwananchi na Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Mawasiliano na Uchukuzi Tanzania (COTWU-T) Tawi la Mwananchi Communications Limited, Dismas Lyassa (kulia) akirudisha fomu ya kugombea Urais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) kwa Katibu Mkuu wa COTWU Kanda ya Dar es Salaam, Musa Mwakalinga. Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika Agosti 4-5, mwaka huu mkoani Dodoma. (Picha na Khamis Tembo).
9 years ago
Habarileo05 Sep
Seif arejesha fomu ya urais Zanzibar
MGOMBEA wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Seif Sharif Hamad amerudisha fomu ya kuwania nafasi hiyo kwa mara ya tano huku akisema imani yake kubwa kwamba uchaguzi mkuu utakuwa huru na haki utakaofuata misingi ya uadilifu.
9 years ago
VijimamboMgombea Urais wa Chama cha ACT Mhe Khamis Iddi Lila Arejesha fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar Tume ya Uchaguzi ZEC.
10 years ago
MichuziPINDA AREJESHA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS MJINI DODOMA LEO
5 years ago
CCM BlogPROF. MAKAME MBARAWA AREJESHA FOMU ZA KUOMBA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR
10 years ago
MichuziDK.Shein Arejesha Fomu za kugombea Urais wa Zanzibar leo mjini Unguja
5 years ago
MichuziKada wa CCM Mohammed Hija Arejesha Fomu Yake ya Kugombea Urais leo.
Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar akihakiki fomu za Mgombea Urais Mhe. Mohammed Hija wakati akirejesha fomu hizo baada ya kumaliza zoezi la kutafuta wadhamini na kuzijaza, hafla hiyo imefanyika leo Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar akihakiki fomu za Mgombea Urais Mhe. Mohammed Hija wakati akirejesha fomu hizo baada ya kumaliza zoezi la kutafuta wadhamini na kuzijaza, hafla hiyo imefanyika leo Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui...