Hii ni mipango mingine ya meneja wa Chelsea Guus Hiddink kwa klabu yake…
Pamoja na mabingwa watetezi wa ligi kuu ya England Chelsea kupoteza matumaini ya kutwaa ubingwa kwa mara nyingine lakini kocha wao mpya Guus Hiddink ana mipango mingine ya ushindi. Baada ya ushindi wa jana wa mabao 3-0 Hiddink amesema klabu yake hiyo inaweza kumaliza ligi hiyo ikiwa katika nafasi nne bora za juu mwishoni mwa […]
The post Hii ni mipango mingine ya meneja wa Chelsea Guus Hiddink kwa klabu yake… appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog20 Dec
Hatimaye Chelsea yamtangaza Guus Hiddink kuwa meneja mpya wa timu hiyo
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Ikiwa zimepita siku tatu tangu uongozi wa klabu ya Chelsea kumtimua kazi aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Mreno Jose Mourinho hatimaye taarifa zimetoka ndani ya timu hiyo kuwa, Mholanzi Guus Hiddink (pichani) amekuwa meneja mpya wa klabu hiyo ya Uingereza.
Katika taarifa iliyotolewa na ukurasa wa klabu hiyo wa Twitter umeeleza kuwa Hiddink atakuwa meneja wa Chelsea mpaka mwisho wa msimu huu wa 2015/2016.
Hiddink hii siyo mara yake ya kwanza kuifundisha timu hiyo ya...
9 years ago
BBCSwahili18 Dec
Guus Hiddink aanza mazungumzo na Chelsea
9 years ago
Global Publishers20 Dec
Guus Hiddink achukua mikoba ya Mourinho Chelsea
Kocha mpya wa Chelsea, Guus Hiddink.
Aliyekuwa Kocha wa Timu ya Taifa ya Uholanzi, Guus Hiddink ameteuliwa kuwa kaimu meneja wa Chelsea hadi mwisho wa msimu huu.
Hiddink ameteuliwa baada ya Jose Mourinho kutimuliwa Alhamisi iliyopita.
“Nimefurahia kurejea Stamford Bridge. Chelsea ni moja ya klabu kubwa duniani lakini haipo pale inakofaa kuwa kwa sasa. Hata hivyo nina uhakika tunaweza kubadilisha mambo,” amesema Hiddink baada ya kuteuliwa.
“Nasubiri kwa hamu kufanya kazi na wachezaji na...
9 years ago
Bongo521 Dec
Guus Hiddink ateuliwa kuwa kocha mpya Chelsea
![151219081747_guus_hiddink_file_512x288_pa_nocredit](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/151219081747_guus_hiddink_file_512x288_pa_nocredit-300x194.jpg)
Aliyekuwa meneja wa timu ya taifa ya Uholanzi Guus Hiddink ameteuliwa kuwa kocha mpya wa Chelsea hadi mwisho wa msimu.
Ameteuliwa baada ya Jose Mourinho kufukuzwa kazi Alhamisi.
“Nimefurahia kurejea Stamford Bridge. Chelsea ni moja ya klabu kubwa duniani lakini haimo pale inakofaa kuwa kwa sasa. Hata hivyo nina uhakika tunaweza kubadilisha mambo,” amesema Hiddink baada ya kuteuliwa. “Nasubiri kwa hamu kufanya kazi na wachezaji na wakufunzi wenzangu wapya katika klabu hii kubwa na kufufua...
9 years ago
Africanjam.Com![](http://1.bp.blogspot.com/-9D8C1VCyEE0/VnLxfhiyUAI/AAAAAAAAEOM/YqU8QVv2JCg/s72-c/jose-mourinho.jpg)
JOSE MOURINHO SACKED AS CHELSEA MANAGER AND GUUS HIDDINK LINED UP TO REPLACE HIM
![](http://1.bp.blogspot.com/-9D8C1VCyEE0/VnLxfhiyUAI/AAAAAAAAEOM/YqU8QVv2JCg/s640/jose-mourinho.jpg)
The next permanent Chelsea manager will likely be appointed next summer, with candidates including Diego Simeone, Pep Guardiola and Carlo Ancelotti all in the frame. Mourinho's second reign in...
9 years ago
BBCSwahili19 Dec
Hiddink ateuliwa meneja mpya Chelsea
9 years ago
Mwananchi26 Dec
Ni siku ya Van Gaal, Guus Hiddink England
9 years ago
Mwananchi28 Dec
Ni vita ya Wadachi Van Gaal, Guus Hiddink leo
9 years ago
BBCSwahili04 Jan
Hiddink: Inawezekana Chelsea kumaliza nne bora