Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nini maoni yako?


Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva, amesema kura zote za urais, ubunge na udiwani, zitahesabiwa katika vituo vya kupigia kura na matokeo yote kutangazwa hapo hapo na ni marufuku kusafirisha masanduku ya kura kama ilivyokuwa zamani.


Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Nini maoni yako juu ya kauli hii ya Ray kuhusu yeye kuikimbia Team Mabadiliko?

Huku vuguvuga la uchaguzi likiendelea, leo mwigizaji maarufu nchini Vicenti Kigosi aliyekuwa anaongoza mapambano ya mabadiliko ndani ya UKAWA kabla ya kuhamia CCM ameandika ujumbe ufuatao kwa mashabiki wake..

“..Kwanza kabisa ningependa kuwaambia wafuata mkumbo mpende kupanua akili zenu na si kupenda kupanua vidole 2.

Nashangazwa sana na wapinzani kusimama mbele ya adhara na kusema kuwa tangia tumepata uhuru miaka 50 iliyopita serikali haijafanya chochote na wewe unashangalia tena...

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA WAISHIO DMV USA WALIPOKUTANA KUMSIKILIZA MH. ISMAIL JUSSA, ALIPOELEZEA UCHAKACHULIWAJI WA MAONI YA KATIBA NA KUELEZEA SABABU ZINAZOIFANYA UKAWA KWA NINI HAITOSHIRIKI KATIKA KURA YA MAONI

Kabla ya mkutano kuanza, picha ya juu na chini zinazofuata, zikionyesha  kisimamo cha dakika moja kumuombe na kada  na mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM, John Komba

MC katika mkutano huo, Bw.Libe Mwang'ombe, aliyeumudu kuuendesha mkutano kwa utaratibu uliotakiwa na kwa usalama hadi mwisho bila jazba hadi mwisho masuali yaliulizwa kwa vifungu na kujibiwa ipasavyo   Dada Salma akiuliza suali kwa wakati wake, masuali mengi yaliulizwa na wadau mbali mbali ambyo yalikuwa ya msingi kwa mustakabali...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kauli yako: Nini kinakufurahisha zaidi?

Leo ni siku ya kimataifa ya furaha duniani...ulikijua hicho? unathamini nini zaidi maishani mwako?

 

10 years ago

GPL

ROSE MUHANDO MATUKIO YAKO YANAFUNDISHA NINI?

Muimbaji wa Injili asiyechuja Bongo, Rose Muhando. KWAKO
 Muimba Injili usiyechuja Bongo, Rose Muhando. Hongera kwa kumtumikia Mungu kwa muda mrefu, hakika kila mmoja anakutambua kwa uwezo wako mkubwa wa kuimba. Nimekukumbuka leo kwa barua maana nimeshindwa kuvumilia mambo yanayoripotiwa kuhusu wewe. Tena bora ungekuwa raia wa kawaida kama nilivyo mimi, wewe ni maarufu, sijui kama unalitambua hilo.
Madhumuni ya barua hii...

 

10 years ago

GPL

TOA MAONI YAKO KUHUSU TOVUTI MPYA YA GLOBAL PUBLISHERS

Ili kupanua wigo wa kutoa habari motomoto za mastaa, siasa, michezo na jamii tovuti yako pendwa nchini Tanzania ya www.globalpublishers.info sasa inakuja na muonekano mpya na wakuvutia. Muonekano huu unaletwa kwenu ili kwenda sambamba na mabadiliko ya teknolojia ili kukupa fursa wewe mtembeleaji wetu kuweza kupata habari mbalimbali kupitia 'Home Page' kwa urahisi zaidi kuliko mwanzo. Kama una lolote la kushauri kuhusu tovuti...

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Bunge EALA limesambaratika, nini kifanyike?

>Siyo siri tena kwamba Bunge la Afrika Mashariki (EALA) limesambaratika kutokana na wabunge wake kuendekeza migogoro na hatimaye kukwamisha shughuli za Bunge hilo.

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Nini kinaikwaza Serikali kutatua migogoro ya ardhi?

>Hii siyo mara ya kwanza kwetu sisi kuihadharisha Serikali kuhusu kukithiri kwa migogoro ya ardhi kati ya wakulima na wafugaji katika maeneo mbalimbali nchini.

 

10 years ago

Bongo Movies

Maoni:Unamshauri Nini Aunt Ezekiel Kuhusu Ugomvi na Wema?

Kwa kuangalia historia ya Wema Sepetu na Aunt Ezekiel ni zaidi ya marafiki ambao walikuwa maswahiba walioshibana kiasi kwamba hakuna mtu anaeweza kujua kama leo watakuwa maadui. Na urafiki huu ulikomaa zaidi pale Madame Wema alipokuwa amerudiana na Diamond Platinumz kiasi kwamba hata safari za nje za Wema na Diamond na Aunt nae alikuwa anasafiri na hatukujua alikuwa anasafiri kwa gharama ya nani.

Kwa ukaribu huu wa Wema na Diamond kulimfanya Dogo wetu Moses Iyobo kupata bahati ya mtende...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: NINI UFANYE KISHERIA UNAPOHISI MWENZAKO KATIKA NDOA ANATAKA KUUZA NYUMBA/KIWANJA BILA RIDHAA YAKO

NA  BASHIR  YAKUB-
Upo wakati kwenye  ndoa ambapo mmoja  wanandoa  anaweza akawa anataka  kuuza au kubadili jina la nyumba/kiwanja  bila ridhaa ya mwenzake ilihali  nyumba  hiyo  ni ya  familia. Lakini  pia  nje ya  hilo kuna  mazingira  ambayo  mtu anaweza  kuwa  si  mwanandoa lakini ana maslahi  katika  nyumba au  kiwanja cha mtu fulani  na anataka  kuzuia  nyumba/ kiwanja  hicho  kisibadilishwe  jina au kisiuzwe.  Kisheria jambo hilo linaruhusiwa  na huitwa zuio( Caveat).
Hili sio zuio la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani