Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASAF YABORESHA MAISHA YA BIBI WA MIAKA 90 CHUNYA


Na James K. Mwanamyoto – Chunya
Bibi mwenye umri wa miaka tisini, mkazi wa kijiji cha Mapogoro wilayani Chunya ambaye ni Mnufaika wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini (TASAF) Rozina Bilia Mwambogo, ameboresha maisha yake kwa kujenga nyumba ya kuishi, kujishughulisha na kilimo na mazao ya chakula ikiwa ni pamoja na kufuga nguruwe.
Bibi Mwambogo ametoa ushuhuda wa kuboresha maisha yake kupitia TASAF wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BIBI MIAKA 54 ALIA KUTOROKWA NA MCHUMBA MIAKA 25

HARUNI SANCHAWA NA MAKONGORO OGING, PWANI LILE sakatala lililotamba kwenye vyombo vya habari la  bi harusi, Bahati Mwakambonja (54), kutaka kufunga ndoa na kijana wa miaka 24, Isiaka Jeremiah limechukua sura mpya baada ya bwana harusi huyo kutoweka nyumbani Mkuranga, Pwani na kwenda kusikojulikana huku bibi huyo akishinda analia. Bibi Bahati Mwakambonja anayedai kutorokwa na mchumbaake. Timu ya Amani hivi karibubni ilifika...

 

10 years ago

Michuzi

Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Bibi Ester Makalili akizungumza na ujumbe kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo walipomtembelea ofisini kwake kabla ya kukutana na vijana wa Wilaya hiyo kutoa mafunzo ya Ujasiriamali, Stadi

Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Bibi Ester Makalili akizungumza na ujumbe kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo walipomtembelea ofisini kwake kabla ya kukutana na vijana wa Wilaya hiyo kutoa mafunzo ya Ujasiriamali, Stadi za Maisha, Ujuzi na Mfuko wa Maendeleo ya Vijana jana katika Wilaya ya Chunya Mkoa wa Mbeya. Kushoto ni Mwenzeshaji kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi Ester Riwa na kushoto ni Mkuu wa Kituo cha Vijana Sasanda Mbeya...

 

11 years ago

GPL

BIBI MJASIRIAMALI WA MAKOPO AENDESHA MAISHA DAR

Makopo yakiwa eneo la nyumba ya bibi huyo ambaye anaonekana kwa mbali akiondoka baada ya kuongea na paparazi wetu. Eneo karibu lote la nyumba hiyo likiwa limezungukwa na makopo. KAMERA ya Global leo ilinasa harakati za ujasiriamali za bibi mmoja maeneo ya Kimara-Suka jijini Dar es Salaam ambako anakusanya makopo na kuyauza  kwa ajili ya kuendesha maisha yake kiufasaha zaidi bila ya… ...

 

10 years ago

Mwananchi

MADHARA: Kucha za bandia zagharimu maisha ya bibi harusi

>“Sijui walitumia gundi ya aina gani kumbandikia kucha mwanangu, mpaka sasa sielewi, mtoto mwenyewe ndiyo huyo huyo mmoja wa kike niliyekuwa nikimtegemea na ndiyo kwanza ndoa yake bado change kabisa hata mwezi mmoja haina, huu ni mtihani mkubwa kwangu na kwa mumewe ambaye wamefunga naye ndoa wiki tatu zilizopita, inauma sana lakini tunamwachia Mungu.”

 

10 years ago

Tanzania Daima

Bibi wa miaka 81 abakwa

MKAZI wa kijiji cha Luteba, wilayani hapa, jina linahifadhiwa (81) amedaiwa kubakwa na watu wasiojulikana na kumsababishia maumivu makali. Akisimulia mkasa huo Bibi huyo, alisema kuwa tukio hilo lilitokea juzi...

 

5 years ago

BBCSwahili

Bibi wa miaka 68 ajifungua mapacha Nigeria

Bibi huyo alijifungua kwa upasuaji katika Hospitali ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Lagos.

 

10 years ago

Mwananchi

Bibi Pelagia mwenye umri wa miaka 101

Kutokana na mfumo wa maisha tunayoishi, vyakula tunavyokula na mabadiliko ya tabia, maisha ya mwanadamu kuishi duniani ni mafupi sana ukilinganishwa na maisha ya zamani walivyoishi wazazi wetu.

 

9 years ago

BBCSwahili

Bibi wa miaka 85,akamatwa kwa kuiba hereni

Bibi kizee mmoja mwenye umri wa miaka 85 raia wa Marekani na ambaye amekuwa akiiba vito vya thamani kwa zaidi ya miaka 60 amehukumiwa tena kwa kosa la wizi.

 

11 years ago

GPL

MJUKUU ASAKWA KWA UBAKAJI, ULAWITI BIBI MIAKA 74!

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro
UNYAMA uliyoje! Kijana aliyefahamika kwa jina moja la Pius (28), mkazi wa Kijiji cha Nyingwa Kata ya Kibungo Juu, Tarafa ya Matombo wilayani Morogoro Vijijini, anasakwa kwa tuhuma za ubakaji na ulawiti wa bibi mmoja,(74). Bibi anayesadikiwa kibakwa na kulawitiwa na mjukuu wake aliyefahamika kwa jina moja la Pius. Kwa mujibu wa chanzo chetu, mtuhumiwa huyo alikamatwa na kufikishwa katika Kituo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani