Wauguzi waaswa kujitolea kutoa matibabu kwa Wagonjwa Majumbani
Wauguzi wameaswa kujitolea kutoa huduma za matibabu hasa kwa wagonjwa waliopo majumbani wakubaliane na changamoto wanazopambana nazo kwa sasa.
Kauli hiyo imetolewa na Padre Vidalis Mushi katika kituo cha mafunzo ya wauguzi Camillus jijini Dar es Salaam kutokana na ongezeko la wagonjwa wanaoachwa majumbani akisisitiza umuhimu wa kuwa na wauguzi wa namna hiyo.
Akizumza katika mahafali ya chuo cha mafunzo ya wauguzi cha Camillus jijini Dar es salaam Padre Vidalis Mushi amesema wizara ya afya...
StarTV
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-JnDAldQkyVU/XrqjlUGOE7I/AAAAAAALp80/v4wUEREwqOAgwQIpv42WFrzHCqbeXvKMgCLcBGAsYHQ/s72-c/798e25e2-e89b-4242-b4ff-d994177dc523.jpg)
Ummy Mwalimu: Tutandelea kutoa ajira kwa wauguzi nchini
Serikali imesema itaendelea kutoa kipaumbele katika ajira za wauguzi kadri nafasi zitakavyokuwa zikipatikana ili kuboresha huduma za afya nchini.
Kauli hiyo imetolewa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakati akizungumza na watumishi wa hospitali ya rufaa ya mkoa ya Mwananyamala katika Maadhimisho ya Siku ya Waguzi Duniani ambayo huadhimishwa tarehe 12 Mei kila mwaka. Kauli mbiu ya mwaka huu ni “Wauguzi; Sauti inayoongoza...
10 years ago
Mwananchi23 Oct
Wauguzi wa zahanati watumia chemli kuhudumia wagonjwa
11 years ago
Dewji Blog06 Jun
Maafisa Habari na Mawasiliano waaswa kutoa taarifa zinazohusu taasisi zao kwa wakati
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiongea na Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali wakati wa Semina ya Mafunzo iliyoandaliwa na Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) Leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Hiyo Prof. Elisante Ole Gabriel na Kulia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Bw. Innocent Mungy.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu...
11 years ago
MichuziWASANII WA BONGO MOVIE KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA MABIBO BEER WATEMBELEA HOSPITALI YA MWANANYAMALA LEO NA KUTOA MISAADA KWA WAGONJWA.
5 years ago
BBCSwahili12 May
Siku ya wauguzi duniani: Watu wanaohatarisha maisha kuwahudumia wagonjwa wa COvid -19
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-BouSmdDQr8I/Xu0CG9FcV0I/AAAAAAALuq0/S8rKcbG-KHIbO2sxODIUPuKiWYDIeA7vgCLcBGAsYHQ/s72-c/26907181_1025705670911155_7645322881895613784_n.jpg)
TAHADHARI KUHUSU WAGONJWA WANAOCHANGISHA FEDHA ZA MATIBABU YA MOYO KWA AJILI YA KUTIBIWA KATIKA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)
![](https://1.bp.blogspot.com/-BouSmdDQr8I/Xu0CG9FcV0I/AAAAAAALuq0/S8rKcbG-KHIbO2sxODIUPuKiWYDIeA7vgCLcBGAsYHQ/s320/26907181_1025705670911155_7645322881895613784_n.jpg)
Uongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) unapenda kuutahadharisha Umma kuwa waangalifu na wagonjwa wanaochangisha fedha kwa ajili ya kutibiwa katika Taasisi hii. Ndugu Mwananchi, inawezekana wagonjwa hao wanaochangisha fedha za matibabu wanakuwa tayari wamepata msamaha wa matibabu kutoka kwa Taasisi au wasamaria wema...
5 years ago
BBCSwahili16 Mar
Coronavirus:Wauguzi wa wagonjwa waliombukizwa virusi vya corona Kenya waanza mgomo baridi
10 years ago
BBCSwahili01 Dec
HIV:Wagonjwa wakosa matibabu DRC