Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bibi wa miaka 68 ajifungua mapacha Nigeria

Bibi huyo alijifungua kwa upasuaji katika Hospitali ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Lagos.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Ajifungua mapacha waliyoungana Geita

 NEEMA Luswetula (23), mkazi wa Katoro wilayani Geita mkoani hapa amejifungua watoto wawili wenye jinsia tofauti wakiwa wamefariki huku wameungana sehemu ya tumbo na kifua. Akizungumza katika wodi ya wazazi...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA AJIFUNGUA MAPACHA WANNE KWA MKUPUO MKOANI KIGOMA, AOMBA MSAADA KWA WATANZANIA

Na Editha Karlo, Globu ya Jamii - Kigoma
MKAZI wa Kijiji cha Buzebazeba katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, Zuwena Abdu (29) jana amejifungua watoto mapacha wanne kwa mkupuo katika Hospital ya Mkoa  wa Kigoma (Maweni).
Zuwena alisema kuwa watoto aliojifungua wenye jinsia ya kiume ni  watatu na  mmoja ambaye ni wa mwisho ana jinsia ya kike ,wa kwanza akiwa na uzito wa kilo 1.8,pili 2.5 wa tatu 1.7 na wanne 1.7.
Alisema watoto hao alijifungua jana majira ya saa kumi na mbili jioni salama  kwa njia...

 

10 years ago

GPL

BIBI MIAKA 54 ALIA KUTOROKWA NA MCHUMBA MIAKA 25

HARUNI SANCHAWA NA MAKONGORO OGING, PWANI LILE sakatala lililotamba kwenye vyombo vya habari la  bi harusi, Bahati Mwakambonja (54), kutaka kufunga ndoa na kijana wa miaka 24, Isiaka Jeremiah limechukua sura mpya baada ya bwana harusi huyo kutoweka nyumbani Mkuranga, Pwani na kwenda kusikojulikana huku bibi huyo akishinda analia. Bibi Bahati Mwakambonja anayedai kutorokwa na mchumbaake. Timu ya Amani hivi karibubni ilifika...

 

10 years ago

Vijimambo

MTOTO WA MIAKA 11 AJIFUNGUA HUKO PARAGUAY

Binti wa miaka kumi na mmoja nchini Paraguay aliyedai kubakwa na baba yake wa kambo amejifungua mtoto wa kike baada ya mamlaka nchini humo kumzuia asitoe ujauzito aliokua nao.
Madaktari katika mji mkuu wa Asuncion wamesema binti huyo na mtoto wake aliyejifungua kwa njia ya upasuaji wanaendelea vizuri.Tukio hilo limesababisha utata mkubwa nchini Paraguay na katika mitandao ya kijamii, Paraguay ni taifa linaloamini zaidi katika Ukatoliki ambapo mwanamke anaruhusiwa kutoa mimba pale tu afya yake...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bibi wa miaka 81 abakwa

MKAZI wa kijiji cha Luteba, wilayani hapa, jina linahifadhiwa (81) amedaiwa kubakwa na watu wasiojulikana na kumsababishia maumivu makali. Akisimulia mkasa huo Bibi huyo, alisema kuwa tukio hilo lilitokea juzi...

 

5 years ago

Michuzi

TASAF YABORESHA MAISHA YA BIBI WA MIAKA 90 CHUNYA


Na James K. Mwanamyoto – Chunya
Bibi mwenye umri wa miaka tisini, mkazi wa kijiji cha Mapogoro wilayani Chunya ambaye ni Mnufaika wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini (TASAF) Rozina Bilia Mwambogo, ameboresha maisha yake kwa kujenga nyumba ya kuishi, kujishughulisha na kilimo na mazao ya chakula ikiwa ni pamoja na kufuga nguruwe.
Bibi Mwambogo ametoa ushuhuda wa kuboresha maisha yake kupitia TASAF wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na...

 

11 years ago

Mwananchi

Bibi Pelagia mwenye umri wa miaka 101

Kutokana na mfumo wa maisha tunayoishi, vyakula tunavyokula na mabadiliko ya tabia, maisha ya mwanadamu kuishi duniani ni mafupi sana ukilinganishwa na maisha ya zamani walivyoishi wazazi wetu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Bibi wa miaka 85,akamatwa kwa kuiba hereni

Bibi kizee mmoja mwenye umri wa miaka 85 raia wa Marekani na ambaye amekuwa akiiba vito vya thamani kwa zaidi ya miaka 60 amehukumiwa tena kwa kosa la wizi.

 

11 years ago

GPL

MJUKUU ASAKWA KWA UBAKAJI, ULAWITI BIBI MIAKA 74!

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro
UNYAMA uliyoje! Kijana aliyefahamika kwa jina moja la Pius (28), mkazi wa Kijiji cha Nyingwa Kata ya Kibungo Juu, Tarafa ya Matombo wilayani Morogoro Vijijini, anasakwa kwa tuhuma za ubakaji na ulawiti wa bibi mmoja,(74). Bibi anayesadikiwa kibakwa na kulawitiwa na mjukuu wake aliyefahamika kwa jina moja la Pius. Kwa mujibu wa chanzo chetu, mtuhumiwa huyo alikamatwa na kufikishwa katika Kituo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani