KOLETA; MIAKA 32 ETI HANA HATA MCHUMBA!
![](http://api.ning.com:80/files/DGhaQe0o0DT603yzGgVkXqIyKBUiI8NQ0rRv7kMUgHxLOozsQpwIKliTW4aci4OTlvXFFZg9z6HxNMiXADGtSm6jwXOi6gN-/koleta.jpg?width=650)
SWALI Dada Koleta nakupenda sana hasa nikiangalia kazi zako lakini dada yangu je, unathamini pombe kuwa ni suluhisho la matatizo yako na wewe ni kabila gani? Anna, Dar, 0687005569 KOLETA: Sithamini pombe kuwa ni suluhisho la matatizo ila nakunywa kama watu wengine wanavyokunywa. WANAUME Koleta eti unajiepushaje na wanaume wakware wanaokutokea kimapenzi wakati ukiwa uswahilini? Salim Liundi, Dar, 0658110395 KOLETA: Mimi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nII-N*HRVI3y8fLoU0Xx5jDoEEreCENf*OHnEevZQH5XWCPPGYvR8*e1fsW9nu8KWXRH28vexCfDQfFT3wDIdPAT5wV9WMFm/as.gif?width=650)
BIBI MIAKA 54 ALIA KUTOROKWA NA MCHUMBA MIAKA 25
10 years ago
Bongo Movies04 Dec
DUNIANI WAWILI WAWILI:Huyu Hapa Hana Hata Undugu na Wema Sepetu
Ule usemi wa duniani watu wawili wawili umedhiiika kwa muigizaji wa bongo movies,Wema Sepetu.Je hii ni kweli?.Hebu kutana na huyu mwanadada anaetumiajina la TUERNY kwenye mtandao wa INSTAGRAM.Kizuri zaidi wema mwenye anamfahamu hii nikutokana na moja kati ya marafiki wa Wema Ku-comment kwenye picha ya dada huyu akidai kuwa dada huyu anafanana na Wema na dadae Wema Ku-reply kwa kuonyesha kuwa anamfahamu na anamuita mke mweza.....Hebuzicheki picha zake hizi na kisha useme kama kunaumuhimu wa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NFpLPbeZNYDL8ksvzeClbb8PEBhs4Svbwt7L3f-QqjSBlYV1WkgvYun9c62ELVKV8c1z9hp89vC02t9ADxMQKCosRCdpmfux/FRANCIS.jpg?width=650)
FRANCIS BENARD; MIAKA 29 KITANDANI MUHIMBILI, HANA NDUGU!
10 years ago
Bongo Movies19 Sep
Uwiii! Eti, eti, Kajala anatumia nafasi ya kuonekana kwenye TV "kuvutia mabwana", Nora huyo karopoka
Muigizaji maarufu nchini aliyetamba mwanzoni mwa miaka ya 2000 Nora Nuru Nassoro aliyepotea kwa muda, ameibukia kwenye Runinga ya EATV na kumbutua staa mwenzake, Kajala Masanja kwamba, anatumia nafasi ya kuonekana kwenye filamu kujipatia wanaume kama si mabwana!
Akizungumza kupitia Kipindi cha Mkasi kinachoratibiwa na Mtangazaji Salama Jabir, Jumatatu iliyopita, Nora alisema fani ya uigizaji imevamiwa kwa sasa kwani kuna watu ambao wanaingia kwenye gemu ili wauze sura na kuonekana na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mL7vEimd6q2IEYNAr0Eh7fon*meJeG3xmgj3IoeTZ9ls*T6pYKze4Rx7G0ocX7vnq7dlGd7RjyC3I07PaYy46Pn-H5STU8FE/KUTEMBEA.jpg?width=650)
ANA MIAKA 31, HAJAWAHI KUTEMBEA HATA SIKU MOJA
11 years ago
Michuzi18 Feb
KIJANA MTANASHATI ATAFUTA MCHUMBA WA KUOA: Ona picha yake na sifa za mchumba huyo anayemtaka apo chini
![](https://4.bp.blogspot.com/-yF_B61RPSXE/UwNobcg0nQI/AAAAAAAABqg/22IqbDfuLN4/s1600/OSCAR.jpg)
Master Oscar John
Mimi ni kijana wa kitanzania ambaye nimekulia katika maadili ya kidini na malezi mazuri ya kifamia, napenda nichukue fursa hii nitangaze nafasi ya mchumba ambaye kama ata kidhi vigezo vyangu atakuwa ndio mke wangu wa ndoa. Kifupi mi ni mtaalam wa IT naishi Dar es salaam. Mchumba ninaye mtaka ni vema awe amekulia malezi ya kidini kwa sababu mimi ni mcha Mungu na napenda kusali kwa hiyo napenda na yeye awe hivyo, malezi yangu ni ya dini ya kikristo ni vema na yeye akawa...
9 years ago
Bongo512 Oct
Nyota Ndogo: Unaweza kutunga nyimbo ukailia hela hata miaka 20
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4O6eIqcn6-7U6-tWg3W2wUbGCq-J2SKi5NPmEcoFH5NRqJjEj7L5lrS6*epsOnUmf-SW016SW0byQE4h-CGsEY*EDRx55amr/Mama.jpg?width=650)
MAMA WA MTOTO WA MIAKA MIWILI,ASEMA: ‘HATA MIMI NAPENDA KUISHI KAMA WENGINE’
10 years ago
Mwananchi20 Oct
Mangula: Hata mkiandamana bure, Katiba haitabadilishwa hata nukta