Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hivi ndivyo mzee Masele alivyoporwa ardhi yake

Mzee Faustine Masele (78) anafahamu umuhimu na thamani ya ardhi anayomiliki. Fikra zake zilikuwa kuwarithisha watoto wake au kuiuza kwa bei ya soko. Mipango hiyo haipo tena. Analia. Analalamika. Wajanja wameichukua ardhi yake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA MKOA WA SIMIYU NA MAJIMBO YAKE(KATA KWA KATA) MWIGULU NCHEMBA AKIOMBA KURA ZA URAIS,UBUNGE NA UDIWANI

Hisia za Mwananchi katika maandishi "Magufuli Chaguo la Mungu".MwanaCCM akionesha kipeperushi cha Magufuli na Mama Samia Suluhu kuwa ndio Uongozi unaokwenda Kuchaguliwa na Watanzania.Wananchi wapotayari kuchagua CCM kwa nafasi zote tatu(Udiwani,Ubunge na Urais).Mwigulu Nchemba akiondoka Jimbo la Maswa Mashariki kumnadi Ndg.Nyongo mbunge mtarajiwa wa Chama cha Mapinduzi."CCM mambo yapo Poaaaa!!!"Mwigulu Nchemba akiwasili eneo la Mkutano akiwa na Mbunge wa Jimbo la Kisesa Ndg.Mpina.Mbunge...

 

10 years ago

GPL

HIVI NDIVYO WAZIRI ALIVYOZUA TIMBWILI

KUFUATIA tukio la Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, Dk. Titus Kamani juzikati kugeuka ‘bondia’ kwa ‘kumwanzishia’ timbwili msimamizi wa uchaguzi wa marudio wa kura za maoni ya ubunge kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Busega, Simiyu na kusababisha matokeo yasitangazwe, wadau wameibuka na kusema yote hayo ni machungu ya kukatwa.  ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1Mzdawt ...

 

11 years ago

GPL

HIVI NDIVYO GLOBAL TV ONLINE ILIVYOZINDULIWA

Uzinduzi wa Global TV Online uliofanyika Aprili 16, 2014 ndani ya ofisi za Kampuni ya Global Publishers Ltd na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali. Kwa matukio mbalimbali ya Global TV Online, Ingia  …

 

10 years ago

Mwananchi

Hivi ndivyo 'Panya Road' wanavyonza

Hofu  ya uvamizi wa kundi la Panya Road kwa mara nyingine iliwakumba wakazi wa Tabata Machi 10 na kusababisha shughuli mbalimbali kusimama.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani