Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nini maoni yako juu ya kauli hii ya Ray kuhusu yeye kuikimbia Team Mabadiliko?

Huku vuguvuga la uchaguzi likiendelea, leo mwigizaji maarufu nchini Vicenti Kigosi aliyekuwa anaongoza mapambano ya mabadiliko ndani ya UKAWA kabla ya kuhamia CCM ameandika ujumbe ufuatao kwa mashabiki wake..

“..Kwanza kabisa ningependa kuwaambia wafuata mkumbo mpende kupanua akili zenu na si kupenda kupanua vidole 2.

Nashangazwa sana na wapinzani kusimama mbele ya adhara na kusema kuwa tangia tumepata uhuru miaka 50 iliyopita serikali haijafanya chochote na wewe unashangalia tena...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Una nini cha kusema kuhusu kauli hii ya Sintah juu ya Shilole na Nuh Mziwanda?

“Jamani jamani mnaosema ooh umasikini mmbaya kwanini Shilole anamdhalilisha bwana yake, jamani kwani huyo ‘so calle’ Nuh or ‘whatever’ his name is kalazimishwa?? unajua siku hizi mapenzi yamemekuwa ‘free’ sana yaani ukiona mtu anakupa vitasa mara humuelewi yanini kun'ga'gania ‘as if’ umezaliwa naye, mtu uliyemjua ukubwani nae akupe shida ‘BIG NO i would rather stay single for the rest of my life’, kwanza sio adhabu kuwa ‘single’ kuliko kuwa katika ‘unhealthy relationship’ ...

 

 Mnaomuonea...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kauli yako: Nini kinakufurahisha zaidi?

Leo ni siku ya kimataifa ya furaha duniani...ulikijua hicho? unathamini nini zaidi maishani mwako?

 

9 years ago

Vijimambo

Nini maoni yako?


Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva, amesema kura zote za urais, ubunge na udiwani, zitahesabiwa katika vituo vya kupigia kura na matokeo yote kutangazwa hapo hapo na ni marufuku kusafirisha masanduku ya kura kama ilivyokuwa zamani.


 

11 years ago

BBCSwahili

Kauli yako kuhusu kifo cha Ariel Sharon

Mitandao ya kijamii imefurika ujumbe kuhusu taarifa za kifo cha Ariel Sharon. Nini kauli yako? facebook bbcswahili

 

10 years ago

Vijimambo

HII NDO KAULI YA 'FID Q' JUU YA 'STAMINA'

Fareed Kubanda aka Fid Q anaamini kuwa Stamina ndiye rapper mkali zaidi jukwaani kwa sasa.Akizungumza kwenye mahojiano na Rasi Fm ya Dodoma, Fid Q amedai kuwa kwenye show nyingi za Fiesta, Stamina amekuwa akifanya maajabu.“Mimi sasa hivi nimekuwa shabiki wa Stamina, tangu Fiesta imeanza mpaka lipofikia hapa wasanii wengi wanafanya vizuri lakini Stamina anafanya vizuri zaidi,” alisema.
“Kwenye ukweli huwa nasema ukweli hiyo ndio Hip Hop, reality au uhalisia. Unajua tunasemaga tunawalisha...

 

10 years ago

GPL

TOA MAONI YAKO KUHUSU TOVUTI MPYA YA GLOBAL PUBLISHERS

Ili kupanua wigo wa kutoa habari motomoto za mastaa, siasa, michezo na jamii tovuti yako pendwa nchini Tanzania ya www.globalpublishers.info sasa inakuja na muonekano mpya na wakuvutia. Muonekano huu unaletwa kwenu ili kwenda sambamba na mabadiliko ya teknolojia ili kukupa fursa wewe mtembeleaji wetu kuweza kupata habari mbalimbali kupitia 'Home Page' kwa urahisi zaidi kuliko mwanzo. Kama una lolote la kushauri kuhusu tovuti...

 

10 years ago

Bongo Movies

Maoni:Unamshauri Nini Aunt Ezekiel Kuhusu Ugomvi na Wema?

Kwa kuangalia historia ya Wema Sepetu na Aunt Ezekiel ni zaidi ya marafiki ambao walikuwa maswahiba walioshibana kiasi kwamba hakuna mtu anaeweza kujua kama leo watakuwa maadui. Na urafiki huu ulikomaa zaidi pale Madame Wema alipokuwa amerudiana na Diamond Platinumz kiasi kwamba hata safari za nje za Wema na Diamond na Aunt nae alikuwa anasafiri na hatukujua alikuwa anasafiri kwa gharama ya nani.

Kwa ukaribu huu wa Wema na Diamond kulimfanya Dogo wetu Moses Iyobo kupata bahati ya mtende...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani