Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Helikopita ya UN yaanguka Mali

Helikopita ya umoja wa mataifa imeanguka Kaskazini mwa Mali na kuua watu wawili raia ambao ni wafanyakazi wa ndege hiyo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ndege ya Algeria yaanguka

Ndege ya Shirika la Ndege la Algeria iliyokuwa ikiruka kutoka Uwanja wa Ndege wa Ouagadougou, Burkina Faso kwenda Algiers ikiwa na abiria 116, imeanguka.

 

9 years ago

Habarileo

Nyumba yaanguka, yaua 2

WATOTO wawili, akiwemo mwanafunzi wa shule ya msingi Mkwese wilayani Manyoni mkoani Singida, wamekufa baada ya kuangukiwa na nyumba ya tembe kutokana na mvua kubwa iliyonyesha kijijini hapo.

 

10 years ago

Habarileo

Ndege yaanguka Serengeti

UCHUNGUZI wa awali kuhusu kupotea kwa ndege ya mizigo ya Shirika la Safari Express ya nchini Kenya, umeonesha kuwa ndege hiyo yenye usajili namba 5Y SXP, aina ya Fokker 27, imepata ajali.

 

10 years ago

Mtanzania

Ndege ya JWTZ yaanguka Mwanza

Na Mwandishi Wetu,

NDEGE ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) imeanguka jana katika eneo la Uwanja wa Ndege wa Kijeshi wa Mwanza wakati ikifanya mazoezi.
Akitoa taarifa za kuanguka kwa ndege hiyo katika Makao Makuu ya jeshi hilo yaliyopo Dar es Salaam jana, Msemaji wa JWTZ, Joseph Masanja, alisema ndege za kivita za JWTZ zilikuwa katika mazoezi ya kawaida na wakati rubani wake, Meja Peter Lyamunda, akijiandaa kuruka, ndipo ndege mnyama akaingia katika moja ya injini na...

 

10 years ago

CloudsFM

NDEGE YAANGUKA YAWAKA MOTO

Mamlaka ya uwanja wa ndege imethibitisha kutokea kwa ajali ya ndege moja ambayo imegonga jengo la kuongozea ndege katika uwanja wa Wichita, Kansas Marekani.
Mashuhuda wa tukio hilo wamesema ndege hiyo imepata ajali hiyo muda mfupi uliopita ambapo iligonga jengo hilo na kuwaacha takribani watu kumi wakiwa wamenasa ndani ya jengo na haijafahamika bado kuhusiana na hali zao.

Hakuna taarifa zinazoelezea kuhusiana na ukubwa wa ndege hiyo wala idadi ya watu waliokuwamo ndani. Picha zilizoenea...

 

9 years ago

BBCSwahili

Ndege yaanguka Sudan Kusini

Watu kadha wanahofiwa kufariki baada ya ndege iliyotengenezewa Urusi kuanguka muda mfupi baada ya kupaa kutoka Juba, Sudan Kusini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ndege ya kijeshi yaanguka Nigeria

Helikopta ya kijeshi ya Nigeria imeanguka katika eneo la kaskazini mashariki mwa nchi hiyo

 

9 years ago

Mtanzania

Ndege ya JWTZ yaanguka baharini

kanaliNa Aziaza Masoud, DAR ES SALAAM

MARUBANI  wawili  wa kikosi cha jeshi la anga wamefariki baada ya ndege ya mafunzo ya   Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kupata hitilafu na kuanguka  eneo la Silversands Msasani katika kisiwa cha Mbudya,   Dar es Salaam.

Taarifa za kuanguka kwa ndege hiyo zilianza kusambaa kupitia mitandao ya jamii jana asubuhi   zikieleza kuwa  wavuvi walikuwa wa kwanza kutambua ajali hiyo baada ya   kuona kofia ngumu.

Akizungumza na Mtanzania Dar es Salaam jana, Mkurugenzi...

 

11 years ago

Habarileo

Mabehewa treni ya Ubungo yaanguka

MVUA zilizonyesha usiku wa kuamkia leo zimesababisha injini ya treni kutoka Stesheni kwenda Ubungo Maziwa, kuacha njia na kusababisha mabehewa kuanguka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani