Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HII NDO KATUNI INAYO MUHUSU RAIS KURUNZINZA WA BURUNDI


Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Hii ndo ratiba ya raundi ya 4 Capital 1

Baada ya kumalizika kwa raundi ya tatu ya michuano ya kombe la ligi maarufu kama Capital One, ratiba ya hatua inayofauta ya michuano hiyo imetoka. HII NDIO RATIBA NZIMA YA RAUNDI 4 CAPITAL ONE Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na […]

 

10 years ago

Vijimambo

HII NDO KAULI YA 'FID Q' JUU YA 'STAMINA'

Fareed Kubanda aka Fid Q anaamini kuwa Stamina ndiye rapper mkali zaidi jukwaani kwa sasa.Akizungumza kwenye mahojiano na Rasi Fm ya Dodoma, Fid Q amedai kuwa kwenye show nyingi za Fiesta, Stamina amekuwa akifanya maajabu.“Mimi sasa hivi nimekuwa shabiki wa Stamina, tangu Fiesta imeanza mpaka lipofikia hapa wasanii wengi wanafanya vizuri lakini Stamina anafanya vizuri zaidi,” alisema.
“Kwenye ukweli huwa nasema ukweli hiyo ndio Hip Hop, reality au uhalisia. Unajua tunasemaga tunawalisha...

 

10 years ago

Africanjam.Com

HII NDO ADHABU UKIKUTWA NA 'BABY WALKER' CANADA


Mwaka 2004 Canada ilipitisha sheria ya kukataza Baby walkers ndani ya nchi hiyo.. walidai kwamba mtoto akitumia baby walker inasababisha mtoto achelewe kutembea na pia kudumaza akili. Mtu yoyote atakayekutwa anamiliki au ananunua kifaa hicho faini ni dola 100,000 au kifungo cha miezi 6 jela

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani