Hii ndiyo kauli ya Klopp kuhusu Gerrard kurejea au kutorejea Liverpool
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Kumekuwepo kwa taarifa mbalimbali zilizokuwa zikimuhusisha mchezaji wa zamani wa Liverpool ambaye kwa sasa anachezea klabu ya LA Galaxy ya Marekani, Steven Gerrard ambaye kwa sasa yupo mapumzikoni kwao Wingereza.
Baada ya tetesi kuzidi kusambaa hatimaye kocha wa Liverpool, Judgen Klopp amefunguka kuhusu Gerrard kama atarudi kuchezea Liverpool kwa mkopo au ataendelea kufanya mazoezi pekee na kikosi cha majogoo hao.
Kupitia kituo cha tv cha Sky Sports, Klopp...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili02 Jan
Gerrard apanga kurejea Liverpool
9 years ago
Dewji Blog02 Jan
2016 mwaka wangu wa mwisho – Gerrard, hii ndiyo kazi anayowaza kufanya baada ya kustaafu
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Mchezaji wa zamani wa Liverpool ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya LA Galaxy ya nchini Marekani, Steven Gerrard (pichani) amesema anapenda kustaafu kucheza soka mwaka huu na kufanya kazi nyingine.
Gerrard ambaye ambaye aliondoka Liverpool mwaka uliyopita na kwenda kucheza Ligi ya Marekani MLS ambayo kwa sasa imemalizika aliliambia gazeti la Telegraph kuwa hana uhakika kwa asilimia zote kama utakuwa mwaka wake wa mwisho lakini anapendelea iwe hivyo.
“Sina...
9 years ago
Dewji Blog05 Nov
Jurgen Klopp: Milango ipo wazi Steven Gerrard
Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Wingereza na Liverpool, Steven Gerrard.
Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp.
Na Rabi Hume
Siku moja baada ya kiungo wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza na klabu ya Liverpool anayekipiga kwa sasa katika klabu ya LA Galaxy ya Marekani, Steven Gerrard kuweka wazi mipango yake ya kutaka kustafu soka 2016, Kocha wa klabu yake ya zamani ya Liverpool, Jurgen Klopp amemwambia mchezaji huyo milango ya kiungo huyo kujiunga na Liverpool iko wazi.
Klopp amesema...
9 years ago
Dewji Blog24 Nov
Hii ndiyo hatma ya Benitez Real Madrid, Ancelotti anena kuhusu kurudi Madrid na Menzes kuhusu uhamisho wa Ronaldo
Kocha wa Real Madrid, Rafa Benitez.
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Hatimaye hatma ya kocha wa Real Madrid, Rafa Benitez imefahamika baada ya kuwepo sintofahamu kama anabaki katika klabu hiyo au anaondoka kufuatia kipigo cha mbwa mwizi cha goli 4 bila kutoka kwa wapinzani wao wakubwa Barcelona.
Usiku wa jumatatu, Rais wa Real Madrid, Florentino Perez amesema kuwa kubarua cha kocha Benitez kipo salama na ataendelea na kazi yake kama kawaida licha ya uvumi kuwa anafukuzwa kazi kutokana na kipigo...
9 years ago
Bongo Movies04 Oct
Nini maoni yako juu ya kauli hii ya Ray kuhusu yeye kuikimbia Team Mabadiliko?
Huku vuguvuga la uchaguzi likiendelea, leo mwigizaji maarufu nchini Vicenti Kigosi aliyekuwa anaongoza mapambano ya mabadiliko ndani ya UKAWA kabla ya kuhamia CCM ameandika ujumbe ufuatao kwa mashabiki wake..
“..Kwanza kabisa ningependa kuwaambia wafuata mkumbo mpende kupanua akili zenu na si kupenda kupanua vidole 2.
Nashangazwa sana na wapinzani kusimama mbele ya adhara na kusema kuwa tangia tumepata uhuru miaka 50 iliyopita serikali haijafanya chochote na wewe unashangalia tena...
10 years ago
Bongo Movies06 Mar
Una nini cha kusema kuhusu kauli hii ya Sintah juu ya Shilole na Nuh Mziwanda?
“Jamani jamani mnaosema ooh umasikini mmbaya kwanini Shilole anamdhalilisha bwana yake, jamani kwani huyo ‘so calle’ Nuh or ‘whatever’ his name is kalazimishwa?? unajua siku hizi mapenzi yamemekuwa ‘free’ sana yaani ukiona mtu anakupa vitasa mara humuelewi yanini kun'ga'gania ‘as if’ umezaliwa naye, mtu uliyemjua ukubwani nae akupe shida ‘BIG NO i would rather stay single for the rest of my life’, kwanza sio adhabu kuwa ‘single’ kuliko kuwa katika ‘unhealthy relationship’ ...
Mnaomuonea...
9 years ago
Mwananchi05 Nov
Gerrard arudi Liverpool
10 years ago
BBCSwahili06 Jan
Steven Gerrard aibeba Liverpool FA