Hili la kupigwa Warioba ni ishara mbaya nchini
Kwa aina hii ya siasa inayoendelea nchini, ni wazi kwamba tunaiharibu demokrasia yetu. Hakuna ubishi kwamba Tanzania inaelekea kubaya tena pabaya sana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi13 Sep
Vurugu hizi kwenye kampeni ni ishara mbaya
10 years ago
Tanzania Daima05 Nov
Ujenzi maabara za Sekondari ni ishara mbaya ya uongozi
SI mara ya kwanza kwako wewe msomaji kusikia kwamba Tanzania kuna ombwe la uongozi. Imesemwa sana na watu wa kada na nyakati tofauti kwa mambo yanavyokwenda katika taifa letu si...
10 years ago
Mtanzania04 Nov
Umma walaani Jaji Warioba kupigwa

Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba
NA WAANDISHI WETU
SIKU moja baada ya watu wanaodhaniwa kuwa ni wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuvamia mdahalo uliokuwa umeandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere kuhusu Katiba inayopendekezwa na kusababisha kuahirishwa, wadu wengi wamejitokeza na kulaani tukio hilo.
Katika mdahalo huo, aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba alipigwa makofi mawili mgongoni na viongozi wenzake walinusurika kupigwa baada ya...
10 years ago
Tanzania Daima09 Nov
Hili la Jaji Warioba polisi wanahusika?
SERIKALI ya Rais Jakaya Kikwete, imeonesha kutoguswa kabisa na tukio la fedheha alilofanyiwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba na wenzake, wakati wa mdahalo wa...
10 years ago
Tanzania Daima12 Nov
Hili la Jaji Warioba Polisi wamenywea?
KAMA kuna jambo ambalo Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linajaribu kujifedhehesha na hata kuiondolea imani Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa wananchi wake, ni hatua...
11 years ago
Tanzania Daima09 Sep
Nyalandu: Ujangili nchini hali mbaya
WAKATI juhudi zikifanyika kupambana na ujangili nchini, Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu amesema hali ni mbaya. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, wakati wa...
5 years ago
BBCSwahili19 Mar
Coronavirus: Marekani yaonya kupigwa raia wa kigeni nchini Ethiopia
11 years ago
Tanzania Daima01 Jun
Kinana, Nnauye, hawamjui mbaya wa maendeleo nchini?
KATIKA hali ya kusikitisha Chama Cha Mapinduzi (CCM), kupitia viongozi wake waandamizi, Abdulrahaman Kinana na Katibu wa Itikadi na Unezi Nape Nnauye, hawajui mbaya wa maendeleo ya nchi na ndiyo...
11 years ago
Dewji Blog08 Sep
Nyalandu:Hali ya ujangili nchini bado ni mbaya
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar.
Na Mwandishi wetu
WAKATI juhudi mbalimbali zikifanyika katika kupambana na ujangili nchini, Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema bado hali ni mbaya.
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Jijini Dar es Salaam, katika mkutano wa wadau wa maendeleo katika kupambana na ujangili, Nyalandu alisema bado wanaendelea kubuni mbinu mbalimbali ili kukomesha vitendo hivyo.
Waziri huyo...