HERENI ZA JB MH!
![](http://api.ning.com:80/files/9677Xpk6OnUPdweje4Mr274YHiCuwqPDxlIiTXGiE8QNzfxywF5GC1NLhSN6NhOqJDhGAJ3QXglNKtG12eP89er0ysQhHjzL/jb.jpg)
KWA mara ya kwanza legendary wa filamu Bongo, Jacob Stephen ‘JB’ alionekana akiwa amevaa hereni na kujichora nyota kichwani kitu ambacho kiliibua minong’ono kwa mashabiki wake. Legendary wa filamu Bongo, Jacob Stephen ‘JB’ akiingia ulingoni kuzichapa na 'Coud'. JB alionekana na swaga hizo kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini lililofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar alipokuwa akiingia...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi02 Mar
Vaa hereni kulingana na umbo lako
Ni jambo la kawaida kwa mrembo au mtu yeyote anayeelewa masuala ya mitindo ya kunakshi vazi lake linapokuwa limekamilika.
9 years ago
BBCSwahili29 Oct
Bibi wa miaka 85,akamatwa kwa kuiba hereni
Bibi kizee mmoja mwenye umri wa miaka 85 raia wa Marekani na ambaye amekuwa akiiba vito vya thamani kwa zaidi ya miaka 60 amehukumiwa tena kwa kosa la wizi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania