Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


H.Baba azirejesha ‘Tuzo za Familia’ Dully Sykes na Riyama washinda (Picha)

Dr. Fadhili Emily akiiwakilisha The Fadhaget Sanitarium Clinic akimkabidhi Tanzanite tuzo ya ubalozi wa Kliniki hiyo

Tuzo za Familia za msanii wa muziki, H.Baba akishirikiana na mke wake, Flora Mvungi zimefanyika kwa mara ya pili, Jumapili hii ndani ya City Style Hotel iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam ambapo wawili hao waliondoka na tuzo na Best Couple of The Year 2015.

Flora Mvungi akijiandaa kumkabidhi Riyama tuzo
Flora Mvungi akijiandaa kumkabidhi Riyama tuzo

Katika tuzo hizo, Dully Sykes aliondoka na tuzo ya Hall Fame of The Year 2015 kwa upande wa muziki huku Riyama Ally akiondoka na Hall Fame Of The Year 2015 kwa upande wa...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TANZIA: BABA MZAZI WA DULLY SYKES, MZEE SYKES AFARIKI DUNIA

Mzee Sykes enzi za uhai wake. Dully akiwa na baba yake mzazi, Mzee Sykes enzi za uhai wake. Baba…

 

10 years ago

Bongo5

Baba yake na Dully Sykes, Ebby Sykes afariki dunia

Baba mzazi wa Dully Sykes, Mzee Ebby Sykes amefariki dunian akiwa na umri wa miaka 62. Angetimiza miaka 63 February 24. Mtoto wake wa kike aitwaye Raya Sykes amethibitisha taarifa hizo kwenye mtandao wa Instagram. “Mungu akulaze mahali pema peponi baba angu mm nilikupenda lakin mungu alikupenda zaid nasikitika nipo mbali sitaweza kukuzika!ulikua ni mtu […]

 

10 years ago

Vijimambo

BABA MZAZI WA DULLY SYKES, MZEE SYKES AFARIKI DUNIA

Dully akiwa na baba yake mzazi, Mzee Sykes enzi za uhai wake.

 

10 years ago

CloudsFM

Hiki ndicho kilichomuua baba yake Dully Sykes,Mzee Ebby Sykes

Marehemu Mzee Abby Sykes ambaye ni Baba mzazi wa mwimbaji wa Bongo Fleva Prince Dullysykes, alifariki saa 8 mchana February 15 2015 akiwa hospitali ya taifa Muhimbili kwa ajili ya kupatiwa matibabu. Dullysykes ameongea na millardayo.com ikiwa ni pamoja na kuelezea kitu kilichosababisha umauti wa baba yake ambapo ameanza kwa kusema >>’Mzee alikua ana vidonda katika miguu na ndiyo chanzo kikubwa, sumu ikasambaa ikasababisha kifo chake, vidonda vilishindwa kupona kwa ajili ya moshi wa sigara...

 

10 years ago

Michuzi

JUST IN: BABA WA MSANII DULLY SYKES AFARIKI DUNI

BABA mzazi wa msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini, Dully Sykes, mzee Ebby Sykes amefariki dunia jioni ya leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa Presha.
Ebby Sykes alikuwa muimbaji na mpiga gitaa mashuhuri na ndiye anayedaiwa kumfundisha mambo mengi ya muziki mwanae Dully Sykes.
Sykes alizaliwa February 24, 1952 ambapo tarehe hiyo mwaka huu alikuwa anatimiza miaka 63.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
-Amen

 

10 years ago

CloudsFM

Dully Sykes: Walioshindwa kumzika baba yangu wamenihuzunisha

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Dully Sykes, ameshangazwa na kitendo cha wasanii wengi kutojitokeza katika mazishi ya baba yake mzazi, Ebby Sykes juzi jijini Dar es Salaam.

Akizungumza jijini juzi mara baada ya kumalizika kwa mazishi ya baba yake, msanii huyo alisema ameshangaa jinsi gani wasanii wengi wamekuwa na roho za chuki. Alisema matarajio yake yalikuwa kuwaona wenzake wakiungana naye katika wakati huo mgumu, lakini ni wachache sana walioonyesha moyo wa upendo na...

 

10 years ago

GPL

MAMIA WAMZIKA BABA MZAZI WA DULLY SYKES MAKABURI YA KISUTU, DAR

Mwili wa marehemu Ebby Sykes yaliyofanyika jana ukiwa  kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Wakati wa mazishi jana.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani