BIBI WA MIAKA 103 APONA CORONA, AJIPONGEZA KWA BIA
Bibi mmoja aliyejulikana kwa jina la Jennie Stejna mwenye miaka 103, amejipongeza kwa kunywa bia ya baridi iitwayo Bud Light, baada ya kupona ugonjwa wa Virusi vya Corona.Mzee huyo anapatikana Massachusetts Jijini Boston, alianza kuumwa ugonjwa huo mwanzoni mwa mwezi Mei, kwa dalili za kukosa ladha pia na kuumwa na homa kisha kupelekwa hospitali.
Akitoa taarifa hiyo mkwe wa mjukuu wake Adam Gunn amesema, wote walikuwa wanajua tayari wanaelekea kumpoteza bibi yao, na kuna siku aliwahi...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili28 May
Virusi vya corona: Ajuza wa miaka 111 apona nchini Chile
9 years ago
BBCSwahili29 Oct
Bibi wa miaka 85,akamatwa kwa kuiba hereni
5 years ago
CCM BlogMGONJWA WA TATU WA CORONA APONA NA KURUHUSIWA
• Mwingine mmoja kusubiri kipimo cha mwisho
Na. WAMJW-Dar es Salaam
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kuwa mgonjwa wa tatu aliyeambukizwa ugonjwa wa corona nchini amepona na kuruhusiwa kurudi nyumbani, huku mgonjwa mwingine mmoja kipimo cha pili ameonyesha negative hivyo anasubiri kipimo cha mwisho kuthibitishwa kupona.
Waziri Ummy ameyasemahaya leo jijini hapa kuwa mmoja wa wagonjwa hao ni yule aliyekuwa amelazwa kwenye kituo maalumu ya tiba...
11 years ago
GPLMJUKUU ASAKWA KWA UBAKAJI, ULAWITI BIBI MIAKA 74!
5 years ago
MichuziMgonjwa wa tatu apona ugonjwa wa Corona na kuruhusiwa
• Mwingine mmoja kusubiri kipimo cha mwisho
Na. WAMJW-Dar es Salaam
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kuwa mgonjwa wa tatu aliyeambukizwa ugonjwa wa corona nchini amepona na kuruhusiwa kurudi nyumbani, huku mgonjwa mwingine mmoja kipimo cha pili ameonyesha negative hivyo anasubiri kipimo cha mwisho kuthibitishwa kupona.
Waziri Ummy ameyasemahaya leo jijini hapa kuwa mmoja wa wagonjwa hao ni yule aliyekuwa amelazwa kwenye kituo maalumu ya tiba...
5 years ago
MichuziMWINGINE APONA CORONA,HATUNA WAGONJWA WAPYA WA COVID19.
''Na leo pia hatuna case mpya za COVID19. Mgonjwa wa Kagera (Ngara) amepona. Sasa jumla ya waliopona ni 3. Mgonjwa aliebaki wa Arusha vipimo vyake siku ya 9 leo ni Negative. Tutampima siku ya 14 ili kujiridhisha kama amepona. Wagonjwa wengine 15 waliobaki wanaendelea vizuri.
Nitumie fursa hii kuwashukuru wananchi kwa kuzingatia maelekezo ya Wataalam wa Afya ili kujikinga na Ugonjwa huu ikiwemo kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka. Sasa pia tuongeze nguvu ktk kuepuka...
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Bibi harusi wa miaka 14 amuua mumewe kwa sumu kupinga kuolewa
5 years ago
MichuziMZEE WA MIAKA 99 APONA MAAMBUKIZI YA COVID-19 NCHINI BRAZILI
Piveta aliyepigana vita ya pili ya dunia alitoka Hospitalini ya Kijeshi katika mji ya Brasilia hapo akiwa amevaa kofia ya jeshi na kusalimiana kutoka kwa kiti chake cha magurudumu akionesha ishara ya ushindi na kupigiwa makofi ya wahudumu wa hospitali hiyo.
"Kushinda vita hii ilikuwa...