HII NI SHIDA: IJUMAA LAIFUNGIA KAZI PICHA YA POLISI WALIONASWA WAKIFANYA UCHAFU
![](http://api.ning.com:80/files/4Ejr0qlHpqKVHgAKuS2WA86XQ6-6hEreVNezq-i-lM6u5RZ8VBwU1F*IC5BRpLau4oyKrRaIeTh2FUxpykpK0VN5SJHNswex/nisheeda.jpg?width=650)
Stori: Mwandishi Wetu Ni shida! Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, chini ya Kamanda Mohammed Mpinga, limekuwa mstari wa mbele katika kusimamia maadili ya askari wake na kuwa mfano wa kuigwa lakini kuna baadhi wanalichafua, Ijumaa limenyetishiwa kamchezo kamili. Polisi wa usalama barabarani wakidendeka. HABARI KAMILI Habari kamili ikufikie kwamba nyuma ya picha ya askari wawili, mwanamke na mwanaume wa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo506 Oct
Picha: Mshindi wa milioni 60 za BSS 2015 kujulikana Ijumaa hii
9 years ago
Bongo507 Dec
Picha: Kala Jeremiah kumuonesha ‘Malkia’ wake Ijumaa hii
![Kala1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Kala1-300x194.jpg)
Ni muda mrefu mashabiki wa Kala Jeremiah wamekuwa wakisubiri kwa hamu siku ambayo rapa huyo wa Rock City atamuweka hadharani ‘Malkia’ wake, baada ya kutoa ahadi ya kufanya hivyo kabla ya mwaka 2015 haujaisha.
‘Malkia’ ndio jina la wimbo mpya wa Kala ambao anatarajia kuuzindua pamoja na video yake Ijumaa hii (Dec.11) pale Club Billz akisindikizwa Na Roma, Izzo Bizness, Malaika na Dayna Nyange.
Hivi karibuni Kala aliiambia Bongo 5 kuwa video ya wimbo huo imeongozwa na director Pablo...
10 years ago
Bongo527 Nov
Picha: Ommy Dimpoz kuachia video ya ‘Tupogo Remix’ Ijumaa hii (Dec. 28)
11 years ago
Habarileo08 Mar
Polisi Dodoma yataja 15 walionaswa kwa 'ukahaba'
WANAWAKE 15 wametiwa mbaroni mkoani Dodoma kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya ukahaba. Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime juzi watu hao wamekamatwa kufuatia msako uliofanywa mwanzoni mwa wiki.
10 years ago
Dewji Blog10 Oct
Polisi waliopiga picha za mahaba watimuliwa kazi
Hili ndio tukio lililosababisha kufukuzwa kazi wakiwa na sare za kazi.
Na Mwandishi wetu, Kagera
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera, limewafukuza kazi askari watatu wa Kikosi cha Usalama barabarani ‘Trafiki’ kwa kukosa la kupiga picha zisizo na maadili wakiwa na sare za kazi.
Picha hiyo ilianza kusambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii hivi karibuni zikionyesha askari hao wakiwa katika ‘mahaba’ huku wamevaa sare za Jeshi hilo.
Akitoa taarifa mbele ya wandishi wa habari mapema jana Oktoba...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-pB1_totHtgM/VIjl849P_-I/AAAAAAAAHoQ/o0g55tqUdyc/s72-c/Mishumaa%2BFinal%2BProject%2B(1).jpg)
Mishumaa ya Kale LIVE .Ijumaa hii na kila Ijumaa
![](http://4.bp.blogspot.com/-pB1_totHtgM/VIjl849P_-I/AAAAAAAAHoQ/o0g55tqUdyc/s1600/Mishumaa%2BFinal%2BProject%2B(1).jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-pB1_totHtgM/VIjl849P_-I/AAAAAAAAHoQ/o0g55tqUdyc/s72-c/Mishumaa%2BFinal%2BProject%2B(1).jpg)
Mishumaa ya Kale...Ijumaa hii na kila Ijumaa
![](http://4.bp.blogspot.com/-pB1_totHtgM/VIjl849P_-I/AAAAAAAAHoQ/o0g55tqUdyc/s1600/Mishumaa%2BFinal%2BProject%2B(1).jpg)
10 years ago
Bongo Movies27 Mar
Picha: Wema Sepetu Akiwa na Idris Wakifanya ‘Shopping‘
Hizi ni baadhi ya picha za Staa mrembo kutoka Bongo Movies , Wema Sepetu akiwa pamoja na mshindi wa shindano la Big Brother Africa (BBA) 2014, Idris Sultan wakifanya manunuzi kwenye moja ya supermarket hapo bongo.
Wawili hawa wameonekana kuwa ni watu wa karibu sana sio tu kwa muonekano wa picha hizi bali hata kwa maneno ya wema wenyewe, kwani kwenye picha hiyo hapo juu Wema aliandika maneno haya;
“Feels good wen you go to a store and u get everything u can think of.... Oh it feels better...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rUrHnDSl8N*lcfznLW*-QS9pysGLdlg-GY3TpjsGmyjan2VE3vSY6dnvMNSZYGfUwBK*L1SSbTtAz7yoymzxISaOd0n4BItR/FRONT.jpg)
WANASWA WAKIFANYA MAPENZI KITUO CHA POLISI