HIV:Wagonjwa wakosa matibabu DRC
Shirika la madaktari wasio na mipaka MSF limesema imekua vigumu kwa wagonjwa wa ukimwi nchini DRC kupata matibabu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV23 Nov
Wauguzi waaswa kujitolea kutoa matibabu kwa Wagonjwa Majumbani
Wauguzi wameaswa kujitolea kutoa huduma za matibabu hasa kwa wagonjwa waliopo majumbani wakubaliane na changamoto wanazopambana nazo kwa sasa.
Kauli hiyo imetolewa na Padre Vidalis Mushi katika kituo cha mafunzo ya wauguzi Camillus jijini Dar es Salaam kutokana na ongezeko la wagonjwa wanaoachwa majumbani akisisitiza umuhimu wa kuwa na wauguzi wa namna hiyo.
Akizumza katika mahafali ya chuo cha mafunzo ya wauguzi cha Camillus jijini Dar es salaam Padre Vidalis Mushi amesema wizara ya afya...
9 years ago
StarTV17 Dec
Wagonjwa wadai kushindwa kumudu gharama Matibabu Kcmc Moshi
Gharama kubwa za matibabu katika hospitali ya rufaa ya KCMC mjini Moshi mkoani Kilimanjaro zinadaiwa kuwaweka njia panda baadhi ya wagonjwa wanaofika kupata huduma za tiba hospitalini hapo.
Baadhi ya wagonjwa hulazimika kutoroka hospitalini hapo na wengine kutelekezwa na ndugu zao kutokana na gharama kubwa wanazopaswa kulipia.
Mtoto Frank aliyelazwa katika wodi ya wagonjwa wa idara ya Upasuaji ambaye alifanyiwa upasuaji wa tumbo hivi Karibu anatajwa kuwa ni miongoni mwa wagonjwa...
11 years ago
Dewji Blog25 Sep
Ushirikiano wa pamoja unatakiwa ili kuhakikisha wagonjwa wanaougua saratani wanapata matibabu
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.
Na Anna Nkinda – Maelezo, New York
Ushirikiano wa pamoja unatakiwa ili kuhakikisha wagonjwa wanaougua saratani za mlango wa kizazi, matiti na tezi dume wanapata matibabu kwa wakati na hivyo kupunguza idadi ya vifo vinavyotokana na ugonjwa huo.
Rai hiyo imetolewa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwenye mjadala wa wake wa marais wa Afrika wa kupambana na saratani za mlango wa kizazi, matiti na tezi dume uliofanyika katika kituo cha Ubunifu...
5 years ago
Michuzi
TAHADHARI KUHUSU WAGONJWA WANAOCHANGISHA FEDHA ZA MATIBABU YA MOYO KWA AJILI YA KUTIBIWA KATIKA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)

Uongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) unapenda kuutahadharisha Umma kuwa waangalifu na wagonjwa wanaochangisha fedha kwa ajili ya kutibiwa katika Taasisi hii. Ndugu Mwananchi, inawezekana wagonjwa hao wanaochangisha fedha za matibabu wanakuwa tayari wamepata msamaha wa matibabu kutoka kwa Taasisi au wasamaria wema...
5 years ago
Hiptoro09 Mar
Cure for HIV/AIDS: Monthly Antiretrovirals Injection can now Treat HIV...
5 years ago
Michuzi
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kuwahudumia wagonjwa wenye matatizo ya moyo yanayohitaji matibabu ya kibingwa walioko katika kituo cha watu waliopata maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa Corona (COVID – 19) cha Amana jijini Dar

(JKCI) Prof. Mohamed Janabi akizungumza jambo wakati alipotembelea kituo cha watu waliopata maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID – 19) cha Amana jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuona namna ambavyo madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo watakavyoweza kutoa huduma kwa wagonjwa hao.

Msimamizi wa kituo cha watu waliopata maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID – 19) Dkt. Stanley Binagi akielezea...
5 years ago
Michuzi
5 years ago
BBCSwahili09 Apr
Coronavirus: Chumba cha wagonjwa mahututi ni nini na ni wagonjwa gani wanastahili kukitumia?
5 years ago
BBCSwahili24 May
Idadi ya wagonjwa wa corona nchini Kenya yafikia 1,214 baada ya kutangazwa wagonjwa wapya 22