Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgonjwa wa tatu apona ugonjwa wa Corona na kuruhusiwa


•    Mwingine mmoja kusubiri kipimo cha mwisho

Na. WAMJW-Dar es Salaam

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kuwa mgonjwa wa tatu aliyeambukizwa ugonjwa wa corona nchini amepona na kuruhusiwa kurudi nyumbani, huku mgonjwa  mwingine mmoja kipimo cha pili ameonyesha negative hivyo anasubiri kipimo cha mwisho kuthibitishwa kupona.

Waziri Ummy  ameyasemahaya leo jijini hapa kuwa mmoja wa wagonjwa hao ni yule aliyekuwa amelazwa kwenye kituo maalumu ya tiba...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

MGONJWA WA TATU WA CORONA APONA NA KURUHUSIWA


•    Mwingine mmoja kusubiri kipimo cha mwisho
Na. WAMJW-Dar es Salaam
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kuwa mgonjwa wa tatu aliyeambukizwa ugonjwa wa corona nchini amepona na kuruhusiwa kurudi nyumbani, huku mgonjwa  mwingine mmoja kipimo cha pili ameonyesha negative hivyo anasubiri kipimo cha mwisho kuthibitishwa kupona.
Waziri Ummy  ameyasemahaya leo jijini hapa kuwa mmoja wa wagonjwa hao ni yule aliyekuwa amelazwa kwenye kituo maalumu ya tiba...

 

5 years ago

Michuzi

MUHIMBILI KUFUNGA MASHINE TATU ZA KUSAFISHA DAMU HOSPITALI YA AMANA ILI KUHUDUMIA WAGONJWA WENYE MATATIZO YA FIGO WALIOAMBUKIZWA UGONJWA WA CORONA


Mojawapo ya mashine ya kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo iliyofungwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana ambayo thamani yake ni TZS. 70 Mil.

Mashine ya kusaidia mgonjwa kupumua ambayo itafungwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana ambayo thamani yake ni TZS. 56 Mil.

Mtambo wa kuchuja maji (Portable RO System) kwenda kwenye mashine ya kusafisha damu wenye thamani ya TZS. 28 Mil uliofungwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana


Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imefunga mashine tatu za kusafisha damu...

 

5 years ago

Michuzi

MWINGINE APONA CORONA,HATUNA WAGONJWA WAPYA WA COVID19.


''Na leo pia hatuna case mpya za COVID19.  Mgonjwa wa Kagera (Ngara) amepona. Sasa jumla ya waliopona ni 3. Mgonjwa aliebaki wa Arusha vipimo vyake siku ya 9 leo ni Negative. Tutampima siku ya 14 ili kujiridhisha kama  amepona. Wagonjwa wengine 15 waliobaki wanaendelea  vizuri.

Nitumie fursa hii kuwashukuru wananchi kwa kuzingatia maelekezo ya Wataalam wa Afya ili kujikinga na Ugonjwa huu ikiwemo kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka. Sasa pia tuongeze nguvu ktk kuepuka...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: 'Kila anayekufa sio mgonjwa wa corona' asema Magufuli

Watanzania wengi wanatakiwa kuhamasishwa kuhusu ugonjwa corona

 

5 years ago

Michuzi

RMO SHINYANGA : SIYO KILA MGONJWA MWENYE DALILI ZA CORONA, ANA CORONA

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yudas Ndungile akifungua Mafunzo juu ya ugonjwa wa Corona kwa watoa huduma za afya kutoka katika vituo vya afya halmashauri ya wilaya ya Ushetu,Kahama Mji na Msalala yaliyofadhiliwa na Shirika la LifeWater International leo Alhamis Mei 7,2020 kwenye Ukumbi wa Kahama College of Health Sciences mjini Kahama. Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blogMganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yudas Ndungile akiwasisitiza wataalamu wa afya kutumia taaluma yao...

 

5 years ago

CCM Blog

BIBI WA MIAKA 103 APONA CORONA, AJIPONGEZA KWA BIA


Bibi mmoja aliyejulikana kwa jina la Jennie Stejna mwenye miaka 103, amejipongeza kwa kunywa bia ya baridi iitwayo Bud Light, baada ya kupona ugonjwa wa Virusi vya Corona.Mzee huyo anapatikana Massachusetts Jijini Boston, alianza kuumwa ugonjwa huo mwanzoni mwa mwezi Mei,  kwa dalili za kukosa ladha pia na kuumwa na homa kisha kupelekwa hospitali.
Akitoa taarifa hiyo mkwe wa mjukuu wake Adam Gunn amesema, wote walikuwa wanajua tayari wanaelekea kumpoteza bibi yao,  na kuna siku aliwahi...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Kiungo wa Manchester Marouane Fellaini apona

Marouane Fellaini aruhusiwaameruhusiwa kuondoka hopitalini baada ya kuambikzwa virusi vya Corona

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Ajuza wa miaka 111 apona nchini Chile

Bi Zúñiga alikutwa na ugonjwa huo baada ya kutokea mlipuko wa maambukizi katika kituo cha kulea wazee ambacho anatunzwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani