Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mabehewa treni ya Ubungo yaanguka

MVUA zilizonyesha usiku wa kuamkia leo zimesababisha injini ya treni kutoka Stesheni kwenda Ubungo Maziwa, kuacha njia na kusababisha mabehewa kuanguka.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Treni ya mizigo yaanguka, abiria 1,000 wa treni wakwama Dodoma

Zaidi ya abiria 1,000 waliokuwa wakisafiri kwa treni ya Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) kutoka jijini Dar es Salaam kwenda mikoani ya Kigoma na Mwanza wamekwama mkoani hapa baada ya treni ya mizigo kuanguka kati ya Kituo cha Itigi na Kitalaka.

 

11 years ago

Habarileo

Tanzania yaomba mabehewa, injini za treni

SERIKALI ya Uingereza inatafakari ombi la Tanzania la mabehewa na injini za treni, ambayo nchi hiyo haizitumii tena, lakini bado ni nzima kwa ajili ya kusaidia kuimarisha usafiri wa reli katika Tanzania na hasa wa Jiji la Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

MABEHEWA 22 YA TRENI YA ABIRIA YA DELUXE NI MAPYA! - TRL

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania –TRL unachukua fursa hii kukanusha vikali taarifa potofu zilizoandikwa na baadhi ya magazeti kuwa mabehewa 22 ya abiria yaliyonunuliwa na Serikali kutoka Korea ya Kusini ni mabovu. Mabehewa haya yalikwisha fanyiwa majaribio na TRL kuridhika kuwa hayana kasoro yoyote.
Hoja kuwa tokea yawasili nchini mwezi Desemba , 2014 hayajaanza kutumika kwa vile ni mabovu ni upotoshaji wa ukweli. Ukweli ni kwamba kuanzia Novemba 24, 2014 TRL ilipeleka ...

 

5 years ago

BBCSwahili

Corona: India kutumia mabehewa 500 ya treni kama vyumba vya wagonjwa

India kwa sasa imesema itageuza mabogi ya treni 500 kutoa nafasi ya kuweka vitanda elfu 8 vya wagonjwa wa virusi vya corona.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKAGUA MABEHEWA MABEHEWA MAPYA YA TRL LEO

Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akiongozwa na Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia kwake) na Naibu Waziri wake, Dkt. Charles Tizeba (kulia) kukagua baadhi ya mabehewa mapya ya Shirika la Reli nchini (TRL) yaliyonunuliwa na kwa fedha za serikali wakati alipokwenda kwenye bandari ya jijini Dar es salaam leo Desemba 8,2014.Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akiangalia jiko ambalo liko ndani ya behewa la daraja la pili kwenye moja ya mabehewa 22 yaliwasili nchini mwisho wa wiki,...

 

10 years ago

Michuzi

ABIRIA WA TRENI MKOANI DODOMA KUTUMIKA KITUO KIDOGO CHA KATOSHO BADALA YA STESHENI YA TRENI YA KIGOMA KWA TRENI ZA ABIRIA KUANZIA FEBRUARI 18, 2015

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania –TRL unasikitka kutangaza kuwa treni za abiria za kwenda Kigoma hazitofika katika stesheni ya Kigoma badala yake zitatumia kituo kidogo cha Katosho.
Kwa mujibu wa wa taarifa ya Uongozi wa TRL lilitolewa Februari 16, 2015 uamuzi wa treni  kutofika katika stesheni ya Kigoma  unatokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mjini  Kigoma na hivyo kuzoa mchanga ambao umefunika tuta la reli katika eneo la  stesheni ya Kigoma.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo abiria wote...

 

10 years ago

Michuzi

HUDUMA YA TRENI YA DELUXE KUSIMAMA KATIKA KITUO CHA NGURUKA KUANZIA TRENI ITAKAYOANDOKA DAR JUMAPILI IJAYO MEI 17, 2015

Uongozi wa Kampuni  ya Reli Tanzania  –TRL unachukua  fursa hii kuwataarifu wateja wetu wote na Watanzania kwa ujumla na hasa maeneo ya kituo cha Reli cha Nguruka mkoani Kigoma, kuwa treni yetu maarufu ya Deluxe itasimama kituoni hapo kuteremsha na kupakia  abiria.
Kwa taarifa hii ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu na Wakazi wa maeneo yanayozunguka kituo cha  Nguruka, shime  wajitokeze kwa wingi kukata tiketi za safari kwa mujibu wa mahitaji yao . Halikadhalika safari za deluxe zitakuwa wiki...

 

11 years ago

Habarileo

Mabehewa mapya kuanza kuingia Julai

MABEHEWA mapya 22 ya abiria, 274 ya mizigo na 34 ya breki pamoja na vichwa vinane vipya vya treni, yanatarajiwa kuwasili kati ya Julai na Desemba mwaka huu, imefahamika.

 

10 years ago

Habarileo

Mabehewa chakavu yang’oa vigogo TRL

Samwel SittaSERIKALI imewasimamisha kazi karibu viongozi wote wakuu wa Kampuni ya Reli nchini (TRL), kwa kile kilichoelezwa kuwa hujuma ya mabilioni ya shilingi yaliyotumika kununua mabehewa chakavu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani