Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MZEE WA MIAKA 99 APONA MAAMBUKIZI YA COVID-19 NCHINI BRAZILI

Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiRAIA na mwanajeshi wa zamani wa Brazili, Ermando Piveta, mwenye umri wa miaka 99, amekuwa Mbrazili mkongwe kupona maambukizi ya coronavirus na kuruhusiwa kutoka siku ya Jumanne.
Piveta aliyepigana vita ya pili ya dunia alitoka Hospitalini ya Kijeshi katika mji ya Brasilia hapo akiwa amevaa kofia ya jeshi na kusalimiana kutoka kwa kiti chake cha magurudumu akionesha ishara ya ushindi na kupigiwa makofi ya wahudumu wa hospitali hiyo.
"Kushinda vita hii ilikuwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Ajuza wa miaka 111 apona nchini Chile

Bi Zúñiga alikutwa na ugonjwa huo baada ya kutokea mlipuko wa maambukizi katika kituo cha kulea wazee ambacho anatunzwa.

 

5 years ago

CCM Blog

MWONGOZO WA UDHIBITI WA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA (CORONA COVID-19) KATIKA SHULE, VYUO NA TAASISI ZA ELIMU NCHINI


Kufuatia Mlipuko wa Ugonjwa wa Homa kali ya Mapafu inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19) uliripotiwa kwa mara ya kwanza hapa nchini tarehe 16 Machi, 2020, Serikali ilichukua hatua mbalimbali kwa ajili ya kudhibiti kuenea kwa ugonjwa huu nchini. 
Hatua zilizochukuliwa ni pamoja na kufunga shule zote za Awali, Msingi, Sekondari, Vyuo na taasisi za elimu nchini. Kutokana na takwimu za mwenendo wa ugonjwa huu nchini kwa sasa kuonyesha kupungua kwa maambukizi ya Virusi vya Corona, mnamo...

 

5 years ago

Michuzi

CHAMA CHA CUF CHAUNGA MKONO MAAMUZI YA SERIKALI KUPAMBANA NA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA CORONA (COVID-19) NCHINI

CUF- Chama Cha Wananchi kinapenda kuunga mkono Maamuzi ya Serikali ya kutangaza kuendelea kufungwa kwa Shule na Vyuo vya Elimu ya Juu pamoja na kuendelea kusimamisha mikusanyiko ya shughuli za Michezo katika kupambana na kuenea kwa  Maambukizi ya COVID-19.  CUF-Chama Cha Wananchi kinaunga mkono pia Uamuzi wa kufuta Sherehe za Muungano na Mei Mosi kwa mwaka huu na pia Maamuzi ya kuelekeza Shilingi Milioni 500 zilizopangwa zitumike kwenye Sherehe za Muungano, kwenye Mfuko wa Kupambana na...

 

5 years ago

CCM Blog

BIBI WA MIAKA 103 APONA CORONA, AJIPONGEZA KWA BIA


Bibi mmoja aliyejulikana kwa jina la Jennie Stejna mwenye miaka 103, amejipongeza kwa kunywa bia ya baridi iitwayo Bud Light, baada ya kupona ugonjwa wa Virusi vya Corona.Mzee huyo anapatikana Massachusetts Jijini Boston, alianza kuumwa ugonjwa huo mwanzoni mwa mwezi Mei,  kwa dalili za kukosa ladha pia na kuumwa na homa kisha kupelekwa hospitali.
Akitoa taarifa hiyo mkwe wa mjukuu wake Adam Gunn amesema, wote walikuwa wanajua tayari wanaelekea kumpoteza bibi yao,  na kuna siku aliwahi...

 

10 years ago

Michuzi

Vijana Saba kusomea mafuta na Gesi nchini Brazili Mwakani

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Ngosi Mwihava (katikati) akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya lugha ya Kireno Zahoro Athmani mmoja kati ya wanafunzi 15, waliohitimu mafunzo hayo, ambapo 7 kati yao tayari wamepata ufadhili wa masomo ya Shahada za Uzamili na Uzamivu katika fani za mafuta na gesi nchini Brazili. Kulia ni Balozi wa Brazili nchini, Fransisco Carlos Luiz, akimpongeza mwanafunzi huyo. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi...

 

5 years ago

Michuzi

Rostam awataka Watanzania kuchukua tahadhari ya maambukizi ya Corona (COVID-19).

Mwandishi Wetu, Zanzibar.
Mfanyabiashara Rostam Aziz amewataka Watanzania kuchukua tahadhari ya maambukizi ya virusi vya corona kutokana na ugonjwa huo kuwa tishio nchini na duniani kwa ujumla.
Rostam amesema hayo leo wakati akikabidhi msaada wa vifaa mbalimbali vya kupambana na maambukizi ya virusi vya corona vyenye thamani ya Sh milioni 500 kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Vifaa hivyo ambavyo amevikabidhi leo kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi ni pamoja na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Mikakati mitano ambayo imethihirisha kudhibiti maambukizi ya Covid-19

Baadhi ya nchi zimeonekena kudhibiti kazi ya maambukizi ya coronavirus, huku nyingine zikihangaika na kuongezeka zaidi kwa kwa siku. Lakini je ni mikakati ipi yenye ufanisi?

 

5 years ago

BBCSwahili

Kuzuia maambukizi ya Covid 19 ni hatia kutembesha mbwa Afrika Kusini

Waziri wa afya Zweli Mkhize awali Jumatano alisema kuwa watu wangeruhusiwa kukimbia na kutembea na mbwa wao, mradi wangefanya kwa uwajibikaji

 

5 years ago

Michuzi

TUJIKINGE,TUJILINDE NA TUWALNDE WENGINE DHIDI YA MAAMBUKIZI YA UGONJWA CORONA (COVID-19).

Wakati serikali ikihamasisha suala la usafi hasa kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni sambamba na uvaaji wa Barakoa (Mask),Lakini bado baadhi ya wananchi  hawalichukulii kwa uzito suala hilo ili kupambana na maambuzi ya ugonjwa wa Corona unaosababishwa na virusi vya COVID 19. Pichani ni waendesha pikipiki almaarufu Bodaboda wakiosha pikipiki zao katika dimbwi la maji lililopo Mtaa wa Majengo - Mbezi kwa Msuguli,hali ambayo inanahatarisha usalama wa afya zao na Wengine. Picha na Cathbert...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani