Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bibi wa miaka 85,akamatwa kwa kuiba hereni

Bibi kizee mmoja mwenye umri wa miaka 85 raia wa Marekani na ambaye amekuwa akiiba vito vya thamani kwa zaidi ya miaka 60 amehukumiwa tena kwa kosa la wizi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MJUKUU ASAKWA KWA UBAKAJI, ULAWITI BIBI MIAKA 74!

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro
UNYAMA uliyoje! Kijana aliyefahamika kwa jina moja la Pius (28), mkazi wa Kijiji cha Nyingwa Kata ya Kibungo Juu, Tarafa ya Matombo wilayani Morogoro Vijijini, anasakwa kwa tuhuma za ubakaji na ulawiti wa bibi mmoja,(74). Bibi anayesadikiwa kibakwa na kulawitiwa na mjukuu wake aliyefahamika kwa jina moja la Pius. Kwa mujibu wa chanzo chetu, mtuhumiwa huyo alikamatwa na kufikishwa katika Kituo...

 

5 years ago

CCM Blog

BIBI WA MIAKA 103 APONA CORONA, AJIPONGEZA KWA BIA


Bibi mmoja aliyejulikana kwa jina la Jennie Stejna mwenye miaka 103, amejipongeza kwa kunywa bia ya baridi iitwayo Bud Light, baada ya kupona ugonjwa wa Virusi vya Corona.Mzee huyo anapatikana Massachusetts Jijini Boston, alianza kuumwa ugonjwa huo mwanzoni mwa mwezi Mei,  kwa dalili za kukosa ladha pia na kuumwa na homa kisha kupelekwa hospitali.
Akitoa taarifa hiyo mkwe wa mjukuu wake Adam Gunn amesema, wote walikuwa wanajua tayari wanaelekea kumpoteza bibi yao,  na kuna siku aliwahi...

 

10 years ago

Mwananchi

Bibi harusi wa miaka 14 amuua mumewe kwa sumu kupinga kuolewa

Bi harusi wa miaka 14 nchini Nigeria ameshtakiwa kwa kuwaua watu wanne akiwemo mumewe wa miaka 35 baada ya kuweka sumu ya panya katika chakula alichoandaa kwa sherehe za harusi yake.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mchungaji wa kanisa akamatwa kwa tuhuma ya kumficha ndani mtoto wake kwa miaka 12

IMG_1239

Kijana mkazi wa kijiji cha Itaja tarafa ya Mgori wilayani Singida, Timotheo David (30), akiwa amelazwa wodi namba nne hospitali ya mkoa wa Singida baada ya kuletwa na jeshi la polisi siku mbili zilizopita. Inadaiwa kuwa Timotheo baada ya kuugua Malaria kali mwaka 2003 na kuchanganyikiwa akili, alifungiwa ndani chumbani toka wakati huo hadi juzi alipotolewa na polisi na kuletwa hospitalini. Kwa mujibu wa Kaimu Mganga mfawidhi hospitali ya mkoa, Dk.Napaiya Petro, Timotheo hana ugonjwa wo wote...

 

10 years ago

GPL

BIBI MIAKA 54 ALIA KUTOROKWA NA MCHUMBA MIAKA 25

HARUNI SANCHAWA NA MAKONGORO OGING, PWANI LILE sakatala lililotamba kwenye vyombo vya habari la  bi harusi, Bahati Mwakambonja (54), kutaka kufunga ndoa na kijana wa miaka 24, Isiaka Jeremiah limechukua sura mpya baada ya bwana harusi huyo kutoweka nyumbani Mkuranga, Pwani na kwenda kusikojulikana huku bibi huyo akishinda analia. Bibi Bahati Mwakambonja anayedai kutorokwa na mchumbaake. Timu ya Amani hivi karibubni ilifika...

 

10 years ago

Vijimambo

BIBI HUYU AUA MJUKUU WAKE WA MIAKA 6 KWA KUMTUPA DIRISHANI WAKATI BASI LIKIWA KATIKA MWENDO KASI HUKO SINGIDA

Bi Lawaridi sadi (46)akiwa kituo cha polisi mkoani singida kwa kosa la kutupa mtoto kwenye basi basi ililolilikuwa likielekea mkoani kigoma

Katika hali isiyo kuwa ya kawaida mama moja aliye kuwa akisafiri na mtoto wake mmoja na wajukuu zake wawili, aliamua kumtupa mjukuu wake wa miaka sita dirishani huku basi likiwa katika mwendo kasi na kusababisha kifo chake baada ya kufikishwa katika hospitali ya mkoa wa Singida.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa jeshi la polisi mkoani Singida...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Bibi wa miaka 81 abakwa

MKAZI wa kijiji cha Luteba, wilayani hapa, jina linahifadhiwa (81) amedaiwa kubakwa na watu wasiojulikana na kumsababishia maumivu makali. Akisimulia mkasa huo Bibi huyo, alisema kuwa tukio hilo lilitokea juzi...

 

5 years ago

BBCSwahili

Bibi wa miaka 68 ajifungua mapacha Nigeria

Bibi huyo alijifungua kwa upasuaji katika Hospitali ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Lagos.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani