Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hii ni video ya Teknomiles wa Nigeria ambayo rapper wa Bongo Wakazi alitokea

Wakazi ni rapper ambaye ameshafanya vitu vingi kwenye hustle zake za kimuziki, lakini kama asemavyo mwenyewe hua haoni umuhimu wa ku ‘brag’ kila kitu kwa lengo la kujisifia. Wakati kuna wasanii wa Bongo ambao wana ndoto za kupata nafasi ya kwenda Nigeria kujitangaza na kutafuta connections na mastaa wa huko, rapper Wakazi ameshawahi kufanya hayo […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

#NewVIDEO>> ‘Natokea Dar’ kutoka kwa rapper Wakazi.. hii kaifanya ‘Ojuelegba Refix’ ya Wizkid (+Video)

Kama ni mfatiliaji wa muziki wa Bongo Tanzania basi hii nayo inakuhusu… rapper Wakazi kaipenda ‘Ojuelegba‘ ya kijana wa Nigeria, Wizkid na kaamua kuingia studio kuisuka yake ambayo kaibatiza jina la ‘Natokea Dar’. Kama haijakufikia basi unakaribishwa na wewe kuucheki ubunifu wa rapper wakazi kwenye ‘Ojuelebga Refix‘, video ya dakika 3:44 Unataka kutumiwa MSG za […]

The post #NewVIDEO>> ‘Natokea Dar’ kutoka kwa rapper Wakazi.. hii kaifanya ‘Ojuelegba Refix’ ya Wizkid (+Video) appeared first...

 

9 years ago

MillardAyo

Hii ndio video ya matukio ya Ronaldinho ambayo hayawezi kusahaulika na nadra kutokea uwanjani …

Mtu wangu wa nguvu ikiwa leo Alhamisi ya December 24 ndio ile siku yetu ya kupost matukio mbalimbali ya zamani katika mitandao ya kijamii na kujikumbushia, naomba nikurudishe nyuma kidogo kwa matukio kadhaa ya soka. December 24 naomba nikukumbushie au nikusogezee video ya dakika 8 ya matukio ya staa wa soka kutokea Brazil Ronaldinho Gaucho, haya ndio […]

The post Hii ndio video ya matukio ya Ronaldinho ambayo hayawezi kusahaulika na nadra kutokea uwanjani … appeared first on...

 

9 years ago

Bongo5

New Video: Teknomiles – Wash

tekno-miles-1

Siku chache baada ya kuachia wimbo wake mpya ‘Wash’, hit maker wa ‘Duro’ Teknomiles kutoka Nigeria ametoa rasmi video ya wimbo huo. Itazame hapa

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

MillardAyo

Diamond Platnumz alivyowapagawisha wakazi wa Dar kwa hii burudani…. (+Video)

Dec 25 2015 Msanii Diamond Platnumz kutokea Wasafi Classic Baby (WCB) aliandika historia kubwa kwenye dunia ya burudani 88.5, kwa kutoa shangwe za burudani kwenye viwanja vya Dar Live Mbagala Dar es Salaam. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK […]

The post Diamond Platnumz alivyowapagawisha wakazi wa Dar kwa hii burudani…. (+Video) appeared first on...

 

11 years ago

GPL

BONGO MOVIES WAJIFUA KUWAKABILI BONGO FLEVA USIKU WA MATUMAINI IJUMAA HII

Wasanii wa Bongo Movies wakijifua katika Viwanja vya Leaders jijini Dar jana jioni tayari kwa mpambano wao na Bongo Fleva keshokutwa Ijumaa. Mwenyekiti wa Bongo Movies, Steve Nyerere (katikati) akionyesha ujuzi wakati wa mazoezi hayo jana.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani