BIBI MIAKA 54 ALIA KUTOROKWA NA MCHUMBA MIAKA 25
![](http://api.ning.com:80/files/nII-N*HRVI3y8fLoU0Xx5jDoEEreCENf*OHnEevZQH5XWCPPGYvR8*e1fsW9nu8KWXRH28vexCfDQfFT3wDIdPAT5wV9WMFm/as.gif?width=650)
HARUNI SANCHAWA NA MAKONGORO OGING, PWANI LILE sakatala lililotamba kwenye vyombo vya habari la bi harusi, Bahati Mwakambonja (54), kutaka kufunga ndoa na kijana wa miaka 24, Isiaka Jeremiah limechukua sura mpya baada ya bwana harusi huyo kutoweka nyumbani Mkuranga, Pwani na kwenda kusikojulikana huku bibi huyo akishinda analia. Bibi Bahati Mwakambonja anayedai kutorokwa na mchumbaake. Timu ya Amani hivi karibubni ilifika...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
Bibi wa miaka 81 abakwa
MKAZI wa kijiji cha Luteba, wilayani hapa, jina linahifadhiwa (81) amedaiwa kubakwa na watu wasiojulikana na kumsababishia maumivu makali. Akisimulia mkasa huo Bibi huyo, alisema kuwa tukio hilo lilitokea juzi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DGhaQe0o0DT603yzGgVkXqIyKBUiI8NQ0rRv7kMUgHxLOozsQpwIKliTW4aci4OTlvXFFZg9z6HxNMiXADGtSm6jwXOi6gN-/koleta.jpg?width=650)
KOLETA; MIAKA 32 ETI HANA HATA MCHUMBA!
5 years ago
BBCSwahili21 Apr
Bibi wa miaka 68 ajifungua mapacha Nigeria
9 years ago
BBCSwahili29 Oct
Bibi wa miaka 85,akamatwa kwa kuiba hereni
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-BuT9_6aHZwU/XmI4lRIsV3I/AAAAAAALhfg/1To0NCBUklATuQmnEdheW0cygXCWgA0YwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_8904.jpg)
TASAF YABORESHA MAISHA YA BIBI WA MIAKA 90 CHUNYA
Na James K. Mwanamyoto – Chunya
Bibi mwenye umri wa miaka tisini, mkazi wa kijiji cha Mapogoro wilayani Chunya ambaye ni Mnufaika wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini (TASAF) Rozina Bilia Mwambogo, ameboresha maisha yake kwa kujenga nyumba ya kuishi, kujishughulisha na kilimo na mazao ya chakula ikiwa ni pamoja na kufuga nguruwe.
Bibi Mwambogo ametoa ushuhuda wa kuboresha maisha yake kupitia TASAF wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na...
10 years ago
Mwananchi20 Sep
Bibi Pelagia mwenye umri wa miaka 101
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6Yi1*KCqJURDbsrxpXOhKmqlOgLDH-4AUaaJQ6UYPRYFxQfHogGRVBmQ*NtUw219blR3FtRpKwq5H2UG3-tSGVNuCDEruCvp/KAMANDA.jpg?width=650)
MJUKUU ASAKWA KWA UBAKAJI, ULAWITI BIBI MIAKA 74!
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/aqmhJZLv6Zc/default.jpg)